kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Umeelewaje?Nimekuelewa ipasavyo ndio nikakuandikiaa hivyo kutokana na kuanza kauli yako mbovu juu yangu.
So hizi taarifa za kwamba 21 out 23 missiles were shot down,tuzipuuze?[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kipigo cha juzi Aflajiri
It has been a very bad day for Ukrainian forces, they lost another aircraft, 4 S-300 systems in Kherson, military HQ North of Kherson was completely destroyed, up on 70 armoured vehicle destroyed, i lost count of how many Howitzers were destroyed,a day casualties were the highest
wamepigwa kipigo cha kustukiza usingizi ndo maana Zelenks kaanza kuropoka kua atalipiza wamepigwa kwenye mshono...So hizi taarifa za kwamba 21 out 23 missiles were shot down,tuzipuuze?
Maana missiles 2 haziwezi kuleta damage kiasi hicho!
Ukiangalia kipigo na makombora yaliyodunguliwa haviendani mmefika mahali mnajidanganya wenyewe Sasa makombora mawili yaliwezaje kupga target zote hizo?During Russia’s latest missile attack, Ukraine’s Air Force shot down 21 out of 23 enemy missiles. If not for this, the number of casualties could have been much higher. This proves once again that Ukraine needs enough high-quality weapons to stop Russian terror and save people, Ukrainian President Volodymyr Zelensky says.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halafu wanatuonesha tu jengo la civilians tu!Maeneo mengine waliyotandikwa hatusikii kabisa!Waongo wamepigwa kipigo cha kustukiza wa usingizi ndo maana Zelenks kaanza kuropoka kua atakipiza wamepigwa kwenye mshono...