manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,093
- 11,948
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Maandalizi ya counteroffensive ya Ukraine yameanza ni pamoja na kuagiza mifuko ya kuwekea maiti sitini elfu
View attachment 2602858View attachment 2602857View attachment 2602857View attachment 2602857
[emoji1255] The ukraine seems to be preparing for their famous counteroffensive: Purchase requirement for 60 thousand body bags.
Obviosly kikao kitahusu ukweli mtupu kuhusu vita sio unafiki wa magharibi, Pope ataambiwa upande gani ambao hautaki amani na yeye aeleweHicho kikao kati ya papa na braza Viktor kuhusu op ya mrusi kitakua na tija gani kuhusu yanayoendelea huko front
🤣🤣🤣🤣🤣 lazma alie tuKhokhol S-300 crew yesterday[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2602509
Itakua huwajui wazungu vizuri...huwajui kwakua hufuatilii kwa upana, na wanadamu ndivyo walivyowekewa ule moyo wa kufanya kinachoendelea, nakupa mfano wa karibu kbs...familia yako..!!!
Nadan ya familia yako kuanzia babu yako na ndugu zake...(nimechagua kizazi hicho kwakua ndicho kilichotawaliwa na mkolon mzungu) babu yako na ndugu zake hawalingani kipato, elimu wala uwezo wa kujiendesha kimaisha, kizazi hcho kina watoto ambao ndio baba yko, baba wakubwa na wadogo na mashangazi zako wajomba na mama wakubwa na wadogo, wote hawalingani hali ya maisha...kizazi cha tatu ambacho ni wewe na ndugu zako na binamu zako nanyi hamlingani kipato, wala elimu, wala hamlingani namna ya maelewano..wala hamlingani ujuzi wa aina fulan..mnabaguana, kuna ndugu unazungumza nao vizur wengine bora liende na wengine basi, kuna wale matawi ya juu na wale kiporo cha ugali na chai kwao ndio jadi..
Mkuu umejibu vizuri!Umeonyesha uharisia..but kwa mantiki hii unatakiwa kuwa neutral !
Muulize baba yako nilimtoa marinda.
Haya mkiyataka mtayapata.
Hii nukuu ya nan au umejiongezaIt's "absolutely fair" to provide Ukraine with long-range modern weapons, aircraft, artillery and armored vehicles.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa Commandoo🤣🤣Spanish Defense Minister Margarita Robles confirmed on April 28 that six German-made Leopard 2 tanks are already in Poland and "being transported by rail to Ukraine," the Objective media outlet reported.
On April 23, Robles said the tanks were due to arrive in Ukraine "within a week." She also said that Spain would deliver four more Leopards to Ukraine after repairs "as soon as possible," according to CNN.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maandalizi ya counteroffensive ya Ukraine yameanza ni pamoja na kuagiza mifuko ya kuwekea maiti sitini elfu
View attachment 2602858View attachment 2602857View attachment 2602857View attachment 2602857
[emoji1255] The ukraine seems to be preparing for their famous counteroffensive: Purchase requirement for 60 thousand body bags.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesikika James delicious.
Nimekuelewa ipasavyo ndio nikakuandikiaa hivyo kutokana na kuanza kauli yako mbovu juu yangu.
Sio Katavi. Ni Kibera.Labda tumuulize MK254 msemaji wao kutokea Katavi.
Kweli kabisa maana Orbani ni mpenda amani,haki na ukweli.Pope Francis has arrived to Hungary, where he plans to discuss the war in Ukraine with Prime Minister Viktor Orban.
Orban has previously said Hungary and the Vatican are the only two European "pro-peace” states regarding the Ukrainian conflict.
@ukraine_watchView attachment 2602806
Obviosly kikao kitahusu ukweli mtupu kuhusu vita sio unafiki wa magharibi, ataambiwa upande gani ambao hautaki amani
Pengine Pope anaweza kumshawishi zelensky akubli kushindwa,maana kushinda kamwe *hawataweza".Hicho kikao kati ya papa na braza Viktor kuhusu op ya mrusi kitakua na tija gani kuhusu yanayoendelea huko front
Sioni tatizo lolote Ukraine kua memba wa umoja wa ulaya,Bali tatizo ni kua memba wa NATO.Uwezekano wa Ukraine kuwa memba wa ulaya ni mdogo mno kwa sabab ya utata wa mipaka yake