kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
nyani ngabu kaenda wapi siku hizi naona hata anael kabadilisha jina.Huyo sio Nyani Ngabu,huyo ni Roots
Inatakiwa apewe hizo Ndege, ili ajue hazitobadili lolote Kisha baada yahapo ataomba mazungumzo mwenyewe.
Ukraine ataomba mazungumzo pale tu atakapokuwa amemchakaza urusi na kumfurusha katika mipaka yake, Hilo liko wazi!Inatakiwa apewe hizo Ndege, ili ajue hazitobadili lolote Kisha baada yahapo ataomba mazungumzo mwenyewe.
(WAKATI TUNAENDELEA NA HABARI ZA HUKO YUKRENI, TUIPIGIE KURA TIMU YETU)
Hizo leooard labda wazipeleka sudanSasa hivi wamehama,hawajadili leopards tanks Wala challenger!
Wanaotaka F-16,wakipewa watataka F-35!Kila wanachopewa hakibadili kitu uwanja wa vita!
Basi tujitegemee tuache kelele zilizokuwa hazina tija. Kuhusu ya viongozi si juu yangu.Naona umekariri mihemuko...hapo kuna mhemko gani..kuulizwa kama simu umepewa msaada au umenunua kwa hela yako??
Ndio tunaweza kujitegemea.Shida hata hao viongozi wetu wana-akili kama hizo za kwako,
Mtaomba kila kitu mpaka mafuta mtapakwa kwa kipigo Cha heshima laakini jibu Ni kipigo.
Air defence gani Tena?Zile air defence system za Marekani zimeenda wapi mbona madude yanapita tu.
Hebu nioneshe tusi moja nililokutusi. Jee mimi nikuoneshe matusi mangapi ya pro urusi wanayotukana?Mkuu huyo ni wa kumpuuza tuu. Hakuna haja ya kumjibu kwani anapiga porojo na matusi tuu. Hakuna hoja anayojenga
Sio mawazo finyu kama unavyodhani.Kwa mawazo yako finyu ndo maana una fikra za namna hiyo.
Ni upumbavu kwa kuaminishwa na wana siasa kuwa hatuwezi kujitegemea hali ya kuwa kila mwaka wanaiba matrion ya fedha kutoka kwenye nchi hiyo hiyo wanao sema haiwezi kujitegemea.
Yaani pesa za kuifanya nchi ijitegemee hakuna ila pesa za kuiba kila mwaka zinapatikana upuuzi kabisa.
hayo uliyoyaorodhosha jee tunayafanya bila ya kutegemea?Kwa hiyo ww ukinunua juis kutoka Azam utasema unaishi kwa kutegemea msaada wa Baghareesa sio?
Maana ya nchi kujitegemea ni kuwa na uwezo wa kutimiza mahitaji muhimu ya raia wake kama afya ,elimu ,maji,umeme, bila kutegemea msaada wa nchi nyingine.