kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Asante,Uko sahihi Mkuu...... Putin alifanya calculation Kwa kiwango Cha sgr ......... kuhusu hii SMO
Kwakweli Russia ni hatari ....kitendo Cha kuingiza majeshi nchi ya wenzako si kitoto [emoji23][emoji23]
UN wameufyata .....now wako busy na sudan
Hakika Mkuu.Sahii KABISA mkuu,
Vita na Ukraine imeisha tangu mwaka Jana, Ukraine Hana ubavu wowote Tena
Tunachokiona sahv Ni NATO kulazimisha Vita iendelee mdg mdg ili kuficha fedhea ya kushindwa[emoji1]
Da ila Putin Yuko very smart,lkn utashangaa Kuna vijitu eti vinamdharau na kumuita dikteta
Hata Mimi nimeona hili kwa kweli.kifaru kimeungua lkn herufi inaonekana Iko fresh kabisa.
kipanya kaiona hiiJamaa wanaiogopa Urusi Sana
NATO wame Tambulisha Sheria Kuws ni Marufuku Kwa Ukrein kutumia Silaha inazo pewa Kushambulia Ndani ya Urusi
Hayo yamesemwa na Chancellor wa Ujerumani AkA Mateka wa Marekani bwana Olaf.
Hapa naona wamesha Ona Moto wake Wakijaribu Kupiga ndani ya Urusi majibu yake sio Yamchezo mchezo
View attachment 2607113
Western countries have introduced a rule according to which Ukraine cannot attack Russian territory with the help of weapons supplied by them, said German Chancellor Olaf Scholz
Wapigane kavu kavu bila silahaJamaa wa Wagner amesema wamepungukiwa silaha na upande wa Zele nao wamepungukiwa silaha kwa hiyo hapo kizungumkut