Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hadi kufikia Leo nimejiridhisha rasmi kua hii SMO ni kati ya Urusi na NATO.
Hii ni vita ya pande mbili,kati ya Urusi na NATO.kuanzia Leo Mimi lee van Cliff sinta iita ni vita kati ya Ukraine na Urusi,Bali ni kati ya Urusi na NATO.
Kubali kataa,huo ndio ukweli wenyewe.
Na kwa mwenendo wa vita,NATO wanaendelea kushindwa.
Sababu zinazonifanya niite ni vita rasmi kati ya Urusi na NATO ni kama ifuatavyo.

Ukweli ni kwamba,jeshi la Ukraine ni sawa kabisa na jeshi la NATO isipokua tu linakosa uhalali wa kisheria ili kua jeshi rasmi la NATO,kwa sababu linapata Kila linachokitaka kutoka NATO.

Nchi ya Ukraine ni nchi sawa kabisa na nchi wanachama wa NATO isipokua inakosa TU uhalali wa kisheria ili kutambulika kama mwanachama mwingine wa NATO.
Kwa sababu Kwa Sasa mipango yote ya vita inafanywa wanajeshi wa ukraine kwa ushauri wa makamanda wa NATO.

Nchi ya Ukraine tangu 2014 imekua ikipewa mafunzo ya kijeshi na nchi Viongozi za NATO ambazo ni USA UK German na Fra.

Ukraine imekua ikipata mafunzo Bora kabisa Kwa viwango au standard za NATO kuliko hata baadhi ya nchi wanachama wa NATO, kutoka Kwa hizo nchi Viongozi wa NATO.

Nchi ya Ukraine ilijengewa na USA UK na hata German ngome Bora kabisa na miundombinu madhubuti kabisa Kwa viwango vya NATO za kijeshi Kwa ajili ya vita kubwa kama hii tuanayoiona Leo.

Ukraine licha ya kua na silaha zake tokea awali,lkn liipewa kabla ya SMO hii na hata wakati wa smo hii silaha Bora kabisa kutoka USA UK German Fr na wanachama wengine wa NATO na wasio wanachama wa NATO.

Wakati vita hii inaendelea nadhani wote ni mashuhuda, kua michango ya silaha inapelekwa Ukraine Kila siku ili iendelee kupigana na Urusi.

Kwa sababu hii,ni kua Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana na Urusi.

Kwa mtazamo wangu Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana kwa niaba ya NATO kwa kutumia mafunzo ya NATO,kwa kutumia silaha za nato dhidi ya taifa la Urusi.

Iko hivi, haihitaji wala sio lazima kwa wanajeshi wa NATO kutoka USA,UK,Fra,Her wala Poland kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Urusi ikiwa nchi hizo za NATO zinaweza kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine kwa standard ama viwango vilevile zinavyoweza kutoa kwa wanajeshi wao,yaani wanajeshi wa NATO..
Sasa hebu jiulize,kama NATO wanaipa mafunzo,wanaipa silaha,wanaipa taarifa za kiintelijensia,wanaipa ushauri ,wanaipa fedha nchi na jeshi la Ukraine ili kuishinda Urusi lakini wameshindwa kuishinda,ni nini kimebaki ili waweze kuishinda?

Kama kweli NATO hawalipi jeshi la Ukraine mafunzo Bora,silaha Bora,taarifa kamili Sasa wanasubiri Nini?wanasubiri walipe lini?
Je kwa Nini wanakubali vijana wanajeshi wa Ukraine waendelee kupoteza maisha?
Kubali kataa Urusi inapigana na NATO ,na NATO wameishindwa Urusi.
Ni Nini bado hawajafanya ambacho wakikifanya Urusi itashindwa?
Maana kama ni vikwazo vimekwisha.

Kama USA na UK na pengine German ndio wanalifundisha jeshi la NATO.
Na kama hao hao ndio wanalifundisha jeshi la Ukraine,basi NATO kwa Urusi kashindwa
Kwa kumalizia ni kwamba mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa Ukraine ni swa kabisa na mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa NATO.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO.
Sio TU mafunzo hayo walifundishwa toka 2014 Bali wamekua wakiendelea kufundishwa Hadi Leo.
Wanafundishwa kupigana kwa standard za NATO na pia wanafundishwa kutumia silaha za nato.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO,na kwa sababu hizo NATO wanaelekea kushindwa maana Sasa hivi Ukraine inaenda kuanguka,sitegemei mabadiliko yoyote kuweza kuishinda Urusi.
Uko sahihi Mkuu...... Putin alifanya calculation Kwa kiwango Cha sgr ......... kuhusu hii SMO

Kwakweli Russia ni hatari ....kitendo Cha kuingiza majeshi nchi ya wenzako si kitoto [emoji23][emoji23]

UN wameufyata .....now wako busy na sudan
 
dubwana lilienda kufanya yake huko jana kuamkia leo [emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 2606486
Muundo wake kama popo lina sadifu matendo yake, Dude likawatembelea night kama popo bawa 🤣.

Lilichowafanya wanatakiwa wasimulie lisiwarudie tena wao wana kaa kimya, Mara ooh only 2 out of konyo konyo... Haya sie tuko apo tunajifunza kukohoa kinaa tu as usual 🤗.
 
EU’s Largest Economy Can’t Do Without China – Mercedes CEO

Cutting ties with China would put most of Germany’s industry at risk, the CEO of luxury carmaker Mercedes-Benz warned on Sunday.

The major players in the global economy – Europe, the USA and China – are so closely intertwined that disengaging from China makes no sense,” Kaellenius said. “Decoupling from China is an illusion, and also not desirable,” he added.

Mercedes-Benz’s main shareholders are the Chinese BAIC Group and Geely Chairman Li Shufu. In 2022, China accounted for 18% of revenues and 37% of car sales at Mercedes-Benz, according to Reuters.

Europe depends on China for 98% of its rare-earth elements, which are used in wind-power generation, hydrogen storage, and batteries. It also gets 97% of its lithium for batteries from the country.

Subscribe to RT
 
Wazungu wamechanganyikiwa. Unamuwekea vikwqzo Urusi, source ya cheap fuel then unataka tena kumuwekea vikwazo China ambalo ni soko kubwa la bidhaa zako. Unazalisha kwa gharama kubwa then hauna wa kumuuzia bidhaa zako. Wanawaza nini hawa watu?
 
US limbwata lake kali sana

Ulaya hawafurukut ingawaje wanakir kuwa wanaumia
 
Minister for Reintegration of the Temporarily Occupied Territories Iryna Vereshchuk called on Ukrainians who remain in Russian-occupied territories not to take Russian passports, which contradicts a recent statement by Ukraine's Ombudsman Dmytro Lubinets.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kichapo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji123]

An explosion has occurred at a Russian headquarters in the Zaporizhzhia region’s temporarily occupied village of Mykhailivka. The Ukrainian intelligence tracked the occupiers down and passed the coordinates.

Subirini makombora 100
 
Russia has suffered more than 100,000 casualties since December, Biden administration estimates​

From CNN's Betsy Klein and DJ Judd

A destroyed Russian tank sits on the side of the road near Kreminna, Ukraine, on March 24.
A destroyed Russian tank sits on the side of the road near Kreminna, Ukraine, on March 24. (Violeta Santos Moura/Reuters)

The Biden administration announced new estimated casualty figures Monday from Russia’s winter offensive in Ukraine, saying that the country has suffered more than 100,000 casualties since December and the "stunning" number is a key signal that Moscow's effort has “backfired.”

White House official John Kirby told reporters Monday that Russia has "exhausted its military stockpiles and its armed forces" and since December, the US estimates Russia has suffered more than 100,000 casualties, including over 20,000 killed in action.
The US is defining the term “casualty” as both wounded and killed.

Kirby, who serves as National Security Council coordinator for strategic communications, noted that “nearly half” of those casualties were fighters with the Russian private company Wagner— whom CNN has reported have experienced horrific experiences on the battlefield following minimal training and little leadership.

Kirby lambasted a recent assertion from Wagner leader Yevgeny Prigozhin, who said Sunday that his group had only suffered 94 casualties, Kirby calling that “just a ludicrous claim.”

Pressed on the source of the new 100,000 figure, Kirby said it was “based on some downgraded intelligence that we’ve been able to collect.” He declined to provide information on Ukrainian casualties, noting that the US has “never” provided such information and would defer to Ukraine on the matter.

Kirby added that the Ukrainians “are the victims here, Russia is the aggressor, and I'm simply not going to put information in the public domain that's going to, again, make it any harder for the Ukrainians."

The official noted that it's ultimately Ukraine's decision to declassify and make their casualty figures public. "I don't need to abide by that same sense of courtesy for the Russians — haven't done it and I ain't going to start now," he said.

With regards to fighting on the ground: Kirby said that “most” of Russia’s efforts have “stalled and failed” as the battle for the eastern city of Bakhmut continues. He added that Russia has made “incremental” gains in the town that has “very little strategic value.”

“The bottom line is that Russia's attempted offensive has backfired. After months of fighting and extraordinary losses, Russia continues to be focused on a single Ukrainian city with limited strategic value," the official said.

Kirby said any decision about a spring counteroffensive from Ukraine would be “for President (Volodymyr) Zelensky to make,” but that the US will continue to provide military aid and support.

The US official also told reporters a future package for Ukraine would be unveiled "very soon."

"What we want to stay focused on is making sure that we're helping them be as ready as they can be for whenever they choose to step off. And that means, obviously, in material support,” he told reporters.

==========================

Hivi Vita ni fedheha na hasara kwa Urusi na Putin
 
Ukraine ni mara 4 ya hao sasa
 
Hadi kufikia Leo nimejiridhisha rasmi kua hii SMO ni kati ya Urusi na NATO.
Hii ni vita ya pande mbili,kati ya Urusi na NATO.kuanzia Leo Mimi lee van Cliff sinta iita ni vita kati ya Ukraine na Urusi,Bali ni kati ya Urusi na NATO.
Kubali kataa,huo ndio ukweli wenyewe.
Na kwa mwenendo wa vita,NATO wanaendelea kushindwa.
Sababu zinazonifanya niite ni vita rasmi kati ya Urusi na NATO ni kama ifuatavyo.

Ukweli ni kwamba,jeshi la Ukraine ni sawa kabisa na jeshi la NATO isipokua tu linakosa uhalali wa kisheria ili kua jeshi rasmi la NATO,kwa sababu linapata Kila linachokitaka kutoka NATO.

Nchi ya Ukraine ni nchi sawa kabisa na nchi wanachama wa NATO isipokua inakosa TU uhalali wa kisheria ili kutambulika kama mwanachama mwingine wa NATO.
Kwa sababu Kwa Sasa mipango yote ya vita inafanywa wanajeshi wa ukraine kwa ushauri wa makamanda wa NATO.

Nchi ya Ukraine tangu 2014 imekua ikipewa mafunzo ya kijeshi na nchi Viongozi za NATO ambazo ni USA UK German na Fra.

Ukraine imekua ikipata mafunzo Bora kabisa Kwa viwango au standard za NATO kuliko hata baadhi ya nchi wanachama wa NATO, kutoka Kwa hizo nchi Viongozi wa NATO.

Nchi ya Ukraine ilijengewa na USA UK na hata German ngome Bora kabisa na miundombinu madhubuti kabisa Kwa viwango vya NATO za kijeshi Kwa ajili ya vita kubwa kama hii tuanayoiona Leo.

Ukraine licha ya kua na silaha zake tokea awali,lkn liipewa kabla ya SMO hii na hata wakati wa smo hii silaha Bora kabisa kutoka USA UK German Fr na wanachama wengine wa NATO na wasio wanachama wa NATO.

Wakati vita hii inaendelea nadhani wote ni mashuhuda, kua michango ya silaha inapelekwa Ukraine Kila siku ili iendelee kupigana na Urusi.

Kwa sababu hii,ni kua Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana na Urusi.

Kwa mtazamo wangu Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana kwa niaba ya NATO kwa kutumia mafunzo ya NATO,kwa kutumia silaha za nato dhidi ya taifa la Urusi.

Iko hivi, haihitaji wala sio lazima kwa wanajeshi wa NATO kutoka USA,UK,Fra,Her wala Poland kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Urusi ikiwa nchi hizo za NATO zinaweza kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine kwa standard ama viwango vilevile zinavyoweza kutoa kwa wanajeshi wao,yaani wanajeshi wa NATO..
Sasa hebu jiulize,kama NATO wanaipa mafunzo,wanaipa silaha,wanaipa taarifa za kiintelijensia,wanaipa ushauri ,wanaipa fedha nchi na jeshi la Ukraine ili kuishinda Urusi lakini wameshindwa kuishinda,ni nini kimebaki ili waweze kuishinda?

Kama kweli NATO hawalipi jeshi la Ukraine mafunzo Bora,silaha Bora,taarifa kamili Sasa wanasubiri Nini?wanasubiri walipe lini?
Je kwa Nini wanakubali vijana wanajeshi wa Ukraine waendelee kupoteza maisha?
Kubali kataa Urusi inapigana na NATO ,na NATO wameishindwa Urusi.
Ni Nini bado hawajafanya ambacho wakikifanya Urusi itashindwa?
Maana kama ni vikwazo vimekwisha.

Kama USA na UK na pengine German ndio wanalifundisha jeshi la NATO.
Na kama hao hao ndio wanalifundisha jeshi la Ukraine,basi NATO kwa Urusi kashindwa
Kwa kumalizia ni kwamba mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa Ukraine ni swa kabisa na mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa NATO.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO.
Sio TU mafunzo hayo walifundishwa toka 2014 Bali wamekua wakiendelea kufundishwa Hadi Leo.
Wanafundishwa kupigana kwa standard za NATO na pia wanafundishwa kutumia silaha za nato.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO,na kwa sababu hizo NATO wanaelekea kushindwa maana Sasa hivi Ukraine inaenda kuanguka,sitegemei mabadiliko yoyote kuweza kuishinda Urusi.
Mkuu kuna limitation nyingi sana kuhitimisha kuwa ni vita kamili kati ya Russia na NATO. Mojawapo ni aina ya silaha anazopewa Ukraine, si silaha zinazoweza kuipiga Urusi barabaraa kutokea mbali na yeye akarudisha majibu stahili bali ni silaha za kujihami.

Labda kama wameamua wapigane kwa mtindo huu, mnatafuta uwanja, mnakubaliana mpiganie bila kuhatarisha kutoweka kwa dunia kama tuiujuavyo mnapeana masharti ya aina za silaha kisha ngumi zinaanza.
 
Usimwamini huyu mkuu. Juzi hapa alizungumza na waandishi wa habari na kuwambia kuwa leo tumesimamisha vita Kwa kuwa Kuna waandishi kutoka marekani wanakwenda Bukhmut kupiga picha wakiongozwa na askari wa ukrein. Baadae jioni akasema hizo ni mbinu za kivita.
Jamaa anacheza vema na akili zao kuwajaza ndani ya 18 na kuwafyeka[emoji1787]
 
Hadi kufikia Leo nimejiridhisha rasmi kua hii SMO ni kati ya Urusi na NATO.
Hii ni vita ya pande mbili,kati ya Urusi na NATO.kuanzia Leo Mimi lee van Cliff sinta iita ni vita kati ya Ukraine na Urusi,Bali ni kati ya Urusi na NATO.
Kubali kataa,huo ndio ukweli wenyewe.
Na kwa mwenendo wa vita,NATO wanaendelea kushindwa.
Sababu zinazonifanya niite ni vita rasmi kati ya Urusi na NATO ni kama ifuatavyo.

Ukweli ni kwamba,jeshi la Ukraine ni sawa kabisa na jeshi la NATO isipokua tu linakosa uhalali wa kisheria ili kua jeshi rasmi la NATO,kwa sababu linapata Kila linachokitaka kutoka NATO.

Nchi ya Ukraine ni nchi sawa kabisa na nchi wanachama wa NATO isipokua inakosa TU uhalali wa kisheria ili kutambulika kama mwanachama mwingine wa NATO.
Kwa sababu Kwa Sasa mipango yote ya vita inafanywa wanajeshi wa ukraine kwa ushauri wa makamanda wa NATO.

Nchi ya Ukraine tangu 2014 imekua ikipewa mafunzo ya kijeshi na nchi Viongozi za NATO ambazo ni USA UK German na Fra.

Ukraine imekua ikipata mafunzo Bora kabisa Kwa viwango au standard za NATO kuliko hata baadhi ya nchi wanachama wa NATO, kutoka Kwa hizo nchi Viongozi wa NATO.

Nchi ya Ukraine ilijengewa na USA UK na hata German ngome Bora kabisa na miundombinu madhubuti kabisa Kwa viwango vya NATO za kijeshi Kwa ajili ya vita kubwa kama hii tuanayoiona Leo.

Ukraine licha ya kua na silaha zake tokea awali,lkn liipewa kabla ya SMO hii na hata wakati wa smo hii silaha Bora kabisa kutoka USA UK German Fr na wanachama wengine wa NATO na wasio wanachama wa NATO.

Wakati vita hii inaendelea nadhani wote ni mashuhuda, kua michango ya silaha inapelekwa Ukraine Kila siku ili iendelee kupigana na Urusi.

Kwa sababu hii,ni kua Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana na Urusi.

Kwa mtazamo wangu Ukraine ni jeshi la NATO linalopigana kwa niaba ya NATO kwa kutumia mafunzo ya NATO,kwa kutumia silaha za nato dhidi ya taifa la Urusi.

Iko hivi, haihitaji wala sio lazima kwa wanajeshi wa NATO kutoka USA,UK,Fra,Her wala Poland kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Urusi ikiwa nchi hizo za NATO zinaweza kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine kwa standard ama viwango vilevile zinavyoweza kutoa kwa wanajeshi wao,yaani wanajeshi wa NATO..
Sasa hebu jiulize,kama NATO wanaipa mafunzo,wanaipa silaha,wanaipa taarifa za kiintelijensia,wanaipa ushauri ,wanaipa fedha nchi na jeshi la Ukraine ili kuishinda Urusi lakini wameshindwa kuishinda,ni nini kimebaki ili waweze kuishinda?

Kama kweli NATO hawalipi jeshi la Ukraine mafunzo Bora,silaha Bora,taarifa kamili Sasa wanasubiri Nini?wanasubiri walipe lini?
Je kwa Nini wanakubali vijana wanajeshi wa Ukraine waendelee kupoteza maisha?
Kubali kataa Urusi inapigana na NATO ,na NATO wameishindwa Urusi.
Ni Nini bado hawajafanya ambacho wakikifanya Urusi itashindwa?
Maana kama ni vikwazo vimekwisha.

Kama USA na UK na pengine German ndio wanalifundisha jeshi la NATO.
Na kama hao hao ndio wanalifundisha jeshi la Ukraine,basi NATO kwa Urusi kashindwa
Kwa kumalizia ni kwamba mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa Ukraine ni swa kabisa na mafunzo ya kijeshi anayopewa mwanajeshi wa NATO.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO.
Sio TU mafunzo hayo walifundishwa toka 2014 Bali wamekua wakiendelea kufundishwa Hadi Leo.
Wanafundishwa kupigana kwa standard za NATO na pia wanafundishwa kutumia silaha za nato.
Kwa sababu hiyo Urusi inapigana na NATO,na kwa sababu hizo NATO wanaelekea kushindwa maana Sasa hivi Ukraine inaenda kuanguka,sitegemei mabadiliko yoyote kuweza kuishinda Urusi.
Sahii KABISA mkuu,
Vita na Ukraine imeisha tangu mwaka Jana, Ukraine Hana ubavu wowote Tena

Tunachokiona sahv Ni NATO kulazimisha Vita iendelee mdg mdg ili kuficha fedhea ya kushindwa[emoji1]
 
Muundo wake kama popo lina sadifu matendo yake, Dude likawatembelea night kama popo bawa [emoji1787].

Lilichowafanya wanatakiwa wasimulie lisiwarudie tena wao wana kaa kimya, Mara ooh only 2 out of konyo konyo... Haya sie tuko apo tunajifunza kukohoa kinaa tu as usual [emoji847].
Urusi kwny silaha za kivita nmeinyooshea mikono, ana midude ya ajabu Sana mingi nmekuja kuiona kwny Hii Vita, wanashusha Moja baada ya jingine[emoji1]
 
Askari wa Ukrein walio kuwa wakipewa mafunzo na RAMBO (NATO)
Wakaona Wamekwiva Si wakajikusanya Kufanya Counter Uchwara huko
Svatovo-Kremennaya
kilicho wakita Ndio hiki
wamelala na Soksi
View attachment 2606025

MUNGU IBARIKI URUSI

Kuna mmoja hapo kaona abinue tako kabisa. Hayo mafunzo alokua anapewa na RAMBO yananipa maswali sana.
 
First Details Emerge On Russia’s Latest Passenger Plane Project

Russia's newest passenger plane, the MC-21, will cost approximately 3 billion rubles ($37 million), roughly half the price of an equivalent Boeing, RIA Novosti says, citing a government source.

The MC-21 is a medium-haul plane capable of carrying between 163 and 211 passengers. It is based on the latest developments in aviation and is designed for the most in-demand segment of the transportation market.

The launch of mass production of the MC-21 is scheduled for 2024, with six planes already ordered by various airlines.

Subscribe to RT

View attachment 2606132View attachment 2606133View attachment 2606140

Kuna upinde anakwambia Russia maskini
 
Back
Top Bottom