Duh! Hii aibu anayoipata urusi hatosahau walahi!Counterattacks force Russia out of some Bakhmut positions
If you've been keeping up with the blog over the last few weeks, you will have noticed the story of Bakhmut became one of incremental Russian gains.
But now a series of counterattacks have forced Russian troops from some areas of the key city - which has been at the centre of the fighting for several months - a top Ukrainian general said today.
While reportedly visiting the front lines, Colonel General Olehsandr Syrskyi said the situation remains "quite difficult", with Russian units "constantly thrown into battle" despite taking heavy losses.
"But the enemy is unable to take control of the city," Col Gen Syrskyi said on Telegram.
In another update today, Ukraine said its forces repelled more than 36 enemy attacks on the part of the eastern frontline that stretches from Bakhmut to Maryinka.
Sky News cannot independently verify these battlefield reports.
==========================
Hicho ni kionjo tu, bado offensive kamili.
Nakazia [emoji28][emoji16]Duh! Hii aibu anayoipata urusi hatosahau walahi!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unadhan Wagner wanaweza kusavaiv bila ya sapot ya serikal ya urusWagner wakijiondoa pale tegemea majanga zaidi
Walaaniwe hawa mbwaLeo nimeisikilza hii ngoma vizuri sana, Kendrick Lamar kashakua fala. LGBTQ ishaingia kwenye hiphop.View attachment 2583831
Nilitaka kumjibu ila nikampuuzaUkiwaambia watakosa wateja kutoka Magharibi huoni umewalazimisha vile vile?
Tena mkuu acha uongo, yapo yaliyotishwa kuwekewa vikwazo iwapo yataendelea kufanya biashara na Urusi?
Sasa hii unaizungumziaje kama free trade na hayaongozwi na serikari Yao?
Huyo hana hojaYaani kabisa unasema kwamba sera au amri ya serikali haina impact kwenye kampuni.
Kwa reasoning ya namna hii, sidhani kama una hiyo kampuni.
Bado mnakunywa Chai bila skari hapo MOSCOWAcheni story Aa vijiweni
@TshBwana TSH na wewe una akili za kurushiana matusi kama hivo sijawahi kuona ukitukana toka opereshen ya urrusi huko ukraine ianze so endelea na ile hekima ya tokea mwanzoni mkuu matusi hayakupendezi mkuu
Makombora yalipigwa zaidi ya 100Makombora 15/18 yadunguliwa
Yote yaliyoelekezwa Kyiv yamedunguliwa
Russia wanacontrol zaidi ya asimilia 95 ya mji soon watauchukua wote.Vita ni Mkakati - Mambo yanazidi kuharibika Bakhmut
![]()
Ukraine says its forces now control a key supply route in the embattled city of Bakhmut, Ukraine [Oleg Petrasyuk/EPA]
Hii koment ya akili kubwa ila watu wale hawatakuelewaNaam leo nimeqoute "Smart brain" wawili kwa mkupuo.
Kwanza nianze kwa kucheka maana show kali [emoji1787] kisha kuwapa pole kwa nguvu mnazotumia tatu kuwapa hongera kwa ufafanuzi mnaotoa kwani kwa wenye uhitaji wa kujifunza sio kubishana kuna kitu ama vitu wanapata kupitia maongezi yenu.
Nachoona tu hapo kuna wenye kujikuta wanajua ila hawajui, na hawajui kama hawajui kwasababu wanaona wote wenye mitizamo na yao sio lolote si chochote.
Niungane tu na Pro Putin mmoja hapa aliesema kwamba kwa namna anavyozungumza jamaa sina hakika hata kama ana uwezo wa kumiliki kampuni. Nasema hivyo kwasababu kila anachoandika yuko nje ya uhalisia. Na ni wazi hajui A Ba Cha Da za kampuni sasa anawezaje kulimiliki.
Popote pale duniani, labda kama kuna sayari yao hawa wenzetu. Kampuni ni legal entity ambayo inakua registered na state husika. Kampuni hiyo as legal entity itaishi, itafanya kazi kwa kufata sera za state iliposajiliwa. Hapo ndio tunakutana na Hizi taasisi husika ambazo kazi yao kuu ni kuziregulate hizo kampuni mfano kwa hapa TZ jukum hilo linafanywa na BRELA on behalf of Government.
Na mara baada ya kampuni husika kusajiliwa linakua kama vile limepewa "uraia". Hapa ndio huwa tunasikia kampuni la Uchina, Kampuni la Japan, Kampuni ya Tanzania, Kampuni ya Zambia etc,... Na ikitokea likataka fanya shughuli nje ya State iliposajiliwa huenda kuomba ridhaa eneo husika kama sie tunavyonyanyuka kwenda kuomba Visa kwenye mabalozi ya nchi tunazotaka kwenda.
Pia, Ilivyo Passport kama dhamana ya utambuzi wa sehem tunayotaka kwenda... Certificate of Incorporation ya kampuni ambayo hutolewa na State ilipo sajiliwa huwa ndio dhamana yake ya utambuzi. Je hivi leo ukifutiwa uraia, utapokelewa nchi jirani kama nani? Leo kampuni iende kinyume na matakwa ya wasajili ifutiwe usajili itafanya kazi ugenini kama wakina nani?
Any way hiyo ni just intro, then tugusie vipengele ambavyo nasema naungana na yule mdau aliyesema jamaa kwa anayoongea hana hicho kitu anachojinasibu hapa kwamba anacho zaidi ya kujikweza kijuha na kipumbafu tu.
Mosi ni Sakata la Huawei, Google and Others US Companies waliambiwa na nani waache kufanya biashara na Huawei? Je yalikua ni Maamuzi yao? Kwanini walitiii? Hii issue ina karibu miaka minne na inaonesha namna gani alivyo mweupe!
View attachment 2584301
Kwamba zinajiamulia tu, ok na hawa ikawaje tena? Vipi kama anamiliki kampuni unakosaje kujua issue kama hizi? Vipi hawa nao walijiamulia? Kwanini wametiii kama wana uhuru wa kujifanyao walitakalo.
View attachment 2584302
Juu hapa kwani Biden ni CEO wa hizo Companies? Ni Shareholder? Ni Beneficiary? Why atoe maamuzi na wao wafate hata kama yapo kinyume na dira ya kampuni zao? Kwanini wametii ma hawajaamua kufanya watakalo?
Pili, Jambo lingine hata kwa akili ya kawaida tu, kila kampuni hufanya Annual return na kuiwasilisha kwa mamlaka husika. Kama ni kujiamulia tu wasipoziwasilisha huwa wanafanywa nini na kwanini ni lazima?
Ama vipi ukijisajili unataka fanya biashara ya kuku halafu ukaenda fanya biashara ya mbao, utafanywa nini? Issue si kujiamulia tu? Unamiliki vipi kampuni ushindwe kujua vitu kama hivi?
Come on! Mbali na hilo kila kampuni lina secretary, kuna jukum ambalo huwa analifanya wengine pia huajiri mtu special kwa ajili hiyo wanapenda kumuita Legal and Compliance Officer. Ambae kazi ake kuu ni kuhakikisha Kampuni inafanya kazi kwa kuzingatia Sheria na utaratibu (Law and regulations) za nchi husika. Kama ni kujiamulia tu huyu huwa anaajiriwa ili iweje? Unamilikije kampuni ushindwe jua na hilo?
Turudi kwa Russia, Vikwazo vimewekwa na serikali za West. Why companies follows maamrisho hayo kama wao ni kujiamulia tu? Kila kampuni huanzishwa kwa lengo la kutengeneza faida na sio hasara... Wamepoteza billions of dolali, je wamependa? Haya hapo wanamtiii nani hadi kua hiari kupoteza alot of Money kwa ajili ya maamuzi yasiyo yao?
View attachment 2584312
Moja ya vitu ambavyo huwa vinatizamwa na Wawekezaji katika kuanzisha kampuni sehem yoyote ile huwa ni Political Stability ya eneo husika? Ashawah kujiuliza kwanini?
Tusiongee sana wacha niweke kituo japo kwa hayo machache.
Ila bongo tuna upuuzi sana, Pretending kujua vitu ambavyo hatuvijui tena kwa kukashifu wale wanaojaribu kutusahihisha, so funny [emoji1787]. Team upinde hiyo limbwata mlopewa na US nahisi itaisha labda mkiwa chini ya Ardhi. Hayo mahaba hata Shetan anayaogopa.
Hii Special Op imekuja na mengi, na moja wapo sikuwah amini kama TZ kuna watu wa sampuli hii nayo ishuhudia tena hasa hapa JF walio kua wanajitapa kwa kujiita GT kumbe ni ..........
Mwisho niirudie ile kauli ambayo huwa napenda kuisema, kua na upande si dhambi, kua na mahaba jambo la kawaida ila yakikufikisha hali ya kuidhinisha maji ya mchele kua ni maziwa STOP. Huo ni UTAHIRA [emoji112].
mkuu hizi asilimia tumezipata leo wiki ya 3 sasa.Russia wanacontrol zaidi ya asimilia 95 ya mji soon watauchukua wote.
Kiaje?Mita 150 ni sawa na 1.5km mkuu.
Dah kongole MKUUHuyu jamaa atawachosha tu ndio maana binafsi huoni nikireply kwao bali kwenu.
Niandikie tena kwa herufi kubwa kua HAJUI CHOCHOTE, wala HAJUI HATA NINI ANAZUNGUMZA.
Nilisema mwanzo hawa kuna sayari yao wanaishi ina mambo yao ambayo obviously haya correlates na uhalisia uliopo ambao mie na wewe tunauona.
Katika watu wenye fikra mvuke basi ni hawa ndugu zetu. Huezi maliza paragraph mbili unasoma kinachomtoka kichwani mwake.
Duniani kuna aina mbili kuu za Makampuni, Private Companies and Public Companies. Private Companies haya hisa zake haziuzwi kwa Umma na kinyume chake ndio Public Companies. Katika hayo ndani yake kuna vijiaina vidogo dogo ambavyo hupatikana kulingana na sheria na mwongozo wa nchi husika. Lakin aina zote kwa wingi ama upana zina fall katika hizo category mbili. Public ama Private Owned Companies.
Hata kama beneficiaries ni Government bado linaeza kua Private endapo hisa zake haziuzwi kwa Public au iwe Public Company kama hisa zake ziko free kuuzwa ama kununuliwa na kila mtu.
Hii tu elim changa juu ya makampuni "Mzee mmiliki" kitambo sana haijui kabiiiiisa.
Wenzetu walivyo na ujinga mwingi utakuta wanashupaza kuisemea US af hawajui chochote kuhusu taifa hilo. Nimetoa mifano kwa ndugu IFAC wakati nasema nae lakini bado kwa ndugu mtanzania hapo huenda jina kweli lina sadifu yaliyomo. Asili ya ile mambo utaivunja jioni asbuh mchwa wamefanya yao.
Kampuni kua Privately owned haina maana ya kujifanyia mambo yake nje ya taratibu zilizo ainishwa na State lilikopewa "residency".
Mfano Tanzania huezi kuta kampuni lina suffix ya Inc. LLC, AG, Corp. etc kwenye jina lake kwasababu sio ndani ya mwongozo wa sheria na taratibu zilizopo nchini. All companies registered in Tanzania zinabeba "LTD" ama "Limited" kwani ndio utaratibu wa nchi ulivyo hata kama unalimiliki huezi kwenda kinyume na hilo unless ufunge ukafungue sehem nyingine.
Kila sector iko under Taasisi ama Wakala wa serikali husika anayefanya kuratibu shughuli zake zifate mwongozo na matakwa ya serikali husika. Ndio ile tunasema kutii mamlaka na ipo kikatiba sio ombi alas. Kama alivyo Raia, tumesema hapo juu Company ikishakua registered inakia legal entity ambayo inapaswa kuendeshwa kwa kufata sheria na taratibu lengwa.
Ndio ile tunasikia kampuni, limeshitakiwa, kampuni limepigwa faini, hivi na vile kama kwani linatakiwa lifate taratibu na sio kujiamulia tu A Ba Cha Da. Tuna Banks hapa nchini, zipo PLC kama CRDB na Private Exim lakini zinafata mwongozo wa BoT na haziendi kinyume na hapo. Tuna kampuni za Sim lakini zinafata mwongozo wa TCRA, Ushawah sikia TIGO wanasema sie ni kampuni binafs hatufati maagizo ya Serikali?, Makampuni ya Madini chini ya wizara ya Madini n.k
Sasa kama mifano tu ambayo hata hapa hapa nchini ipo mtu hawezi ng'amua ya kuvuka Pacific anayujulia wapi?
Pale US upande wa biashara kuna DoC, I mean US Department of Commerce. Ambayo inashughulikia all businesses, Universities, Communities na National Workers. Amtafute Gina Raimondo Secretary wa hiyo department amuulize vizuri au atembelee website yao akajifunze www.commerce.gov,
All companies registered ndani ya US, al maarufu "kampuni za kimarekani" zinasikiliza nini hao wehu wanataka. Wakisema No to flani kila company inafata na wakisema Yes to flani wanafata vile vile. Otherwise wafunge wakajiandikishe sehem nyingine!
Sasa atwambie wapi waliwahi toa Onyo af hizo kampuni zikabisha! Au pale inapotangazwa vikwazo vya uchumi kwamba marufuku kufanya biashara na kampuni za hapo US, hizo kampuni huwa ni za Serikali kwamba zingine ziko zina Immune na Amri hiyo?
Aisee hii dunia bn, Tumetoa hadi mfano wa HUAWEI na Google LLC, Kwani Google ilikua ni Kampuni ya Trump wajameeeeeeeneee [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa alivyokaza shingo sasa wakati anachokizungumza wala hakijui.
Akiii, Bado tuna safari ndefu sana ya kupata Uhuru wetu ili tuweze kujikomboa.
Yah, I mean it for sure..... Uhuru wa Kifkra!