Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizo silaha alizopewa mpaka sasa ni kwa ajili ya kujilinda tu ndio maana hajapewa silaha zenye uwezo wa kushambulia mpaka Urusi (Atacms) .......

wangekuwa na nia ya kuidhalilisha Urusi huenda hali ya Vita isingekuwa hivi ilivyo.
Nani anasubutu kurusha hata jiwe tuu kuingia Urusi? Zaid zaid watafanya kwa njia za panya na kumsingizia Ukrain, ndio maana Urusi alikua anapiga maeneo anayohisi yanasababisha vishambulio vinavyovuka mipaka na hachukui hatua zaid ya hapo..Ulaya nzima na US inajua kuna nuke zimelenga kambi zao za jeshi kutokea Urusi, hivyo zikija kama sita hivi huwezi zuia zote..lazima mbili ama tatu zitaingia..destruction yake ni kwamba hutaweza kuendelea na vita tena..
Na ndio maana mwanzo wa SMO waandishi wa ulaya walikua wanatumwa kuipeleleza Urusi kama kuna posible way Urusi itatumia Nuke..walipohakikishiwa wakipeleka pua atatumia Nuke wamekausha wanamsukumizia Ukrain mzigo wote.
 
Leo ni siku ya 114 toka washirika wa Zelensk watangaze kuanza kusafirisha tank za kisasa kuelekea Ukraine.

Pia leo ni siku ya 17 toka waziri wa Ukraine apokee vifaru vipya aina ya Leopard na challenger.

Nini kimevikumba hivi vifaru?

Tunaomba mtupe majibu sahihi bwan Kipanya 44 na T14 Armata maana nyie ndo mashoga wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukraine walitaka vifaru vizito kuliko hata miundombinu yao.

Ngoja tuone vikianza kazi vitakua na performance gani.
20230410_220942.jpg
 
Hii current NWO wanaoipinga Urusi kwa sasa, Ukraine sio walioiasisi..... Ukraine ni muhanga tu wa ubabe wa Urusi kwa miaka mingi kama ilivyo Georgia iliyovamiwa 2008, Ila kwa sasa kaamua kupambana hatima yake.

isitoshe sio rahisi kuidismantle hii NWO kwa kuivamia Ukraine badala ya kushughulika na US moja kwa moja....
Mkuu...bado hujashtuka tuu..? ni nani alikwambia hapo ana-deal na Ukrain? Mara ya kwanza alifanya kama atempt ya kuingia Kyv kwa msururu wa malori...akaiona responc ya US...akajua ana-deal na NATO na sio Ukran km vyombo vya west vinavyopigia vigelegele...Urusi alikua ameshajipanga kwa kila option, kwamba km ni Ukrain atafanya kipi na kipi kama ni NATO atafanya vipi..km ni US pekeake atafanya vipi na vipi...ndio maana unaona ameweza kuhimili mapigo yote ya US na washirika wake, asingekua amwjipanga ungekua ameangamizwa kiuchumi tayari..na Kama angekua ana-deal na ukrain tuu basi hakika angekua ameshamaliza kazi
 
Mkuu...bado hujashtuka ytuu..? ni nani alikwambia hapo ana-deal na Ukrain? Mara ya kwanza alifanya kama atempt ya kuingia Kyv kwa msururu wa malori...akaiona responc ya US...akajua ana-deal na NATO na sio Ukran km vyombo vya west vinavyopigia vigelegele...Urusi alikua ameshajipanga kwa kila option, kwamba km ni Ukrain atafanya kipi na kipi kama ni NATO atafanya vipi..km ni US pekeake atafanya vipi na vipi...ndio maana unaona ameweza kuhimili mapigo yote ya US na washirika wake, asingekua amwjipanga ungekua ameangamizwa kiuchumi tayari..na Kama angekua ana-deal na ukrain tuu basi hakika angekua ameshamaliza kazi
Acheni story Aa vijiweni
 
Aisee,kwa hiyo wamekubali kutumia mabilioni ya fedha na maisha ya Malaki ya watu kupotea, ,kuharibiwa miundombinu muhimu kama umeme,kuzalisha wakimbizi,Kuua uchumi wao,serikali zao kuanguka,kufunga viwanda vyao,kupoteza ajira za watu wao na mabenki kufilisika,kuosa nishati na malighafi.yote hayo wamekubali yafanyike wakati kumbe uwezo wa kumdhalikisha urusi kwa silaha za kushambulia mpaka ndani ya Urusi wanao?
Kuwa hawataki kumpa zelensky kwa sababu wanaepuka kumdhalikisha urusi?

Kwa hiyo wewe hata maneno ya Mkuu wa NATO anaetegemewa na NATO, Marekani,kupitia kwa Rais wake bw Joe Biden kumbe unapongana nae?
Aliewahakikishia watu wake,watu wa NATO na watu wa Dunia nzima kua hatapeleka jeshi Ukraine kwa sababu safari hii wanadili na moja ya JESHI kubwa kabisa hapa Duniani.
Sasa wewe Leo unapingana na Amiri jeshi Mkuu wa majeshi ya NATO?

Nakuambia hivi,silaha kweli wanazo,za kumpa zelensky,lakini wanaogopa majibu ya Urusi kwao.
Wanatamani kumpa lkn wanaogopa,hakuna maelezo zaidi ya hayo.

Bana, acha siasa baba .
Wanajitoa akili kwa kuipenda sana marekani...bila kujua hali ni vyema au sio vyema
 
Ukrainian Lawmakers Restore Bonus Remuneration to Military

The parliament has passed a law, which provides for the restoration of an additional payment of Hr. 30,000 to all military personnel, as well as to rescuers and police officers.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO to Hold Largest-ever Air War Games While Real War Rages in Ukraine’s Skies

NATO has announced that it will hold its largest air exercise since the beginning of the Cold War in June.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Volodymyr Zelensky met with the founder of the Virgin Group, Richard Branson. The British entrepreneur has become the new UNITED24 ambassador.

“It is very important that new well-known and influential personalities join this platform. One of the main tasks is to keep the world's attention on Russia's war against Ukraine, which has been going on for more than a year. Also, there are very specific issues that we can work on together," the President noted.ok

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pentagon Has Been Spying on Zelensky, Fearing Kyiv May Strike Russia With Long-range Missiles

A source close to Zelensky said that the US spying on Zelensky was not surprising for the President. Still, Ukrainian officials are deeply frustrated about the leak.

Read more on olur website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji845] Flight restrictions over Ukraine will continue until 2029.

The European Organisation for the Safety of Air Navigation (Eurocontrol) in its seven-year forecast notes that restrictions on flights in the airspace of Ukraine, Russia, Belarus and Moldova will remain in place until 2029.

It is specified that the matter concerns a return to the usual routes of aircraft.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi nyie pro NATO na USA kweli mna uwezo wa kutambua mambo sawasawa?

Hivi kweli Kwa akili Yako unaweza kuupima upinzani wa kijeshi Kwa kuangalia ukubwa wa eneo?au kwa ubora wa silaha na askari?
Je unaichukuliaje nchi kama Israel kieneo na uwezo wake wa kijeshi kukabiliana na nchi kubwa kieneo za kiarabu kwa pamoja Tena zenye uchumi maradufu dhidi ya israel?

Je sio wewe na NATO ubwabwa wenzako ambao Kila siku mnashangilia misaada ya masilaha na masilaha anayopewa Ukraine,Tena mna neno lenu, package.
Tena wewe ndio kinara,mara Kila siku unafurahia ujio wa Patriot,mara Himmers,mara juveline,mara Abraham's, leopard na challengers.
Sasa huoni hapo Urusi ilikua inapigana na adui aliejificha ndani ya mji mdogo lkn aliepewa Kila silaha Bora kabisa kutoka nchi zaidi ya 31 zinazoogopeka kabisa hapa Duniani?
Tena na ushauri wa juu kabisa wa kijeshi na taarifa za kijasusi kutoka Kwa majasusi wabobevu wa NATO na Satellite zaidi ya 70 ziko angani zinampa maelekezo Ukraine?
Si wewe na NATO wenzako mnaofurahia Kila siku kile mnachokiita package ya vikwazo vipya?

Na je sio wewe unaefurahia Kila siku maandalizi ya counter offensive inayopangwa pentagon?
Sio wewe?
Je Urusi kuchukua mda mrefu kuwafukuza Ukraine pamoja na NATO walikua wamejichimbia Barkhmut huoni kama Urusi ni shujaa?
Je unaijua vizuri miundombinu ya Barkhmut?
Unajua Kuna mahandaki sawa na vijiji?
Je kwa Nini hutaki kukubali kua Urusi ameipiga Barkhmut kwa akili sana kuepuka hasara kubwa kwa upande wake?
Nyie pro NATO mbona mnajifanya hamayaoni haya.

Sasa nakuuliza na wewe ilikuaje kwa USA akisindikizwa na marafiki zake wa NATO na wasio wa NATO alikaa miaka 20 vitani Afghanistan akipambana na Kikundi Cha Watalaban na Al qaida amabao hawakua wanatumia silaha nyingine zaidi ya AK-47 peke yake,bila vifaru,ndege, satellite,meli,nyambizi wala gunship helkopta.
Wala wakiwa hawasaidiwi na nchi yoyote hapa duniani?

Sasa Leo hii Ukraine iliyofundishwa na NATO toka 2014 Hadi Leo mnaokota Hadi walemavu, Ukraine imepewa Kila aina ya silaha Bora kabisa kutoka NATO wote na wasio NATO.
Umempiga KO akiijibu hii post basi tutajua huyu jamaa ni mama la mama a.k.a Upinde pride, a.k.a anafukuliwa tope akili imepotea
 
Mkwara tu huo; hayo ni matanki ya kutishia tu hayana lolote. Kutoka Special Military Operation, Denazification and Demilitarization hadi kufikia kuwa Survival War ujue kuna mtu maji yamemfikia shingoni. Tulifundishwa kuwa usiwashe moto ambao huwezi kuuzima kwani unaweza kukuchoma wewe mwenyewe; Putin hakupata elimu hiyo.
Hebu rudia kuisoma post yko mkuu then reflect na SMO hii tokea Feb 2022 hadi leo..
 
Back
Top Bottom