Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Nimeshamsoma tayari.alishaanza kukata moto.
Kama na wewe ni muumini wa yeriko Nyerere basi huna hoja pia.Naona Yericko Nyerere akifafanua Swala la Putin vizuri kwenye ukurasa wake wa Facebook.View attachment 2583900
Kuna data nyingi sana zinazzonyesha maisha ya Putin ila sasa sensionalizers wanapenda sana majibu ya mkato. Yericko hajwahi kutoa ushahiudi wa kuonyesha kuwa Pution aliwahi kuishi Tanzania bali na yeye huwa ana senataionalize picha tu. Picha hiyo iliwahi kumfikia Putin mwenye akaikana lakini kuna warusi wa mazese wanainganania sana; soma ripoti za baadhia wa watafutaji wa mambo wenyewe.
HISTORY CHECK: Mystery solved? On the trail of much-shared photo supposedly of Putin, Machel and Mnangagwa in the 1970s
A grainy photo claims to show Vladimir Putin training Mozambique’s Samora Machel and Zimbabwe’s Emmerson Mnangagwa.
Why Vladimir Putin couldn't have trained fighters in Africa - BBC report
A black and white image which some people falsely claim shows Russian president Vladimir Putin training liberation movements in southern Africa, has been circul
War in Ukraine: Why Vladimir Putin couldn't have trained fighters in Africa
A misleading photo has been used by some to suggest the continent should support Russia in Ukraine.