Marekani hana jema na Mrusi, anatamanii hata kesho urusi isiwepo, ndo maana anabigana na urusi Kwa mgongo wa ukreni. Siraha mafunzo na wanajeshii wakujitolea analipa Marekani.Ni kosa kuivamia nchi nyingine.lakini makosa hayo yakifanywa na Marekani nchi zingine haziruhusiwi kusaidia.Siria mpaka Leo wanalalamika Marekani Yuko pale Kwa ruhusa ya nani?Nilikuwa sitaki kuandika lolote kwenye mjadala huu tena ila wewe nitakujibu. Kwanza tumia lugha nzuri kujibizana hoja, ukianza lugha mbovu hata mimi ninazijua sana. Naona unaanza na lugha mbovu lakini nitaziacha kwa wakati huu.
Urusi haikuvunja Warsaw Pact bali himaya ya urusi ilianguka kwa kuishiwa nguvu, na hivyo nchi zile ilizokuwa inazinganangaia kuuna USSR na Warsaw Pact zikawa huru. Ndiyo Maana Ukraine ni nchi huru, na Poland (yenye jina la Warsaw) ni member wa Nato. Putin ndiye mwenye mawazo ya kiazamani kujaribu kurudisha USSR na Warsawa pact. NATO ni muunganwo wa kijeshi wa nchi huru, nchi yoyote inaweza kujiunga na faida kubwa ya NATO ni kuwa wanachama hwake hawawezi kupigana vita, hali inaoongeza amani katika maeneo yao.
Kama wewe unadhani kuwekeza nchi ni kuhujumu usalama basi hata Tanzania tuachane na kinachoitwa wawekezaji. Mtu akija kuweka raslimali zake kwako anakuwa amakuamaini kama nchi na anahitaji usalama. Hakuna vita inayoimarisha usala hata siku moja.
Notion ya uadui baina ya nchi za mashariki na magharibi imeanza kuwa kubwa sana miaka ya hivi karibuni wakati wa utawala wa Putin na Xi Jinping. Miaka yote ya tisini baada ya kuanguka kwa USSR na China kuana biashara na nchi za west hadi 2010 hakukuwa na hostility hiyo hadi pale walipojisiskia wana nguvu ndipo wameamua kuanza hostility tena kwa kutatumia vigezo vya "uadui". Adui wako hawezi kushirkiana nawe kwa kuwekeza kwako ili kusaidia uchumi wako.
Pole sanaUrusi kama urusi ameshapata kilema Cha maisha,.,wamebaki bahadhi ya mazombi wanaojaribu kutuaminisha kwamba urusi Iko imara
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unarudia maneno hayo hayo tu.Msumbiji ilipata Uhuru mwaka 1974, kwa hiyo iwapo unaondoa mwaka 1973 basi Machel hakuwa Tanzania kuanzia mwaka 1974. Halafu Mnangagwa alifunguliwa jela mwaka 1975, na alipofunguliwa alijiunga na chuo kikuu cha Zambia kusomea digrii ya sheria. Alipomaliza akafanya internship kwenye kampuni ya sheria hapo Lusaka, na kuanzia hapo hakujishughulisha tena na shughuli za kieshi akabaki kwenye nyanja ya sheria tu, kwa hiyo Mnangagwa asingeweza kuwa Bagamaoyo kwa mafunzo ya kijeshi mwaka wowote kuazia 1973 hadi 1977.
Inaitwa proof by elimination ndugu yangu. Kuna njia nne au tano kubwa za proof, mimi kutokukuambia kuwa mtu aliyeko kwenye oicha ni nani kama siyo Putini haina maana kuwa basi mtu huyo ni lazima awe Putin. Burden of proof iko kwako kuweka passport yake kuwa aliingia Tanzania lini na aliondoka lini.
Wewe ni kiraza ambaye hujui kituPutin alimaliza chuo Summere ya 1975, akajiunga na KLGB Trainining kwa miaka mitatu, which means alimaliza mafunzo mwaka 1978 au 1979 hivi. Wewe mwenyewe hujui alikuwa wapi ila unaungaunga vistori tu. Asingekubaliwa kuwa ofisa wa KGB bila kukamilisha training ya miaka mitatu iliyokuwa inatakiwa ambapo pamoja na mambo ya kijeshi na silaha, na ukachero, walikuwa wanajifunza lugha za Kigeni; Puni alijifunza kiingereza na kijerumani.
Leta ushahidi wako kuwa alikuwa Tanzania anafundisha wapigania uhuru kwa kireno huku yeye mwenyewe akiwa anajifunza kiingereza na kijerumani wakati huo!
Umekuja na source ya BBC. 😀 😀 😀 Wafuasi wa LGBTQ mnashida sana.Mr Mnangagwa could not have been in Tanzania in 1973 as he was arrested in 1965 and imprisoned for 10 years by the white-minority government in then Rhodesia.
Source: BBC
Na wewe ubongo wako pia nia ghali sana. Angalia waliofuatilia picha hiyo wanasemajeWewe ni kiraza ambaye hujui kitu
Pengine tukuulize putini bagamoyo alikuja kama nani? Raia wa kawaida au solder au mpelelezi?
Nenda maktaba ya taifa picha zake zipo za akiwa bagamoyo- posta
Pia unaweza tembelea tbc taifa utapata documentary ya putini akiwa na wapigania uhuru wa africa
Sio unaleta kekelele tu tembea hayo maeneo afu utaleta mrejesho nyau mimi
Sana tu yaani,kapigwa kimtindo.Jamaa kampa SPANA ya kichwa hata kimbelembe kitakua kimeisha.
Umekuja na source ya BBC. 😀 😀 😀 Wafuasi wa LGBTQ mnashida sana.
Kwa propaganda, Ukraine na wanaomsaidia wako vizuri zaidi. Taarifa wanazotoa unaweza fikiri wanakaribia kuikamata Moscow.Watu ukiwaambia wafungue vichwa wako sifuri kabisa wakishameza propaganda hawazitemi hata siku moja,
Nadhani ni kupambana na aliensLengo la USA kusambaza Base za kijeshi duniani ni nini?.
Lengo la USA kuweka Nuclear kwenye baadhi ya nchi za Ulaya ni nini?.
Maktaba ya Taifa, nitajitahidi nipite nione hii kumbukumbu. Asante kwa source.Nenda maktaba ya taifa picha zake zipo za akiwa bagamoyo- posta
Pia unaweza tembelea tbc taifa utapata documentary ya putini akiwa na wapigania uhuru wa africa
Sio unaleta kekelele tu tembea hayo maeneo afu utaleta mrejesho nyau mimi
Akili za mashoga utazijua tu.Na wewe ubongo wako pia nia ghali sana. Angalia waliofuatilia picha hiyo wanasemaje
![]()
INVESTIGATION: Putin never visited Tanzania in the 1970s
INVESTIGATION: Putin never visited Tanzania in the 1970snilepost.co.ug
Unawezekana na wewe ni mmoja wa warusi wa Mamnzese wanaoamini kua kila neno la Putini ni dhahabu kwenu.
Utulize basi na uungane na watanzania kupinga Ushoga.Maktaba ya Taifa, nitajitahidi nipite nione hii kumbukumbu. Asante kwa source.
Kama makampuni ya West hayamilikiwi na serikari zao?Kuwa makini na lugha zako kwa sababu huwa niko sensitive sana dhidi ya lugha mbovu zinazotumiwa na ninaojadiliana nao.
Makampuni ya nchi za west siyo ya serikali, ni ya kila mtu; hata mimi na wewe tunaweza kuwa na shea huko. Yakienda sehemu kufanya biashara siyo kuwa yanakwenda kufanya biashara kwa niaba ya serikali ya Marekani au Uingereza, yanakuja kufanya biashara katika nchi friendly ambako watapata faida.
Halafu kusema kila mtu aliyeko West ni Shoga ni tusi ambalo ningeshauri ulifikirie kwa makini kulitumia. Huwezi kusema kuwa Obama au Trump au King Charles kwa vile tu ni watu wa Magharibi basi ni wao wote mashoga. Maneno ambayo Trump alisema Waafrika wote ni animals akalaumiwa wewe usitake kuhalalisha maneno yake, kwani ndio mwanzo wa ubaguzi, jambo ambalo lilisumbua sana bala la Afrika. Kuwa makini na lugha zako.
Utulize basi na uungane na watanzania kupinga Ushoga.