President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Watanzania wote tunajua kuwa NATO = LGBTQSio kweli...wanaunga mkono ila sio kitu kimoja..
TUNAPINGA USHOGA KWA PAMOJA. Wewe umetokea nchi gani?
Watanzania wote tunajua kuwa NATO = LGBTQSio kweli...wanaunga mkono ila sio kitu kimoja..
Urusi na China hawazuiwi kusambaza base za kijeshi iwapo uwezo unawaruhusu. Ni swala la kukabiliana na mapambano nje ya mipaka ya nchi. Magaidi kama Alshabab wanakibiliwa huko huko kwao kabla hawasambaa sehemu nyingine. Sasa hivi China nayo ina kambi ya jeshi hapo Red sea na Urusi wana kambi ya jeshi Syria; mbona huwaulizi. Wao kushindwa kumudu kambi nyingi za kijeshi siyo jambo la kutetea kwani nao wanataka wawe na kambi hizo lakini hawazimudu.Lengo la USA kusambaza Base za kijeshi duniani ni nini?.
Lengo la USA kuweka Nuclear kwenye baadhi ya nchi za Ulaya ni nini?.
Mzee unapuyanga sana. Kwahiyo ikitokea kila mwenye nguvu awatishie wasio na nguvu wewe hapo na mke wako mtaweza kudinyana kweli?Urusi na China hawazuiwa kusambaza base za kijeshi iwapo uwezo unawaruhusu. Ni swala la kukabiliana na mapambano nje ya mipaka ya nchi. Magaidi kama Alshabab wanakibiliwa huko huko kwao kabla hawasambaa sehemu nyingine. Sasa hivi China nayoi ina kambi ye jeshi hapo Red sea na Urusi wana kambi ya jeshi Syria; mbona huwaulizi. Wao kushindwa kumdu kambi nyingi za kijeshi siyo jambo la kutetea kwani wanata wawe na kambi hizo lakini hawazimudu.
Mimi sijui hilo..najua NATO ni umoja wa kujihami wa nchi za magharibi, hicho kingine ni ushoga...kila kimoja kina malengo yake..Watanzania wote tunajua kuwa NATO = LGBTQ
TUNAPINGA USHOGA KWA PAMOJA. Wewe umetokea nchi gani?
Mtoto wa nyoka ni nyoka. LGBTQ ni mtoto wa NATO.Mimi sijui hilo..najua NATO ni umoja wa kujihami wa nchi za magharibi, hicho kingine ni ushoga...kila kimoja kina malengo yake..
Kuhusu nimetokea wapi, nimetokea Tonga.
Napinga ushoga...Mtoto wa nyoka ni nyoka. LGBTQ ni mtoto wa NATO.
WATANZANIA TUMEAMUA KUPINGA USHOGA.
Je, upotayari kupinga ushoga?
Simple logic inatokana facts mbili tu kwambaKama siyo Putin ni nani?
Kama siyo bagamoyo ni wapi?
Mbona unarukaruka mndogo wangu.Simple logic inatokana facts mbili tu kwamba
(a) Putin aligraduate kutoka Leninigrad University mwaka 1975 halafu akaijunga na mafunzo ya KGB hadi mwaka 1979; wakati USSR inaivamia Afghansntani ndipo alikuwa anamaliza mafunzo ya KGB na wala hakuhusika na operation ile ila alipangiwa majukumu ya makao makuu Moscow.
(b) Mnangagwa alifungwa jela mwaka 1966 na kuachiwa huru mwaka 1975
Hiyo picha haiwezi kuwakutanisha Putin na Mnangagwa Bagamoyo mwaka 1973. Putin mwenyewe aliwahi kuhojiwa kuhusu picha hiyo akasema hajawahi kuishi sehemu yoyote Afrika. Halafu watu hapa wanalazimisha kuwa alikuwa afrika. Hata alipoanza kuwa waziri mkuu hakuwa na mwili kama huo wa kwenye picha hiyo.
View attachment 2583681
Lengo la USA kusambaza Base za kijeshi duniani ni nini?.Urusi na China hawazuiwa kusambaza base za kijeshi iwapo uwezo unawaruhusu. Ni swala la kukabiliana na mapambano nje ya mipaka ya nchi. Magaidi kama Alshabab wanakibiliwa huko huko kwao kabla hawasambaa sehemu nyingine. Sasa hivi China nayoi ina kambi ye jeshi hapo Red sea na Urusi wana kambi ya jeshi Syria; mbona huwaulizi. Wao kushindwa kumdu kambi nyingi za kijeshi siyo jambo la kutetea kwani wanata wawe na kambi hizo lakini hawazimudu.
Na Mimi nitafanya sherehe pale vijana wakakamavu wa rais zelensiky watakapomtia mikononi Putin na kumpeleka ICCPRO Russia , mnaonaje siku dunia ikiwa multipolar world, bricks zikiwa na swift yake, Ukraine ikiwa Russia, Saudia ikiwa member wa bricks,
tuchague mji tufanye sherehe ?
Putin mwenyewe aliwahi kuhojiwa kuhusu picha hiyo akasema hajawahi kuishi sehemu yoyote Afrika.
View attachment 2583681
Msumbiji ilipata Uhuru mwaka 1974, kwa hiyo iwapo unaondoa mwaka 1973 basi Machel hakuwa Tanzania kuanzia mwaka 1974. Halafu Mnangagwa alifunguliwa jela mwaka 1975, na alipofunguliwa alijiunga na chuo kikuu cha Zambia kusomea digrii ya sheria. Alipomaliza akafanya internship kwenye kampuni ya sheria hapo Lusaka, na kuanzia hapo hakujishughulisha tena na shughuli za kieshi akabaki kwenye nyanja ya sheria tu, kwa hiyo Mnangagwa asingeweza kuwa Bagamaoyo kwa mafunzo ya kijeshi mwaka wowote kuazia 1973 hadi 1977.Mbona unarukaruka mndogo wangu.
Picha inasema 1973 - 1977.
Wewe umeng'ang'ana na 1973.
Nimekuuliza kama siyo Putin ni nani?
Na kama siyo Bagamoyo ni wapi?
Kama huna majibu funga bakuli lako lililo kwenye fuvu lako la kichwa.
Mr Mnangagwa could not have been in Tanzania in 1973 as he was arrested in 1965 and imprisoned for 10 years by the white-minority government in then Rhodesia.Msumbiji ilipata Uhuru mwaka 1974, kwa hiyo iwapo unaondoa mwaka 1973 basi Machel hakuwa Tanzania kuanzia mwaka 1974. Halafu Mnangagwa alifunguliwa jela mwaka 1975, na alipofunguliwa alijiunga na chuo kikuu cha Zambia kusomea digrii ya sheria. Alipomaliza akafanya internship kwenye kampuni ya sheria hapo Lusaka, na kuanzia hapo hakujishughulisha tena na shughuli za kieshi akabaki kwenye nyanja ya sheria tu, kwa hiyo Mnangagwa asingeweza kuwa Bagamaoyo kwa mafunzo ya kijeshi mwaka wowote kuazia 1973 hadi 1977.
Inaitwa proof by elimination ndugu yangu. Kuna njia nne au tano kubwa za proof, mimi kutokukuambia kuwa mtu aliyeko kwenye oicha ni nani kama siyo Putini haina maana kuwa basi mtu huyo ni lazima awe Putin. Buredn of prrof iko kwako kuweka passport yake kuwa aliingia Tanzania lini na aliondoka lini.
Kupigana na NATO sio kazi rahisiMiscalculation how? Mpaka sasa kuna kipi kwenye hii OP ambacho Russia wanakijutia kuliko Ukraine, tuache mihemko hebu tujadili kwa hoja! Kuna sentensi ukisoma unaweza kudhani Moscow imetekwa na putin ameuwawa au kukimbilia uhamishon
wape jamaa ukweli. Mimi niliwahi kutembelea Zimbabwe mwanzoni mwa miaka ya tisini na baadhi ya ya sehemu tulizopelekwa ilikuwa zaidi ya heroes acres ilikuwa ni gereza alilofungwa Mugabe na gereza alilofungwa Mnangagwa. Watu ukiwaambia wafungue vichwa wako sifuri kabisa wakishameza propaganda hawazitemi hata siku moja,Mr Mnangagwa could not have been in Tanzania in 1973 as he was arrested in 1965 and imprisoned for 10 years by the white-minority government in then Rhodesia.
Source: BBC
Dah nilikua nafatilia mjadala,nikadhani Nina kitu Cha kujifunza kumbe ni walewale.
Kuweka dharau nyingi kumbe hamna kitu.
Kwa hiyo mwenye mawazo ya kizamani ni Urusi ambae tayari Alisha vunja hata Warsaw Pact,lkni yule anaeng'ang'ania kupeleka silaha za nyukilia ulaya mashariki,kuendelea kuitanua NATO ulaya mashariki,aliekua akitoa mafunzo ya Siri kwa Ukraine kwa miaka zaidi ya 14,kusamabza makambi ya kijeshi kuizunguka Urusi kuanzia west Europe,middle east,Korea kusini,far east huyo Hana mawazo ya cold war?
Kwa hiyo kufanya afanye USA,akifanya Russia huyo ana mawazo ya cold war.
Yaani mtu kama wewe ungekua ndio Mkuu wa ujasusi wa Urusi,nadhani Yankee wangekua wanakunywa kahawa Kremlin siku nyingi,kwamba huoni kitisho anachokipotia Urusi dhidi ya maharamia wa Amerika.
Aisee hapa umechemka.
Aisee kumbe jamaa yangu wewe bado uko nyuma sana ya kufikiri.
Hivi Kampuni kuwekeza katika nchi adui ndio guarantee ya kutokuhujumu?
Je mambo ambayo Marekani alikua anayafanya kwa Siri nchini Ukraine kwa ajili ya kuja kumdhuru Urusi baadae ambayo Urusi kayagundundua hiyo nayo unaichukuliaje?
Je hukubali pia kua USA alikua amejikita kuiwezesha kijeshi Ukraine ili kuja kuihujumu Urusi baadae?
Mfano mwingine,USA ana makampuni mengi sana nchini china pia,lkn je uhusiano wa china na USA ukoje kwa Sasa?
[Kuwekeza hutumika pia kama njia yukukuchunguza,Marekani hajawahi kuwa na urafiki na Mrusi