President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Naona issue ya PPP unaipotenzea. Wewe ni mzembe sana kwenye ubongo.Hiyo picha haijibu chochote kwamba Putin alikuwa Tanzania.
Hata mimi ninazo nyingi nilizochukua kutoka Daily News zamani kidogo. Ukitaka mashindano ya kuonyeshana picha za zamani nipe muda na mimi nikazivute kwenye DVD kwa kutumia computer nyingine kwani hii haina optical drive.