Ukifuatlia kwa makini historia ya Putin akiwa trainee wa KGB, alifeli mara kadhaa test yoa kupima risk level awareness. Ndiyo maana hakuwahi kupewa assignments ambao ni risky; alitumia muda wake wote wa KGB akiwa ama ndani ya Urusi au akiwa Ujerumani mashariki ambayo ilikuwa ni nchi freindly. Failure hiyo ndicho kichaa chenyewe kilicholeta balaa duniani sasa. Notion ya kudhani kuwa kila mtu ni "adui" yako na kurudia mawazo ya kizamani ya cold war ndiyo indicatation ya failure hiyo.
Dah nilikua nafatilia mjadala,nikadhani Nina kitu Cha kujifunza kumbe ni walewale.
Kuweka dharau nyingi kumbe hamna kitu.
Kwa hiyo mwenye mawazo ya kizamani ni Urusi ambae tayari Alisha vunja hata Warsaw Pact,lkni yule anaeng'ang'ania kupeleka silaha za nyukilia ulaya mashariki,kuendelea kuitanua NATO ulaya mashariki,aliekua akitoa mafunzo ya Siri kwa Ukraine kwa miaka zaidi ya 14,kusamabza makambi ya kijeshi kuizunguka Urusi kuanzia west Europe,middle east,Korea kusini,far east huyo Hana mawazo ya cold war?
Kwa hiyo kufanya afanye USA,akifanya Russia huyo ana mawazo ya cold war.
Yaani mtu kama wewe ungekua ndio Mkuu wa ujasusi wa Urusi,nadhani Yankee wangekua wanakunywa kahawa Kremlin siku nyingi,kwamba huoni kitisho anachokipotia Urusi dhidi ya maharamia wa Amerika.
Aisee hapa umechemka.
Marekani na nchi nyingi za Magharibi zilikuwa zimeinvest sana huko urusi mpaka makampuni ya mafuta kama Exxon Mobil yakapeleka teknolojia za kisasa sana za uchimbaji wa mafuta. Kweli watu walioweka investments zao ndani ya Urusi wawe ni maadui wa urusi kama siyo kichaa chenyewe hicho.
Aisee kumbe jamaa yangu wewe bado uko nyuma sana ya kufikiri.
Hivi Kampuni kuwekeza katika nchi adui ndio guarantee ya kutokuhujumu?
Je mambo ambayo Marekani alikua anayafanya kwa Siri nchini Ukraine kwa ajili ya kuja kumdhuru Urusi baadae ambayo Urusi kayagundundua hiyo nayo unaichukuliaje?
Je hukubali pia kua USA alikua amejikita kuiwezesha kijeshi Ukraine ili kuja kuihujumu Urusi baadae?
Mfano mwingine,USA ana makampuni mengi sana nchini china pia,lkn je uhusiano wa china na USA ukoje kwa Sasa?