Mtatoa milio yote. Dola bilioni 100 na ushee hazijafua dafu. Bakhmut kwa mlivyoilinda ila imekuja kutwaliwa na KKsecurity ni aibu!
Kwa brigade zilizokuwa fortified hapo bakhmut ni dhahiri Urusi akitaka sehemu yyt ukriane anaichukua.
Mtatoa milio yote. Dola bilioni 100 na ushee hazijafua dafu. Bakhmut kwa mlivyoilinda ila imekuja kutwaliwa na KKsecurity ni aibu!
Kwa brigade zilizokuwa fortified hapo bakhmut ni dhahiri Urusi akitaka sehemu yyt ukriane anaichukua.
Kwani kwa mawazo yako unafikiri BRICS ni ushirika wa kujihami na kijeshib-NO, BRICS ni ushirika kuhusu masuala ya kiuchumi na kuanzisha Benki yao hisiyo na ukiritimba kwenye masuala ya ukopeshaji pamoja riba nafuu, vile vile kiyafanya mataifa mbalibali Duniani yaachane/punguza utegemezi mkubwa wa dollar kwenye masula ya biashara - dedollazation ndio imekwisha anza hivyo mataifa yanafanya biashara kwa kutumia fedha za nchi zao au za UchinaIlikuwa kwa Siri lakini wewe mrusi wa buza umejua![]()
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We unafikiri kwa nini Merikani ilikuwa inatoa visingizio chungu mzima kuhusu upelekaji wa vifaru type Abram - bafala yake wanashinikiza vofaru vya Uingereza na Ujerumani ndio vitangulizwe kwanza kwenye fronline -vifaru vya Merikani eti vitawasili baada mwaka mmoja kupita-hapo lengo la Wamerikani ni kutaka kuwachota akili Waingereza na Wajerumani ili wapeleke vifaru vyao huko Ukraine lengo likiwa ni Merikani kutaka ishihudie vigaru bya wenzake jinsi vinavyo pigwa kiberiti na silaha za jeshi la Urusi - uwekano mkibwa wa vifaru vya wenzake kuteketezwa huko Ukraine Amerika ilisha hisi uwezekano huo hupo sana ndio maana utasikia Merikani ina anza kutoa visingizio kwamba Vifaru vyao vya Abram havipelekwi huko Ukraine kwa kuwa vinatumia mafuta ya ndege na injini zakebza gas turbine ni ngumu kuzihudumia/Service na spare parts are not readly available-nyie ngojeeni mtashangaa, Amerika haitaki kupoteza soko la vifaru vyake vikibutuliwa kirahisi kwa silaha za watapoteza soko mashariki ya kati na baadhi ya nchi za Ulaya- ndio maana wanataka watangulize vya Uingereza na Ujerumani kwenye mapambano ili wafanye tathimini kabla hawaja commit vifaru vyao vya Abramna very clever ploy.Kuna habari numeiona sehemu wameeambiwa wasivipeleke frontline vitabutuliwa na Russia alafu atawaharibia soko ndio sababu ya kupelekwa vichache pale Ukraine,vilivyoenda pale ni kwa show off tu ili ionekane wamepeleka.
Katika vitu sipendi ni tabia ya Marekani kueneza ushoga duniani na ktishia vikwazo hapo ndipo unapokuwepo umuhimu wa Russia na chinaManazi hayana nafasi ya kuishi hapa duniani.manazi yanatuletea ushoga kwa iyo ni kuyateketeza mapema [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
View attachment 2580480
Matter of fact, ni wapumbavu. Hawawezi kuhoji kinachofanywa na baba yao marekani. Mwisho wao upo karibu sana kuliko wanavyofikiria.Ila Viongozi wengi wa Ulaya ni Wapuuzi kiasi Hawajielewi kipi wazungumze
Huyu ni mojawapo Wa Ujerumani
yaani Akifanya Marekani Nihaki ila Sio Urusi
Ajabu wapo wapuuzi wanawashabikia hawa
Habari yako mkuu Bukyanagandi! Kwetu tunasema kila uchao unakuja na mapya; na mapya kwasasa ni kuumaliza mfumo wa shetani US na vibaraka wake.Kwani kwa mawazo yako unafikiri BRICS ni ushirika wa kujihami na kijeshib-NO, BRICS ni ushirika
We unafikiri kwa nini Merikani ilikuwa inatoa visingizio chungu mzima kuhusu upelekaje wa vifaru type Abram - wanashinikiza vofaru vya Uingereza na Ujerumani ndio vitangulizwe kwanza kwenye fronline -vifaru vya Merikani eti vitawasili baada mwaka mmoja kupita-hapo lengo la Wamerikani ni kitaka kuwachota akili Waingereza na Wajerumani wapeleke vifaru vyao huko Ukraine ili Merikani ishihudie vinavyo pigwa kiberiti na silaha za Urusi - walisha liona hilo utasikia Merikani inasema Vifaru vyao vya Abram havipelekwi huko Ukraine kwa kuwa vinatumia mafuta ya ndege na injini zake ni ngumu kuzihudumia/Service na spare parts are not readly available-nyie ngojeeni mtashangaa, Amerika haitaki kupoteza soko la vifaru vyake vikibutuliwa kirahisi kwa silaha za Warusi - ndio maana wanataka watangulize vya Uingereza na Ujerumani kwenye mapambano.
Utakuwa na matatizo kwenye ubongo. Russia anapigana na nani kama si NATO?!Ka mji kadogo hako Supa-pawa anapigana kukatwaa toka mwaka jana, ataiweza kweli NATO huyu ?
Ukraine sio mwanachama wa NATO, kwani hujui hili ?.....Utakuwa na matatizo kwenye ubongo. Russia anapigana na nani kama si NATO?!
Misaada ya logistics anapata toka wapi, North Korea? Tumia ubongo dogo.Ukraine sio mwanachama wa NATO, kwani hujui hili ?.....
Dogo unataka kutuaminisha Ukraine yuko NATO?Misaada ya logistics anapata toka wapi, North Korea? Tumia ubongo dogo.
This is not your space. Tafuta nyuzi unazoweza kuchangia.Dogo unataka kutuaminisha Ukraine yuko NATO?
Misaada tu ndiyo kigezo cha kuwa NATO, mbona huonyeshi akili japo wewe mkubwa ?Misaada ya logistics anapata toka wapi, North Korea? Tumia ubongo dogo.
Acha kujitoa ufahamu ww,, Libya alikuwa Mwanachama...??Ukraine sio mwanachama wa NATO, kwani hujui hili ?.....
Kila siki tuna tumakumbusha kwamba Merikani ilichukua miaka takribani ishiri ikipigana vita huko VietNam, lakini baadae wakaja kushindwa vibaya sana na kudhaliloshwa na walima mpunga -leo hii ndio mjifanya siki 444 ni nyingi sana - hebu tufanyie mahesabu hapa 20X365 jumla yake mi siku ngapi - huo ndio muda Merikani ilowo upoteza ikipigana huko VietNam bila ya kuhambulia kitu - leo hiinakuwa na ubavu wa kuibeza Russia eti SMO imechukuwa muda mrefu - mna ushahidi gani ambao Putin aliwahi kusema in Public kwamba vita hii itachukua muda mfupi sana - wapi??Ka mji kadogo hako Supa-pawa anapigana kukatwaa toka mwaka jana, ataiweza kweli NATO huyu ?
Kwa hiyo Ukraine ndio 'Vietnam' ya Urusi ?...Kila siki tuna wakumbusha kwamba Merikani ilichukua miaka takrobani ishiri ikipigana viya huko VietNam wakashindwa vibaya sana na kudhaliloshwa -leo hii ndionajifanya siki 444 ni nyingi sana - hebu tufanyie mahesabu hapa 20X365 jumla yake mi siku ngapi - huo ndio muda Merikani iloyo upoteza ikipogana huko VietNam bila ya kuhambulia kitu - leo hii ya kuibeza Russia eti SMO imechukuwa muda mrefu - mna ushahidi gani ambao Putin aliwahi kusema in Public kwamba vita hii itachukua muda mfupi sana - wapi??
Ukraine haipo NATO kwenye makaratasi lakisi kiuasilia ipo NATO na ndio maana kaka mkubwa anamuhaho maana alimuakikishia usalama wa kumlinda kwa hali yoyote ileMisaada tu ndiyo kigezo cha kuwa NATO, mbona huonyeshi akili japo wewe mkubwa ?
Hata Tz huenda ipo NATO maana inapewa misaada sana na US, UK, France
You can do better than this. Silaha anazotumia Ukraine ni misaada toka US na vibaraka wake kwa lengo la kumdhalilisha Russia, huwezi kuona point yangu hapo?Misaada tu ndiyo kigezo cha kuwa NATO, mbona huonyeshi akili japo wewe mkubwa ?
Hata Tz huenda ipo NATO maana inapewa misaada sana na US, UK, France