Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtatoa milio yote. Dola bilioni 100 na ushee hazijafua dafu. Bakhmut kwa mlivyoilinda ila imekuja kutwaliwa na KKsecurity ni aibu!

Kwa brigade zilizokuwa fortified hapo bakhmut ni dhahiri Urusi akitaka sehemu yyt ukriane anaichukua.
Hicho kitu kinashangaza, wanajeshi wa Ukraine wamekua trained & supported na NATO kwa miaka mingi,
IMG_20230408_213211_959.jpg

20230408_173059.png

20230408_112554.png

Mafunzo yote waliyopewa na NATO, bado wanarudishwa nyuma na wafungwa wa wagner PMC wanaotolewa gerezani na kupewa mafunzo ya muda mfupi then wanaingia field.
 

Attachments

  • 20230408_213751.png
    20230408_213751.png
    33.1 KB · Views: 23
Hicho kitu kinashangaza, wanajeshi wa Ukraine wamekua trained & supported na NATO kwa miaka mingi, View attachment 2581425
View attachment 2581427
View attachment 2581466
Mafunzo yote waliyopewa na NATO, bado wanarudishwa nyuma na wafungwa wa wagner PMC wanaotolewa gerezani na kupewa mafunzo ya muda mfupi then wanaingia field.
Ili game limeshakwisha. Kwenye uwanja wa vita Ukraine imeshamalizwa.

Kilichobakia ni kwa USA kutoa go ahead ili Zelensky akubaliku surrender.
 
You can do better than this. Silaha anazotumia Ukraine ni misaada toka US na vibaraka wake kwa lengo la kumdhalilisha Russia, huwezi kuona point yangu hapo?
Hizo silaha alizopewa mpaka sasa ni kwa ajili ya kujilinda tu ndio maana hajapewa silaha zenye uwezo wa kushambulia mpaka Urusi (Atacms) .......

wangekuwa na nia ya kuidhalilisha Urusi huenda hali ya Vita isingekuwa hivi ilivyo.
 
Hizo silaha alizopewa mpaka sasa ni kwa ajili ya kujilinda tu ndio maana hatajapewa silaha zenye uwezo wa kushambulia mpaka Urusi (Atacms) .......
Umewahi hata kufikiria nini kinaweza kufuatia Ukraine akishambulia ndani ya Russia?

US na vibaraka wake wanajua, na wamemkanya Ukraine asithubutu kufanya hivyo. Russia si Iraq wala Libya, ujue hilo.

FYI, this war is not about Ukraine, it's about dismantling the current unjust world order. Marekani wamelijua hilo wakiwa wamechelewa; ndio wanahaha kutaka China atumie influence yake kwa Russia kumaliza vita hii, something China is never going to do.
 
Hizo silaha alizopewa mpaka sasa ni kwa ajili ya kujilinda tu ndio maana hajapewa silaha zenye uwezo wa kushambulia mpaka Urusi (Atacms) .......

wangekuwa na nia ya kuidhalilisha Urusi huenda hali ya Vita isingekuwa hivi ilivyo.
Urusi sio Zimbabwe, sio kama hawapendi kumpa silaha
Zelensky za kushambulia ndani ya Urusi. NATO na nchi zote za ulaya wanaiogopa Urusi kuliko unavyodhani hilo taifa litakaloipa Ukraine silaha za kushambulia ndani ya Urusi itapigwa kama ngoma na umoja wao hawatakuwa na majibu
 
FYI, this war is not about Ukraine, it's about dismantling the current unjust world order. Marekani wamelijua hilo wakiwa wamechelewa; ndio wanahaha kutaka China atumie influence yake kwa Russia kumaliza vita hii, something China is never going to do.
Hii current NWO wanaoipinga Urusi kwa sasa, Ukraine sio walioiasisi..... Ukraine ni muhanga tu wa ubabe wa Urusi kwa miaka mingi kama ilivyo Georgia iliyovamiwa 2008, Ila kwa sasa kaamua kupambana hatima yake.

isitoshe sio rahisi kuidismantle hii NWO kwa kuivamia Ukraine badala ya kushughulika na US moja kwa moja....
 
Hizo silaha alizopewa mpaka sasa ni kwa ajili ya kujilinda tu ndio maana hajapewa silaha zenye uwezo wa kushambulia mpaka Urusi (Atacms) .......

wangekuwa na nia ya kuidhalilisha Urusi huenda hali ya Vita isingekuwa hivi ilivyo.
Aisee,kwa hiyo wamekubali kutumia mabilioni ya fedha na maisha ya Malaki ya watu kupotea, ,kuharibiwa miundombinu muhimu kama umeme,kuzalisha wakimbizi,Kuua uchumi wao,serikali zao kuanguka,kufunga viwanda vyao,kupoteza ajira za watu wao na mabenki kufilisika,kuosa nishati na malighafi.yote hayo wamekubali yafanyike wakati kumbe uwezo wa kumdhalikisha urusi kwa silaha za kushambulia mpaka ndani ya Urusi wanao?
Kuwa hawataki kumpa zelensky kwa sababu wanaepuka kumdhalikisha urusi?

Kwa hiyo wewe hata maneno ya Mkuu wa NATO anaetegemewa na NATO, Marekani,kupitia kwa Rais wake bw Joe Biden kumbe unapongana nae?
Aliewahakikishia watu wake,watu wa NATO na watu wa Dunia nzima kua hatapeleka jeshi Ukraine kwa sababu safari hii wanadili na moja ya JESHI kubwa kabisa hapa Duniani.
Sasa wewe Leo unapingana na Amiri jeshi Mkuu wa majeshi ya NATO?

Nakuambia hivi,silaha kweli wanazo,za kumpa zelensky,lakini wanaogopa majibu ya Urusi kwao.
Wanatamani kumpa lkn wanaogopa,hakuna maelezo zaidi ya hayo.

Bana, acha siasa baba .
 
Wamarekani wanasema kwamba, kwa sasa hawana kabisa mpango wa kuleta vifaru vya Abrams, labda mwisho wa mwaka huu.


[emoji617]"Sabrina Singh", the deputy spokesperson of the US Department of Defense, announced that Washington still plans to deliver Abrams tanks to Ukraine before the end of this year, although the training to work with these tanks has not yet begun.

[emoji617]In a report describing the features of Russia's Cornet anti-missile system, the Al Jazeera website, citing the opinion of military experts, wrote that the Russian army can target NATO tanks with the Cornet system.

[emoji723]بروکر جهانی ZTE-Trading
 
Hii current NWO wanaoipinga Urusi kwa sasa, Ukraine sio walioiasisi..... Ukraine ni muhanga tu wa ubabe wa Urusi kwa miaka mingi kama ilivyo Georgia iliyovamiwa 2008, Ila kwa sasa kaamua kupambana hatima yake.

isitoshe sio rahisi kuidismantle hii NWO kwa kuivamia Ukraine badala ya kushughulika na US moja kwa moja....
Jilani kama hana akili ni wakupiga makofi tu la sivyo atakusababishia majanga
 
Kumbuka hiyo NATO imeundwa kwasababu ya Russia na ukumbuke hiyo NATO ni muungano wa nchi 31.
NATO iliundwa sababu ya Ussr (ambayo Urusi, Ukraine, Baltic States) zilikuwa sehemu yake.

Baada ya kusambaratika Ussr umuhimu wa NATO unaonekana hasa kwenye kuzuia migogoro ya kijeshi baina ya nchi washirika na kulinda maadili ya kidemokrasia miongoni mwa washirika, hili limeyavutua mataifa ya mashariki yanayojiona yapo kwenye kitisho cha Urusi ndio maana yamejiunga kwa wingi ili yawe salama.
 
The purchasing power of the US dollar has declined over time, with $1 in 1913 having the same value as $26 in 2020 due to the growth of the money supply.
The purchasing power of a currency represents the amount of goods and services that can be purchased with one unit of the currency. The increase in the money supply by the government has led to a decrease in the value of the dollar.
IMG_0001.jpg

IMG_0003.jpg

IMG_0002.jpg
 
Hii current NWO wanaoipinga Urusi kwa sasa, Ukraine sio walioiasisi..... Ukraine ni muhanga tu wa ubabe wa Urusi kwa miaka mingi kama ilivyo Georgia iliyovamiwa 2008, Ila kwa sasa kaamua kupambana hatima yake.

isitoshe sio rahisi kuidismantle hii NWO kwa kuivamia Ukraine badala ya kushughulika na US moja kwa moja....
Sioni kama wewe ni mfuatiliaji makini wa siasa za dunia. Hivi umewahi kufikiri kwamba hapo nyuma nchi kama Saudi Arabia ingetofautiana kimsimamo na Amerika?

Ni nchi ngapi mpaka sasa umesikia zinataka kufanya biashara baina yao bila kutumia US $ kama medium of exchange?

Huoni kama kwa mataifa hayo kui-dump US $ kunaweza kuwa na athari sana kwenye US supremacy?
 
Back
Top Bottom