Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanamziki wamepagawa huko wanasherehekea vema sikukuu ya matawi.
⚡️It is reported from Artyomovsk that at this moment there is a heavy shelling of the fortified area of the Armed Forces of Ukraine in Chasovoy Yar.


According to the Military Chronicle, the artillery of the “orchestra” is working on the hangars with tanks and equipment of the 12th separate tank brigade and the 67th mechanized brigade, as well as on the positions of the 40th artillery brigade, which is responsible for counter-battery combat in this area.

In the morning, a small mechanized group of the Armed Forces of Ukraine, under the cover of artillery, tried to reconnoiter the positions of the “musicians” in the Bogdanovka area, but was detected from the air and came under attack.

During the retreat, the Ukrainian units were taken under surveillance by the operator of the Orlan-30 drone and came under fire immediately after stopping.

#source:

Join Slavyangrad
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings,
 
Acha kitete, si uliyataka mwenyewe nini tena ? 😀 😀

Belarusian president meets with Russian defence minister​

Belarusian President Alexander Lukashenko met Russian Defence Minister Sergey Shoigu for an unannounced meeting in the Belarusian capital Minsk, Belarusian state-owned news agency BelTA reported.
Lukashenko said Belarus needs guarantees that Russia will defend Belarus “like its own territory” in the event of external attack

2023-03-31T100500Z_1998230237_RC2X40AFFPVG_RTRMADP_3_BELARUS-LUKASHENKO.jpg
Hiyo ni kawaida anataka uhakika kama watu wa vikoba wakimgusa basi super power wa kweli awashughurikie sio kutuma misaada na majeshi alafu aseme wamejitolea
 
Ukifuatlia kwa makini historia ya Putin akiwa trainee wa KGB, alifeli mara kadhaa test yoa kupima risk level awareness. Ndiyo maana hakuwahi kupewa assignments ambao ni risky; alitumia muda wake wote wa KGB akiwa ama ndani ya Urusi au akiwa Ujerumani mashariki ambayo ilikuwa ni nchi freindly. Failure hiyo ndicho kichaa chenyewe kilicholeta balaa duniani sasa. Notion ya kudhani kuwa kila mtu ni "adui" yako na kurudia mawazo ya kizamani ya cold war ndiyo indicatation ya failure hiyo. Marekani na nchi nyingi za Magharibi zilikuwa zimeinvest sana huko urusi mpaka makampuni ya mafuta kama Exxon Mobil yakapeleka teknolojia za kisasa sana za uchimbaji wa mafuta. Kweli watu walioweka investments zao ndani ya Urusi wawe ni maadui wa urusi kama siyo kichaa chenyewe hicho.
Kwani mie nikimuhonga mkeo kwa lengo la kula mbususu yake kuna ubaya? Kufanya jambo flani sio vibaya ila intention ndio inalifanya liwe baya.

Hao mashoga wameinvest ni jambo zuri ila kuja kuweka base zao za kijeshi sio swala la kupuuzia.
 
Mdogo wangu. Issue ya Putin kuwepo Tanzania umeshindwa kuitolea maelezo? Bado unakataa kuwa Putin alikuwepo Tanzania!?

Basi tuongelee kuhusu PPP na ujipige kifua useme hujui.
Hukutoa ushahidi wa Putin kuwepo Tanzania na hujui metric ya PPP ina maana gani. Licha ya kushindwa kujua thamani ya bidhaa inayonunuliwa, purchasing power parity siyo kipimo cha utajiri. Usikariri namba bila kuzijua zina maana gani.
 
Hukutoa ushahidi wa Putin kuwepo Tanzania na hujui metric ya PPP ina maana gani. Licha ya kushindwa kujua thamani ya bidhaa inayonunuliwa, purchasing power parity siyo kipimo cha utajiri. Usikariri namba bila kuzijua zina maana gani.
Kwahiyo unaibishia picha inayomuonesha Putin akiwa na viongozi wa Afrika kule bagamoyo?
 
Kwani mie nikimuhonga mkeo kwa lengo la kula mbususu yake kuna ubaya? Kufanya jambo flani sio vibaya ila intention ndio inalifanya liwe baya.

Hao mashoga wameinvest ni jambo zuri ila kuja kuweka base zao za kijeshi sio swala la kupuuzia.
Kuwa makini na lugha zako kwa sababu huwa niko sensitive sana dhidi ya lugha mbovu zinazotumiwa na ninaojadiliana nao.

Makampuni ya nchi za west siyo ya serikali, ni ya kila mtu; hata mimi na wewe tunaweza kuwa na shea huko. Yakienda sehemu kufanya biashara siyo kuwa yanakwenda kufanya biashara kwa niaba ya serikali ya Marekani au Uingereza, yanakuja kufanya biashara katika nchi friendly ambako watapata faida.

Halafu kusema kila mtu aliyeko West ni Shoga ni tusi ambalo ningeshauri ulifikirie kwa makini kulitumia. Huwezi kusema kuwa Obama au Trump au King Charles kwa vile tu ni watu wa Magharibi basi ni wao wote mashoga. Maneno ambayo Trump alisema Waafrika wote ni animals akalaumiwa wewe usitake kuhalalisha maneno yake, kwani ndio mwanzo wa ubaguzi, jambo ambalo lilisumbua sana bala la Afrika. Kuwa makini na lugha zako.
 
Notion ya uadui baina ya nchi za mashariki na magharibi imeanza kuwa kubwa sana miaka ya hivi karibuni wakati wa utawala wa Putin na Xi Jinping. Miaka yote ya tisini baada ya kuanguka kwa USSR na China kuana biashara na nchi za west hadi 2010 hakukuwa na hostility hiyo hadi pale walipojisiskia wana nguvu ndipo wameamua kuanza hostility tena kwa kutatumia vigezo vya "uadui". Adui wako hawezi kushirkiana nawe kwa kuwekeza kwako ili kusaidia uchumi wako.
Lengo la USA kusambaza Base za kijeshi duniani ni nini?.

Lengo la USA kuweka Nuclear kwenye baadhi ya nchi za Ulaya ni nini?.
 
Mzee huiju hata Tanzania. Unaijua Kongwa Camp?
Je, unajua kuwa hapo kongwa SWAPO na MPLA walikuwepo?

Kuhusu Bagamoyo. Baada ya ukombozi wa Mozambique, hatua iliyofuata ni kuikomboa Zimbabwe. Unalijua hilo? Mnangagwa alikuwa hapo Bagamoyo. Huku Robert Mugabe akifundisha huko Ghana.

Sitaki kuongea zaidi. Check kwanza picha hii. Unapotosha watu wewe
View attachment 2583418
Mzee usiumize nguvu zako Kuna watu hawaifahamu hata kambi ya mazimbu morogoro [emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee usiumize nguvu zako Kuna watu hawaifahamu hata kambi ya mazimbu morogoro [emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mazimbu haikuwa kambi ya Frelimo bali ilikuwa kambi ya ANC. Mimi nikiwa kijana nilikuwa mpenzi wangu wa kike pale Mazimbu mwaka 1982 hadi 1983. Hata yule jamaa aligeongana na Sokoine alikuwa anaishi hapo hapo Mazimbu. Na wewe ongea ukiwa unajua unaloongea.
 
Back
Top Bottom