Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ushasema kichaa, mtu mwenye akili timamu hawezi acha fanya alichofanya Urusi kwa Ukraine. Jirani anayekuletea nyoka ndani ili ikuumize ni wa kumalizana nae mapema sana.
Ukifuatlia kwa makini historia ya Putin akiwa trainee wa KGB, alifeli mara kadhaa test yoa kupima risk level awareness. Ndiyo maana hakuwahi kupewa assignments ambao ni risky; alitumia muda wake wote wa KGB akiwa ama ndani ya Urusi au akiwa Ujerumani mashariki ambayo ilikuwa ni nchi freindly. Failure hiyo ndicho kichaa chenyewe kilicholeta balaa duniani sasa. Notion ya kudhani kuwa kila mtu ni "adui" yako na kurudia mawazo ya kizamani ya cold war ndiyo indicatation ya failure hiyo. Marekani na nchi nyingi za Magharibi zilikuwa zimeinvest sana huko urusi mpaka makampuni ya mafuta kama Exxon Mobil yakapeleka teknolojia za kisasa sana za uchimbaji wa mafuta. Kweli watu walioweka investments zao ndani ya Urusi wawe ni maadui wa urusi kama siyo kichaa chenyewe hicho.
 
Ile kauli ya Macron imewachoma sana viongozi wa US.
Screenshot_20230410-173108_Telegram.jpg
 
Huku ni kukili kiana kuwa counteroffensive ya Ukraine imeota mbawa .
Secretary of the Ukrainian National Security and Defense Council Danilov said that the Ukrainian counteroffensive "occurs every day" and urged not to wait for "magic dates" [emoji1782]

Counter - offensive ilikwenda na maji pale makamanda wa NATO walipouliwa kwenye handaki. Mchezo ulimalizwa siku ile.
 
Mzee naona unaandika tu bila hata kuwa na ukweli wowote.
Nataka niende na wewe taratibu.
MPLA na UNITA unazifahamu?
Unajua vita hiyo ilichukua miaka mingapi na iliisha mwaka gani?
MPLA na UNIT ilikuwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya nchi kupata uhuru; je unanalijua hilo? Haikuwa vita ya kupigania uhuru bali ilikuwa vita ya kupigania madaraka. Hypothesis yako ni NULL

Vita ya uhuru ilihusisha vyama vitatu: MPLA (Augustinho Neto), UNITA (Jonas Savimbi) na FNLA (Holden Roberto). Baada ua Uhuru, MPLA ilishinda uchaguzi ikaunda serikali na ndipo UNITA ikisaidiwa na Afrika ya kusini ilipinga matokeo hayo na kuanza vita. FNLA nayo ilipinga matokea ikaanza vita kwa kusaidiwa na Zaire. MPLA nayo ikapata msaada wa kijeshi kutoka Cuba, hali iliyofanya Marekani nayo iisaidie UNITA. Ingawa FNLA iliamua kuacha mambo yaishe UNITA haikukubali kuacha vita ikaendelea kwa muda mrefu sana hata baada ya Neto kufariki.

Siju wewe una ukweli gani kuwa Putin alikuja kufundisha wapigania ya uhuru mwaka 1995 huko Bagamoyo kama na awewe siyo muungaji wa stori za mitaani tu.
 
Mzee huiju hata Tanzania. Unaijua Kongwa Camp?
Je, unajua kuwa hapo kongwa SWAPO na MPLA walikuwepo?

Kuhusu Bagamoyo. Baada ya ukombozi wa Mozambique, hatua iliyofuata ni kuikomboa Zimbabwe. Unalijua hilo? Mnangagwa alikuwa hapo Bagamoyo. Huku Robert Mugabe akifundisha huko Ghana.

Sitaki kuongea zaidi. Check kwanza picha hii. Unapotosha watu wewe
1681137865024.png
 
Sasa kama unakubali kuwa baada ya 1975 hapo Angola kulikuwa na vita. Huku Savimbi akisaidiwa na USA. Unakataa vipi Putin kuwepo Tanzania kwenye kambi ya Bagamoyo?
Unajua kambi ya Bagamoyo walikuwepo akina nani?
 
Uchumi wa US sio halisi kama unavyoaminishwa na dollar paper zake duniani mkuu..ni uchumi uliojikopesha resorces za dunia badala ya uchumi uliojiwekeza kwenye resorces za ndani za United States.
Nimejaribu kurejea comment take ili nimpe taarifa lakini sijaipata.
Malafyale kwa taarifa za sasa ni kwamba China ndio anaongoza kwa GDP (PPP) akiwa na $30Teillions akiduatiwa na USA ambae ana $25 Trillion.
Mpaka mda huu naandika BRICS wameifunika G7 kwenye global DGP
Saudia anakuja akiniunga tu G7 kwisha habari ya tamvo zake.

Nikukumbushe pia BRICS ni nchi 5 na zimefunika uchumi wa nchi 7.

Tunaposema dollar inakwenda kuanguka muelewe
 
Mzee huiju hata Tanzania. Unaijua Kongwa Camp?
Je, unajua kuwa hapo kongwa SWAPO na MPLA walikuwepo?

Kuhusu Bagamoyo. Baada ya ukombozi wa Mozambique, hatua iliyofuata ni kuikomboa Zimbabwe. Unalijua hilo? Mnangagwa alikuwa hapo Bagamoyo. Huku Robert Mugabe akifundisha huko Ghana.

Sitaki kuongea zaidi. Check kwanza picha hii. Unapotosha watu wewe
View attachment 2583418
Naona unaanza kuruka rukruka kutoka Bagamoyo hadi Kongwa. Picha uliyoweka hainyeshi chochote kuwa Putin alikuwa Bagamoyo mwaka 1973 kwani inaonyesha tu viongozi wa kwanza wa kile ambacho baadaye kilijulikana kama Frontline States baada ya Msumbiji kupata uhuru.

Kama hujui kuwa Mngangwa alikuwa Bagamoyo kwa muda mfupi sana mwaka 1963 baadaye akaondoka kwenda China kwa mafunzo na siasa na Field engineering (ulipuaji) Baada ya kurudi aliishi Itumbi kwa muda mfupi kabla ya kurudi Southern Rhodesia ambapo alishiriki kulipua reli na akafungwa jela kuanzia mwaka 1966 hadi 1975.

Andika mambo ukiwa na facts hata kama siyo kamili kuliko hii ya kuungaunga vistori vya vijiweni
 
Bado unazunguka tu mdogo wangu. Unagusia gusia tu vitu vichache.
Hapa Key point ni Putin kuwepo Tanzania.
Nimekueleza sababu zipo nyingi tu za Putin kuwepo Tanzania.
1. MPLA ilikuwa inasaidiwa na Tanzania pomoja na USSR

2. Baada ya kuikomboa Msumbiji mapambano yalihamia kuikomboa Zimbabwe. Na kuna kambi zilizokuwepo zikiendelea na Mafunzo moja wapo ni Bagamoyo na Kongwa.

Sasa wewe umeng'ang'ania mwaka mmoja tu wakati hapo imeandikwa Putin akiwepo Tanzania 1973 - 1977.
Nimekuuliza Kuanzia 1975 mpaka 1977 Putin alikuwa wapi? Umebaki kubwabwaja tu.
Usiende nje ya mada. Hapa tunamuongelea Putin. Issue za Mnangagwa kwenda china sidhani kama ipo kwenye context.

WEWE LETA PROOF KUWA PUTIN HAJAWAHI KUWEPO TANZANIA DURING STRANGLE.
 
Hello, habari zenu nyote...

Dah ilikua hayawi hayawi sasa hayooo yashakua sijui kitasemwa nini kingine. Wote tumesikia habari kua umoja wa kiuchumi wa BRICS, Tukiwa na maana ya Brazil, Russia, India, China and South Africa imeipiku G7 Countries GDP by PPP... Huh hii habari kwa wafatiliaji naamini is not surprising at all, siku zote ukweli huwa haufichwi bali hucheleweshwa tu.

As a matter of facts, chini hapa ni Top 10 countries by natural resources:

Russia 🇷🇺 $75 trillion B+
USA 🇺🇸 $45 trillion W
Saudia 🇸🇦 $35 trillion B+
Canada 🇨🇦 $33 trillion W
Iran 🇮🇷 $27 trillion B+
China 🇨🇳 $23 trillion B+
Brazil 🇧🇷 $22 trillion B+
Australia 🇦🇺 $20 trillion W
Syria 🇮🇶 $16 trillion B+
Venezuela 🇻🇪 $14 trillion B+

Ukifanya ulinganisho hapo team BRICS+ ni about $212 trillion huku collective west ndani ya top 10 ni just $98 trillion.
Kwa wingi wa Natural resources, BRICS+ is creating a new joint global reserve currency ambayo itakua backed by natural resources to replace the USD reserve currency which is backed by NOTHING.

Sasa kwa wale wanaosema global trade will still be in USD in 5 yrs are delusional. Kauli mbiu ni ile ile, ukweli huwa haufichwi bali hucheleweshwa tu. Ni swala la mda tu tutashuhudia mengi mno.

Yet kuna "bidhaa" zimehifadhiwa kwenye vichwa vya ndugu zetu ambavyo viko pegged to Western propaganda bado watapinga as if nothing kimetokea.

Kuna msemo flan wa jamii flan unasema dash dash ila maana ake kwa lugha yetu waswahili ni "Sema ukweli hata kama ni mchungu". Msemo wa kiweledi nahisi ndio alio funzwa Macron na Comrade Xi kiasi cha kuzungumza aliyo yasema baada ya kutoka huko.

View attachment 2582843
PS: Wale walio mtanguliza Mwenyezi Mungu mbele ndio huibuka washindi siku zote. We pray for Multipolarity... we pray for the true Peace ku'exist duniani kote. No more bullying bali respect one another.
China pia imeipiku USA. Hii ni habari nzuri sana
 
SADC. ILIZALIWA NA SADCC AMBAYO ILIKUWAPO TOKA ENZI YA APARTHEID
Najua hilo. Lakini mimi naongelea SADC

The Declaration and Treaty establishing the SADC, which replaced the Coordination Conference, was signed at the Summit of Heads of State or Government on 17 August 1992, in Windhoek, Namibia.
 
Nimejaribu kurejea comment take ili nimpe taarifa lakini sijaipata.
Malafyale kwa taarifa za sasa ni kwamba China ndio anaongoza kwa GDP (PPP) akiwa na $30Teillions akiduatiwa na USA ambae ana $25 Trillion.
Mpaka mda huu naandika BRICS wameifunika G7 kwenye global DGP
Saudia anakuja akiniunga tu G7 kwisha habari ya tamvo zake.

Nikukumbushe pia BRICS ni nchi 5 na zimefunika uchumi wa nchi 7.

Tunaposema dollar inakwenda kuanguka muelewe
Nadhani mojawapo ya makosa mnayofanya ni ya kudhani kuwa uchumi unapangwa na serikali. Kama wewe ni msomi wa Macroeconomics, utakuja elewa kuwa efforts zote za kuiangusha Marekani kiuchumi zitakwama kwa vile uchumi wa mareklani unajeindesha wenyewe wakati nchi zote za kwenye Brics, labda ukiondoa india tu, zinategemea uchumi unaoendeshwa na serikali. Hizo kiswahili huwa tunazzita mbio za sakafuni.

Hiyo PPP metric unayotumiapia huenda hujui kuwa inategemea pia na kipato cha mwananchi wa kawaida. Kwa lugha rahisi sana ni kwama iwapo nchi inaingiza wastani wa Sh 10 halafu wanachi wa kawaida wengi anapata Tsh 0.50 tu, basi PPP ya nchi hiyo itakuwa ni Sh 20, wakati mapato ya wastani huo wa TSh 10 hizo hizo katika nchi ambayo kipato cha mwanachi wa kawaida ni Sh mbili, basi PPP ya nchi hiyo Sh5. Elewa kuwa PPP inaweza kuwa kubwa sana katika nachi zenye maskini wengi kulinganisha na zile ambazo wanachi wake wengi ni matajiri. Itumie meteric hiyo kwa makini.
 
Mzee unaandika maneno mengi context zero.
PPP kirefu chake purchasing power parity. Ni uwezo wa kununua.
Kama wananchi wanauwezo wa kununua bidhaa kuliko nchi yako tatizo liko wapi?

Unajua maana ya purchasing power parity?
 
Ukraine imekabidhiwa JDAM bombs

JDAMs
images (60).jpeg

Baada ya kukabidhiwa JDAMs, ukraine wakaanza kuzitumia wakiwa na matarajio kwamba zinaweza kubadili upepo wa vita
20230410_163310.png

Ila matokeo yamekuja kinyume na matarajio yao.

From NBC news, Kwenye moja ya documents zilizoleak, wanasema mojawapo imeonyesha kufeli kwa JDAMs wakati Ukraine wakizitumia.

wakaja na assumptions zao;

ya kwanza wanahisi fuses hazikua configured properly,

na hoja ya pili ni GPS signal issues, wenyewe wanasema "potentially caused by Russian jamming efforts"
20230410_163029.png

20230410_163003.png

Imewafanya mpaka U.S wameanza ku "study" sababu ya failure ya JDAM bombs hapo Ukraine,
20230410_165923.png

Kwa hoja ya kwamba Russian jamming efforts ndio imesababisha issues kwenye GPS signals za JDAMs mpaka kupelekea iwe na matokeo mabaya, basi ni hatua kubwa sana ya kiteknolojia.

Ni ujumbe pia kwa silaha nyingine guided zinazotumia GPS kwamba zinaweza kuwa jammed na zisitoe matokeo watakayotarajia
 
Back
Top Bottom