Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]View attachment 2540697
Huu Ni mwezi wa tatu bado hazifiki ingekuwa Tanzania Wenda vingechukua miaka Kama mitano hivi.Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]View attachment 2540697
Silaha yoyote inayotumwa kwenye uwanja wa vita Ina options tatu au zaidi..,Vile vingine vilivyoletwa vipo wapi.
Maana kwenye uwanja wa vita havionekani.
Nakumbuka ulishangilia sana kana kwamba leooard ndio mwisho wa Vita kumbe Ni zaida ya ubwabwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Silaha yoyote inayotumwa kwenye uwanja wa vita Ina options tatu au zaidi..,
1 kuteketezwa/kuharibiwa na adui
2 kutekwa/kutawaliwa na adui
3 kutumika kwa muda maalum na hatimaye kuchakaa na kuitaji marekebisho
Taifa lolote linaloingia vitani lazima hayo mambo hapo juu yatokee,bila kujari Lina nguvu za kijeshi kiasi gani.., hivyo nawashangaa sana wale wanaouliza silaha zinazotumwa Ukraine zinaenda wapi..,Nina wasiwasi, huenda tunahangaika kujadiliana na vijana wa darasa la Saba hapa jukwaani
Vilinasa kwenye tope wakat jamaa wanaukimbia mji wakalazimika kuachana navyoVile vingine vilivyoletwa vipo wapi.
Maana kwenye uwanja wa vita havionekani.
Mkuu sisemi Wagner ni "jeshi kubwa". Naona tu taarifa kuwa wamechukua maelfu (nimeona idadi 50,000 ingawa nina wasiwasi) kutoka magereza na kuwapeleka Donbas na Bakhmut, bila mafunzo marefu. Wanatumwa mbele ili kuchosha Waukraine wanaowaua. Halafu vikosi maalum wa Wagner wanafuata.Umeliona wapi ilo jeshi kubwa.Wagner wamekuwa jeshi kubwa?.
Kwenye list ya jeshi kubwa Wagner wapo nafasi ya ngapi?. Ebu tupe majibu maana sisi wengine wageni hapa.
Kila siku mnadai Wagner PMC wanachukua wafungwa magerezani.Mkuu sisemi Wagner ni "jeshi kubwa". Naona tu taarifa kuwa wamechukua maelfu (nimeona idadi 50,000 ingawa nina wasiwasi) kutoka magereza na kuwapeleka Donbas na Bakhmut, bila mafunzo marefu. Wanatumwa mbele ili kuchosha Waukraine wanaowaua. Halafu vikosi maalum wa Wagner wanafuata.
Je una taarifa tofauti?
Mnaosifia leopard angalieni wenyewe
View attachment 2540742
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂Mnaosifia leopard angalieni wenyewe
View attachment 2540742
Hata kama wanachukua wafungwa,kwani Kuna ubaya Gani?Kila siku mnadai Wagner PMC wanachukua wafungwa magerezani.
Ina maana Russia wafungwa ni wengi kuliko watu waliopo uraiani.
Maana hawaishi huko magerezani na wanachukuliwa tu kila siku.