kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
[emoji298]️This week, Poland will send 10 Leopard 2 tanks to Ukraine, Polish Defense Minister Mariusz Blaszczak said, Sky News reported.[emoji298]
Atajua mwenyewe ila kinafuata Ni kipigo na leopard zake zinaenda kukwama kwenye tope yaani tunaenda kuzichukua kirahisi bila kutumia nguvu.EXPLAINED: Zelensky Pledges to Boost Bakhmut Defenses After Reports of Ukraine Preparing to Withdraw
The Ukrainian president said although extremely difficult, the situation in the besieged city is actually “yielding one of the greatest results during this war.”
Read more on our website.
Kuna tatizo gani unadhani mtu anatoka mwenyewe pangoni Kama Hana chakula? Utachagua moja tu kufa njaa au kutafuta msosi.Rais wa Ukraine amesema hawataondoa majeshi Bakhmut
Laakini Russia watushusha vitu hyo air defence haitaona chochote.[emoji298]️The first Patriot air defense systems have already arrived in Ukraine, Polish Defense Minister Mariusz Blaszczak said in an interview with the Spanish newspaper Razon.[emoji298]
Kwenye mahandaki na askari wengine ambao hawako mstari wa mbele
FYI, mji wa huo una mamaili ya under ground bunkers zilizo jengwa wakati wa utawala wa Kisoviet kujilinda dhidi ya missiles/mabom ya thermonuclear ,watu wanaweza kuishi humo hata kwa mwaka mzima bila ya kulazimika kuja juu ya aridhi - sina shaka kuna silaha za NATO za kila sampuli zilizofichwa humo pia na wanajeshi wa Ukraine,mamluki pamoja na some NATO/US troops watakuwa wamejimchibia humo - wanaona aibu ku-surrender na kuonekana kwenye vyombo vya habari - Urusi inawapa muda wa ku-surrender for a good reason kwa sababu wanajua underground network zote za mji huo na jinsi ya kitumia mabom ya kupenya underground bunkers zote zilizo jengwa kwa kutumia reinforced concrete - ni suala la muda, jeshi la Ukranine, mamluki na some NATO troops wakiendelea kuwa wakahidi kwa kukataa ku-surrender kwa majeshi ya Urusi na Wagner Group watalipuliwa wote na kufa na wala Putin hatawaonea huruma/samehe.
Nimeipenda hii.Mwaka huu wazungu kazi wanayo, viongozi wao wanapashwa hadharani bila woga
View attachment 2538863
◾Congo President shuts down Macron at a press conference, Macron tries to deflect but makes it even worst.
◾When someone tells you to stop patronising, don't fucking try to patronise the person right away! What a moron!
◾Follow:
t.me/UkraineHumanRightsAbuses
"Forced evacuation of children from active combat zone". Mkuu Kwa Nini wafanye hivi na je na nani aliwapeleka watoto vitani?.[emoji779]️The Cabinet of Ministers of Ukraine has approved a mechanism of forced evacuation of children from active combat zones, the Ukrainian Ministry for Reintegration of the Temporarily Occupied Territories reported.[emoji298]
Faida yake ni nini mkuu?.Rais wa Ukraine amesema hawataondoa majeshi Bakhmut