Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
ApiaHiyo haiwezi kumzuia kuwaita. Kenya hawana mchamgo wowote huko. Nchi zote za Afrika zilizoko DRC wanapiga madili TU hakuna kingine.
ApiaHiyo haiwezi kumzuia kuwaita. Kenya hawana mchamgo wowote huko. Nchi zote za Afrika zilizoko DRC wanapiga madili TU hakuna kingine.
Swala la kukemea mashoga naona limekuuma sana eh?Hayo ni mawazo yako yaliyoshindwa ni kutoa hoja madhubuti dhidi yake.
Ushoga nchini kwako hauko??
Jee kuna siku nchini kwako umeukemea Ushoga? ?
Mbona mnapenda kujitajia maneno hayo pale mnapokuwa na mawazo tofauti na mwenzako?
Anaekuwa pro Urusi au pro Nato utofauti wenu ni upi kwenye kujenga hoja.
Huyu mzee alijirikodi na kujifanya hivyo na ni kiongozi kwenye jeshi sasa ingekuwa ni wa Nato si mngetukana.
Hebu jadilini hoja badala ya vioja.
View attachment 2540030View attachment 2540031
Umeliona wapi ilo jeshi kubwa.Wagner wamekuwa jeshi kubwa?.Labda maiti nyingi ni sababu wanasonga mbele polepole hivi? Hujajiuliza kwa nini jeshi kubwa vile linashindwa hadi sasa kuteka sehemu ndogo kama Bakhmut?
Tafakari, mkuu, badala ya kukasirika.
Angalau idadi kubwa ya wahanga upande wa Urusi ni sababu inayotajwa na Waukraine wakiulizwa kwa nini wamebaki hadi sasa.
Halija niuma hata kidogo.Swala la kukemea mashoga naona limekuuma sana eh?
Nenda kapigane Putin kule yeye ndio kiongozi wetu wa jamii zilizostaarabika, ndie anaelishughulikia swala lenu.
Hao viumbe hawatakiwi kwa jamii zote zilizostaarabika. Kama wapo basi watulie na hali zao hukohuko iwe siri yao, ila sio kutusambizia as if mnahubiri mema.
Msitusambazie ili lionekane ni jambo la kawaida mkatuharibia na vizazi vilivyopona.
Mi nlitegemea utafurahi ukiona linakemewa... kumbe mapokeo yamekua tofauti kwako.
Ubwabwa ni ubwabwa tuu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
West wanawakati mbaya sana kihistoria imagine hata rais wa ufaransa .. macron....anapingwa wazi wazi na waandamanaji waafrika
Hii haijawahi tokea kwa hawa viongozi ma Giant[emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2540244
Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]View attachment 2540697