INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
Tunawachakaza mpaka akili ziwakae sawa,[emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
[emoji298][emoji298]Ukraine’s missile and artillery units have destroyed a Russian artillery gun and multiple launch rocket system (MLRS) on the Kinburn Spit[emoji298][emoji298]
Pole Sana 'ki-rat'...Tunawachakaza mpaka akili ziwakae sawa,[emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
[emoji298][emoji298]Ukraine’s missile and artillery units have destroyed a Russian artillery gun and multiple launch rocket system (MLRS) on the Kinburn Spit[emoji298][emoji298]
Mkuu naomba tutumie akili ya wastani. Safari hii uwezekano mkubwa West watampiga Mrusi (kama Ukraine inaweza kuendelea, tutaona jinsi itakavyoendelea baada ya anguko la Bakhmut). Hawatapiga China, China ni muhimu mno kiuchumi (tofauti na Urusi).Westen sio lazima jina liwe la west hata wewe pia ni mu-west ....kiitikadi...na ninakuapia, kama wewe ni mtanzania...utakuja kuikumbuka hii post..
westeners watampiga mrusi na watammaliza na hana chakufanya, wanampga mchina kabari asifurukute, wanamvamia iran kuvuna mafuta na wanahamia congo kuvuna dhahabu ili kufidia hasara waliyoipata ukraine..baada ya hapo
Ule unafuu wa uongozi unaouona kwa nchi za kiafrika hutauona tena baada ya west kujishikiza kwenye umiliki wa dunia.
Sheria zitaweka hadi jinsi ya kuishi na mkeo ndani kwako...hutaweza kumkataza mtoto wako wa kiume asiolewe na mwanaume mwenzie, akija kukusalimia ukimuangalia unachukulia picha anavyofukunyuliwa..eeeh mtoto wako wa kiume.. mwanao wa kumzaa kbs na huna la kufanya,kama huna watoto ndicho west wanapenda, unataman ungezaa wa kike, nao wana chama chao,sponser ni west, nae anaolewa na mwanamke flan hiv anasokomezewa ma dildo had anakua bibi hajazaa wala nn..ukoo wa UMSHANA unaishia hapo..kule mtoto shoga huku mtoto tomboy ukoo umeisha...umekua babu au bibi..huna mjukuu, wakifanyiwa hivi watanzania 20milion ujue hapo kizazi kimekata, nguvu kazi imekata, wanakuja watoto wa west(hao ni matajiri planner wanazitaka rasilimali za dunia nzima, maana kuna familia za kina gates,soros,rothchld,biden na wengine wanafanya mashindano ya kuwa wakusanyaji wa rasilimali bora zote duniani, wanazipata wapi kama sio kwako na congo na ukrain waana sio kwa mkopo huo hizo familia zimewekeza hapo kwa mgongo wa serikali za west kama marekani wameuwekeza pale)
Hao hao watoto wao wakija baada ya wewe na wanao kua mashoga hamna warithi, wanarithi mali zako kwa kukupa wewe 30milion (e.g) wanakukata kodi, wanakukata bima, wanakukata bima ya afya maana utakua unaumwa wakati huo...umebakiwa na 20milion..unapelekwa "vakesheni" ulaya huko mshamba wewe ukija kushtuka una 10milion
Unarud kupga miayo ukisubir kufa..
Watakuwa na hela ya kuwalipa Wagner kweli?Ni kweli mkuu, ndio maana na-insist kwamba Mzalendo Tshekedi ought to do something to nip in the bud these proxy war fighters who are pretending to be freedom fighters, the soonest it is done the better.
Tshekedi hasipo kuwa mkali na kurudisha nidhamu kwenye jeshi lake la kitaifa, akiendelea kuwaacha wanajeshi wake waendekeze masuala ya starehe mfano: kupendelea masuala ya ndombolo ya solo, wanawake na upigaji sijui pamba nk huku wakitegemea mataifa mengine ndio yaje kuwaokoa mambo yanapo kwenda ndio sivyo - akipuuzi ushauri wa watu wengi wanao itakia mema Congo DRC basi akae akijua Taifa hilo litagawanywa kama Sudan na Yugoslavia ni sauala la muda tu na ku-manufacture hoja ambazo zitakuwa supported na western Nations ku annex Kivu ya kasikazini na kusini - ndio maana watu wanamshauri Tshekedi kwamba waleteni Wanajeshi wa Wagner Group kutoka Russia wawape mafunzo makali na kuwatia adabu wanajeshi wa Congo DRC waachane na mambo ya kizembe zembe ya kukimbia kimbia ovyo kila wakisikia risasi au mzinga wa M23.
Angalia kikundi kidogo cha Wagner Group kinavyo wapa kichapo kitakatifu wanajeshi wote wa Ukraine, some NATO troops including the USA - wanao pigana huko Bakhamut - that is why 'am still insisting kwamba Congo DRC military gotta lot to learn from them gallant Wagner Group.
Mkuu kati ya nchi kama Urusi na Marekani sioni uwezekano wa vita ya kawaida; mara mmoja anapgwa vibaya anaweza kukimbilia silaha za nyuklia. Tishio hili ni sababu ya kutoona vita kati yao tangu 1945. - Kuhusu uwezo wa conventional: linganisha namba za budget ya kijeshi kila upande, na uwezo wa silaha zilizoonekana katika Ukraine hadi sasa. Tofauti ya uwezo ni sambamba na uwezo wa kiuchumi na kiteknolojia. Hadi leo tunaona watu wanaokaa foleni kwenye mipaka ya Marekani wakitaka kuingia, pamoja na vijana wasomi. Hatuoni foleni ya watu wanaojitahidi kuingia Urusi.ww Mwamba huwa natabasamu sana ninaposoma comments zako...unaoneka uko matured and educated lkn sijui huwa unakwama wapi....!!!..unadai Urusi hana uwezo wa kupambana na US.., hv ni Marekani yupi huyo...??? ...hv kwa akili ya kawaida kabisa...unafikiri Marekani angekuwa na uwezo wa kupambana na Russia angevumilia haya anayoyafanya Russia..???...unaelewa kwamba hii vita inadhalilisha sana 'US SUPERIO POWER' ... unadhani kwa hali iliyokuwepo kabla ya hii Vita iko sawa na sasa au itakuwa sawa baadae..??...huwa unakujaga na well analysed comments ... lakini in btn your lines...ni kama vile huwa unajam akili zako kwa muda...., to conclude the matter...ni kwamba US hana ubavu wowote wa kupambana na Russia...labda China...I can agree..!..na hapa siongelei nucleur war...hapa naongelea ... convetional war..,hawez..!!!..na nilichokiona kwenye hii SMO ni kwamba Western Intelligence imefail kwa Russia...kama wameshindwa kujua wapige sunction za aina ipi ili ku-criple Russian Economy...basi hata data halisi za uwezo wa Jeshi la Russia hawana ...huwa wana tudanganya tu...hakuna cha CIA, MI6 et all...,
Na hii Vita ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa Marekani duniani..., slowly hvhv kama utani lakini mbuyu utadondoka...na hapo ndio utakapoona unafiki wa hawa anaowaita Allies ..sijui ..nani...wote watamgeuka..!!
Wasalaam!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
😀
Watakuwa na hela ya kuwalipa Wagner kweli?
Hiyo haiwezi kumzuia kuwaita. Kenya hawana mchamgo wowote huko. Nchi zote za Afrika zilizoko DRC wanapiga madili TU hakuna kingine.Na alivyo huyu hawez kuwaita wegner maana kenya wana askari pale na unajua kenya anasurport ukrain
Shukrani sana!!Pole Sana 'ki-rat'...
Safii [emoji122]Mkuu naomba tutumie akili ya wastani. Safari hii uwezekano mkubwa West watampiga Mrusi (kama Ukraine inaweza kuendelea, tutaona jinsi itakavyoendelea baada ya anguko la Bakhmut). Hawatapiga China, China ni muhimu mno kiuchumi (tofauti na Urusi).
Hakika West haitatawala dunia yote. Mambo yanabadilika polepole. Nchi za kusini zinasogea mbele. Tazama Asia! Ni Afrika tu inayojikwamisha kwa sasa, kwa kuvumuilia viongozi hao. Muhimu kutokubali unyama mtupu, jinsi walivyofanya Marekani huko Iraki (mara ya pili) na Urusi sasa Ukraine (na Georgia miaka iliyopita).
Maana tukianza kukubali mwenye nguvu kumlazimisha jirani mdogo - sijui mambo yatafikia wapi?
Noted!Mkuu kati ya nchi kama Urusi na Marekani sioni uwezekano wa vita ya kawaida; mara mmoja anapgwa vibaya anaweza kukimbilia silaha za nyuklia. Tishio hili ni sababu ya kutoona vita kati yao tangu 1945. - Kuhusu uwezo wa conventional: linganisha namba za budget ya kijeshi kila upande, na uwezo wa silaha zilizoonekana katika Ukraine hadi sasa. Tofauti ya uwezo ni sambamba na uwezo wa kiuchumi na kiteknolojia. Hadi leo tunaona watu wanaokaa foleni kwenye mipaka ya Marekani wakitaka kuingia, pamoja na vijana wasomi. Hatuoni foleni ya watu wanaojitahidi kuingia Urusi.
Nakubali kwamba athira ya Marekani itaendelea kupungua polepole. Ila si kwa sababu ya kupigwa katika vita hii. Hatuwezi kujua kama Ukraine ina uwezo kuendelea kwa muda mrefu. Ila kupungua kwa Marekani ni maendeleo ya nchi za kusini, China tayari, Uhindi inakuja sasa (wasipoanza kupigana kati yao). Amerika Kusini wako njiani pia. Afrika itafuata mara itaachana na viongozi wafisadi.
Ni Mimi niliyetilia shaka panya hao wa kimagharibi but leo jf members wengi zaidi wanazidi kuwa na wasiwasi juu ya panya hao licha ya mwanzo wengi kubeza Jambo hiliNahisi kuna ID kama mbili hivi zilizokuwa na muandiko kama huo. Ilianza ya kwanza, ikaja ya pili na hii Ni ya tatu.
Kuna mtu aliwahi kugusia kuwa kuna watu hapa wapo kazini. Wanalipwa kbs. Nafkiri huenda ikawa kweli.
Wengine tunaona ni zogo tu ktk kupeleka siku mbele lkn wapo ambao wanachukulia serious hii kitu sana.
hii dhana ya kulinganisha badget...haina mantiki kabisa...,kwa uwezo wangu mdogo wa kuona..nadhani ukubwa wa budget ya US unatokana na mambo mengi...moja wapo ni kuhudumia Military Bases zaidi ya 700(kama sijakosea) zilizotapaa duniani kote..., hii point moja tu inabeba dhana nzima ya ukubwa wa hiyo budget,,, kingine ni ktk kutafuta ushawishi wa kijeshi duniani..Marekani anatumia fedha nyingi sana kutoa misaada ya kijeshi kwa Washirika ili aendelee kushikilia uongozi...,Marekani pia anatumia hela nyingi sana ktk kufadhili vikundi vya kigaidi....machafuko yote tunayoyaona Duniani kwa asilimia kubwa yana mkono wa Marekani..., to some up the story ni kuwa hiyo bajeti kubwa tunayoiona ya Marekani haiendi yote jeshini (kwa maana ya Military Personel Trainnings, New Tech Research, Production ya Equips, Intelligency, and so forth..)....huge part of it inaenda kwenye hizo angle nilizotaja hapo juu..Mkuu kati ya nchi kama Urusi na Marekani sioni uwezekano wa vita ya kawaida; mara mmoja anapgwa vibaya anaweza kukimbilia silaha za nyuklia. Tishio hili ni sababu ya kutoona vita kati yao tangu 1945. - Kuhusu uwezo wa conventional: linganisha namba za budget ya kijeshi kila upande, na uwezo wa silaha zilizoonekana katika Ukraine hadi sasa. Tofauti ya uwezo ni sambamba na uwezo wa kiuchumi na kiteknolojia. Hadi leo tunaona watu wanaokaa foleni kwenye mipaka ya Marekani wakitaka kuingia, pamoja na vijana wasomi. Hatuoni foleni ya watu wanaojitahidi kuingia Urusi.
Nakubali kwamba athira ya Marekani itaendelea kupungua polepole. Ila si kwa sababu ya kupigwa katika vita hii. Hatuwezi kujua kama Ukraine ina uwezo kuendelea kwa muda mrefu. Ila kupungua kwa Marekani ni maendeleo ya nchi za kusini, China tayari, Uhindi inakuja sasa (wasipoanza kupigana kati yao). Amerika Kusini wako njiani pia. Afrika itafuata mara itaachana na viongozi wafisadi.
Mabaki ya walioshindwa kutoroka mjini humo baada ya kutoroka lazima wasumbue. Kama walikuwemo humo zaidi ya 25000 elfu itakuwa hayo mabaki yao?A grueling seven-month battle for the front-line city of Bakhmut is coming down to street-by-street fighting and skirmishes on rural roads and settlements on its outskirts, where Ukrainian forces are digging narrow trenches into the muddy ground to fortify their positions.
Ukrainian officials say Russian forces have not yet seized full control of the city, whose capture would offer the Kremlin a symbolic victory after months of battleground setbacks and Ukrainian counteroffensives.
=======================
Bado Bakhmut pagumu...
Sela Son
Putin Hana chakula Cha kulisha hata Askari wake kwa wiki 1 hiyo posho ya kuwalipa external agents atoe wapi?Putin hana mapandikizi humu ? Au posho ya kuwalipa ndio tatizo ?