Westen sio lazima jina liwe la west hata wewe pia ni mu-west ....kiitikadi...na ninakuapia, kama wewe ni mtanzania...utakuja kuikumbuka hii post..
westeners watampiga mrusi na watammaliza na hana chakufanya, wanampga mchina kabari asifurukute, wanamvamia iran kuvuna mafuta na wanahamia congo kuvuna dhahabu ili kufidia hasara waliyoipata ukraine..baada ya hapo
Ule unafuu wa uongozi unaouona kwa nchi za kiafrika hutauona tena baada ya west kujishikiza kwenye umiliki wa dunia.
Sheria zitaweka hadi jinsi ya kuishi na mkeo ndani kwako...hutaweza kumkataza mtoto wako wa kiume asiolewe na mwanaume mwenzie, akija kukusalimia ukimuangalia unachukulia picha anavyofukunyuliwa..eeeh mtoto wako wa kiume.. mwanao wa kumzaa kbs na huna la kufanya,kama huna watoto ndicho west wanapenda, unataman ungezaa wa kike, nao wana chama chao,sponser ni west, nae anaolewa na mwanamke flan hiv anasokomezewa ma dildo had anakua bibi hajazaa wala nn..ukoo wa UMSHANA unaishia hapo..kule mtoto shoga huku mtoto tomboy ukoo umeisha...umekua babu au bibi..huna mjukuu, wakifanyiwa hivi watanzania 20milion ujue hapo kizazi kimekata, nguvu kazi imekata, wanakuja watoto wa west(hao ni matajiri planner wanazitaka rasilimali za dunia nzima, maana kuna familia za kina gates,soros,rothchld,biden na wengine wanafanya mashindano ya kuwa wakusanyaji wa rasilimali bora zote duniani, wanazipata wapi kama sio kwako na congo na ukrain waana sio kwa mkopo huo hizo familia zimewekeza hapo kwa mgongo wa serikali za west kama marekani wameuwekeza pale)
Hao hao watoto wao wakija baada ya wewe na wanao kua mashoga hamna warithi, wanarithi mali zako kwa kukupa wewe 30milion (e.g) wanakukata kodi, wanakukata bima, wanakukata bima ya afya maana utakua unaumwa wakati huo...umebakiwa na 20milion..unapelekwa "vakesheni" ulaya huko mshamba wewe ukija kushtuka una 10milion
Unarud kupga miayo ukisubir kufa..