Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Una double standards za hovyo sana

Nchi zinazoendelea kumtumia malkia/mfalme wa uingereza kama mkuu wa nchi zinafanya kwa hiyari yao ila nchi zinazoendelea kuwa chini ya urusi zinatawaliwa kwa nguvu sio!?

Kwa hiyo Wachechnia wanatawaliwa kinguvu, wanapelekwa vitani kinguvu [emoji1787].

Mambo ya ajabu kbs
Mkuu ukiona double si kosa langu labda umwone daktari wa macho. Kwa kila nchi inayomtumia mfalme wa Uingereza -asiye na mamlaka- unaweza kupata azimio la bunge au kura ya wananchi kufanya hivyo.
Kuhusu Chechnya unapata habari ya vita iliyoua maelfu wakati Putin aliwalazimisha kukaa chini ya Shirikisho la Urusi ambako mwenye mamlaka ni yeye mwenyewe.
Umsalimie daktari!
 
Kwahiyo kwa maelezo yako yote hayo na nguvu zote ulizozitumia kusoma na kuchambua historia hizo, sababu kubwa ni kuutetea ushoga?

Kwa maana, anaetetea mtetezi wa ushoga na ni muumini tuu.

Ruka utakavyo hapa swala ni moja tuu, ni Kumkataa shetani na kazi zake zote.

Hamna maelezo utayaleta ukaeleweka ase, West wanatuharibia tamaduni za ulimwengu, geuka muafrika mwenzangu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu ukipenda kumwona sheitani katika ukoloni wa Kirusi juu ya Chechnya, Cherkes country, Azerbaijan, Dagestan, Armenia, Georgia, nchi za Asia ya Kati (leo KAzakhstan, Turkestan, Uzbekistan, Bukhara, Shiva, Tashkent, Tajikistan, Tannu Tuwa, na mengine, ni shauri lako. Ni swali pana sana.
Sasa unaleta habari za ushoga humo. NAshindwa kuelewa kwa nini, ila hata hii ni shauri lako.
 
warmonger wanazidi kuchanganyikiwa

if everybody in the world was not buying Russian oil, we will be in trouble because the market will be very unbalanced. So, it’s not a problem for us and good for India if they can buy Russian oil at a better price."
- Josep Borrell
 
mwaka mmoja uliopita
FqXx_jlWAAAo5fl
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (4 March 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥
In Kupyansk direction, the active action of the 'Zapad' Group of Forces, supported by Army Aviation and artillery, have resulted in the neutralisation of the enemy manpower and hardware near Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic), Gryanikovka, Timkovka, and Tabayevka (Kharkov region).

◽️ Over 90 Ukrainian personnel, 1 tank, and 6 motor vehicles have been eliminated.

💥 In Krasny Liman direction, the attacks, launched by the aircraft and artillery of the 'Tsentr' Group of Forces, have resulted in the neutralisation of the enemy units near Yampolovka (Donetsk People's Republic), Chervonopopovka, and Kuzmino (Lugansk People's Republic).

◽️ The enemy has lost up to 150 Ukrainian personnel, 2 infantry fighting vehicles, 5 armoured fighting vehicles, and 1 Grad multiple-launch rocket system (MLRS).

💥 In Donetsk direction, the active action of the 'Yug' Group of Forces, as well as the attacks, launched by aircraft and artillery, have resulted in the elimination of up to 490 Ukrainian personnel, 1 tank, 3 infantry fighting vehicles, 4 pickups, 9 motor vehicles, 2 Msta-B howitzers, 3 D-30 howitzers, 1 D-20 cannon, as well as 1 U.S.-manufactured M-777 artillery system.

💥 In South Donetsk and Zaporozhye directions, Operational-Tactical Aviation and the artillery of the 'Vostok' Group of Forces have launched a complex fire attack against the units of the Armed Forces of Ukraine (AFU) near Vodyanoye, Ugledar, Novopol (Donetsk People's Republic), Shcherbaki and Kamenskoye (Zaporozhye region).

◽️ The enemy has lost up to 80 Ukrainian personnel, 1 tank, 2 armoured fighting vehicles, 3 pickups, as well as 2 D-20 howitzers.

💥 In Kherson direction, the firepower operation has resulted in the elimination of over 70 Ukrainian personnel, 20 motor vehicles, 1 U.S.-manufactured M-777 artillery system, as well as 1 D-30 howitzer.

💥 Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 83 artillery units at their firing positions, manpower and hardware in 197 areas.

◽️ 1 missile guidance radar for S-300 air defence system has been destroyed near Druzhkovka (Donetsk People's Republic).

✈️ Fighter Aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 2 Mi-8 helicopters of Ukrainian Air Force near Suvorovo (Donetsk People's Republic) and Pokrovskoye (Dnepropetrovsk region).

💥 Air defence facilities have shot down 1 Mi-8 helicopter of Ukrainian Air Force near Novosyolovka (Zaporozhye region).

◽️ Moreover, 12 rocket-propelled projectiles, launched by HIMARS MLRS, and 11 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down near Petrovka, Veliky Vyselok (Kharkov region), Stelmakhovka, Golikovo, Zhitlovka, Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic), Staromlinovka, Kremenets, Peski (Donetsk People's Republic), Malaya Kardashinka, and Novaya Zburyevka (Kherson region).

📊 In total, 394 airplanes, 215 helicopters, 3,324 unmanned aerial vehicles, 408 air defence missile systems, 8,145 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,049 fighting vehicles equipped with MLRS, 4,273 field artillery guns and mortars, as well as 8,722 units of special military vehicles have been destroyed since the beginning of the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Huyu Viktor Sobolev Ana mawazo kama Yangu
Nimuda sasa wa Urusi kuachana na Hii kitu Operation na Kuanza Vita kamili
Yaani sasa Aingie mazima Iwe Vita tu yaani Twanga Hadi makao makuu ya Ukrein Kweli kweli
Hii Kumlea Lea Inachosha Sana


[emoji298]️Viktor Sobolev, a member of the State Duma Defense Committee, said that Russia “absolutely” needs to end the “special operation” and start a real war:

“There are no red lines left regarding Ukraine. And we need to end the special operation and start a war.”
Mkuu nani atasaini makaratasi zele akitwagwa
 
[emoji629]Germany calls on China to influence the Kremlin to end Russia's war in Ukraine, Chancellor Scholz said today in an address to the Bundestag.

“Use your influence on Moscow so that they withdraw their troops, and do not supply any weapons to the aggressor Russia,” he said.

[emoji328]: AP
Hahahaha nawewe adi umechoka nakuona umeshangilia
 
Uzuri wa Russia wanajua ku deal na magaidi vizuri sana.

Nikikumbuka wale magaidi waliokuwa wanafadhiliwa na US wale wa ISIS walichokuwa wanafanywa kule Syria, basi hata hao magaidi wanaojiita Russian Volunteer Corps of the AFU watafanywa kitu ambacho hawataamini na watapote kwenye thin air.

Mwaka jana tuliona Ukraine walivyomuua yule Binti wa close friend wa Rais Putin, baada ya tukio lile, hatujaona tena Ukraine wakirudia kufanya tena ugaidi wa namna hiyo. Hii ina maana majibu waliyoyapata yalikuwa makali mno.
Wawaulize Hizbollah enzi wanajifanya wehu. Warusi hawanaga lelemama kwa gaidi. Wana Alpha group ikitumwa kwako huwezi tamani ukutane nayo tena
 
mwaka mmoja uliopita
FqXx_jlWAAAo5fl
Ongezea hapa pia, mwaka mmoja uliopita retired Lt. Gen. Hodge alisema SMO ita cease ndani ya siku 10 sababu Russia hana man power na silaha.

Mwaka jana mwishoni akasema by february ukraine itakua ready kuikomboa crimea ila leo ni march na Ukraine wameshindwa hata kuikomboa Bakhmut.

Imagine huyu ni US General anapuyanga hivi.
20230304_161711.jpg
20230304_163251.jpg
 
Wawaulize Hizbollah enzi wanajifanya wehu. Warusi hawanaga lelemama kwa gaidi. Wana Alpha group ikitumwa kwako huwezi tamani ukutane nayo tena
Alpha Group is part spy network, part counterterrorism team, part general-purpose commando squad — and entirely terrifying. It first gained notoriety for leading the assault on the presidential palace in Kabul during the initial phases of Russia's invasion of Afghanistan in 1979.
 

Tutaona! (tusisahau kufuatilia hatma ya utajiri wa gesi..)

Russia could run out of money next year, says oligarch Oleg Deripaska​

Western sanctions are causing serious pressure, with budget deficit forecast to jump
The oligarch Oleg Deripaska has said Russia could run out of money by next year unless the country secures investment from “friendly” countries as western sanctions bite.

Deripaska, an energy and metals tycoon who was once Russia’s richest person, told an investment conference in Siberia on Thursday: “There will be no money already next year. We will need foreign investors.”


Deripaska, who is subject to UK, US and EU sanctions over Russia’s invasion of Ukraine, said funds are running low and “that’s why they’ve [the Russian government] already begun to shake us down”, according to a Bloomberg report.

He said that Russia was suffering from “serious” pressure from western sanctions, and that the country and its businesses would have to look to other countries with “serious resources” to invest.
Muuza nishati ya mkaa na kuni ndo anaweza kuishiwa pesa sio petrol na gas
 
warmonger wanazidi kuchanganyikiwa

if everybody in the world was not buying Russian oil, we will be in trouble because the market will be very unbalanced. So, it’s not a problem for us and good for India if they can buy Russian oil at a better price."
- Josep Borrell
Anajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Ongezea hapa pia, mwaka mmoja uliopita retired Lt. Gen. Hodge alisema SMO ita cease ndani ya siku 10 sababu Russia hana man power na silaha.

Mwaka jana mwishoni akasema by february ukraine itakua ready kuikomboa crimea ila leo ni march na Ukraine wameshindwa hata kuikomboa Bakhmut.

Imagine huyu ni US General anapuyanga hivi.View attachment 2537005View attachment 2537006
Delusional prick
 
Back
Top Bottom