jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Prigo atuma batch nyingine ya idadi kubwa maiti za wanajesh wa Ukraine.
Nilijua nipo peke yangu nisieelewa lugha yake, mpaka nilim block.Huyo jamaa maelezo yake hayaeleweki . Kiswahil chake hakiekeweki. Bila shaka huyu Ni mwanafunzi katika lugha hii
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Bakhmut imekwenda 🤣🤣🤣🤣
Imekwenda na majiBakhmut imekwenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipanya hizi video za marehemu zao anaziona kweli au yeye kazi yake ku edit tu.Prigo atuma batch nyingine ya idadi kubwa maiti za wanajesh wa Ukraine.
Kipanya namshauri ajiviche kwenye mashimo,hali mbaya Kwa neo naziImekwenda na maji
Hatimaye😂😂The order has been given to abandon Bakhmut"
Former Prosecutor General of Ukraine Yuriy Lutsenko
Hawa viongozi Wa kirusi sijui wanaandaliwaje?hapo competent/vizuri sana.kufanya mahojiano na sergei lavrov unahitaji maandalizi ya kielimu, maarifa, facts, uelewa wa hicho unachokihoji.
huyu muhindi kachemka