Nasisitiza tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini. Waswahili husema pole pole ndio mwendo... Russia alipogundua njama za west akabadili upepo wa mapigano
Operation ilaanza kua too slow, wajinga wakaanza kucheka kua Russia sio kitu ni super power wa mchongo, wengine wakaanza ohoo kashindwa kuiteka kiev ndani ya saa 24.
Intelligence ya urusi iliona na kunisa mipango ovu ya west toka 2015 walipoanza ku train vijana wa ukraine.. huwez kukurupuka kupeleka jeshi lote eti uonekane umeshinda ndani ya mda mfupi. Vita ni gharama kubwa sana... warusi walikuja na strategical measures
Sasa mnaona kinachotokea, kuanguka kwa Bakhmut ni hatari sana kwa Ukraine, maana eneo linalofuata ni tambarare linaloruhusu "kichapo " kutembea vizuri. Bwana Zelensky alikataa kuachia donbase sasa ana hatari ya kuipoteza Ukraine yote..
Ndio kwanza mwaka mmoja, hii vita itasogea hata miaka 3 ijayo ambapo mbivu na mbichi tutaziona.