Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Wamefyekwa almost 40,000 ndani ya kipindi kichache hapo BhakmutHii vita anatafutwa marekani NABII alitabili marekani itageuzwa majivu na Russia kwa atomic bomb
Wamefyekwa almost 40,000 ndani ya kipindi kichache hapo BhakmutHii vita anatafutwa marekani NABII alitabili marekani itageuzwa majivu na Russia kwa atomic bomb
Wapi bhakmut kijana 🤣Ndio Hivyo shekhe fashisti Putin kaamua kwa makusudi kabisa kuwapeleka machinjioni watoto wa mother Russia 🥱🥱🥱
Urusi hawezi ruhusu hata zifike hapo UkraineHuo utakata siku moja tu
Bakhumut bado ngoma imedinda [emoji28]Heheh
Wapi bhakmut kijana [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bakhmut gani iyo mzee.Bakhmut ishaondoka.wala hakuna tena jipya Zelensk atakaloweza fanyaBakhumut bado ngoma imedinda [emoji28]
Pole sana, warusi wanaendelea kuchinjwa kama kuku hapo bakhumut [emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bakhmut gani iyo mzee.Bakhmut ishaondoka.wala hakuna tena jipya Zelensk atakaloweza fanya
Ukranian army watakuwa mpaka Sasa ni zaidi ya laki 350,000 waliokwenda na maji!Wamefyekwa almost 40,000 ndani ya kipindi kichache hapo Bhakmut
Bakhmut utaisahau kama ulivyoisahau Soledar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Pole sana, warusi wanaendelea kuchinjwa kama kuku hapo bakhumut [emoji23][emoji28]
Hahahah ukiweka idadi kamili hadi waliotenguka viuno huko 500,000 wahanga plus wafuUkranian army watakuwa mpaka Sasa ni zaidi ya laki 350,000 waliokwenda na maji!
Ukijawekavwaliojeruhiwa na waliotiwa vilema,naelewa kwanini Zele anapeleka vitoto na vibabu vikahold position Frontline!
Analeta ubishi wa njano ya yanga na njano ya brazil 🤣🤣🤣Bakhmut utaisahau kama ulivyoisahau Soledar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Zelensk mwenyewe kashakubali kuwa imeanguka, wewe sijui una moyo wa madini gani mpaka unakuwa mgumu ivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Shoigu mwenyewe kaenda kugawa medali frontline we unazungumzia bhakmut ya mwaka jana 🤣🤣🤣??? Ishabaki story sahizi.Wanachinjwa sana kama kuku lakini hawakomi[emoji23][emoji28]View attachment 2537113
Kipanya anakuja ku defend 🤣🤣🤣Muonekano mpya wa mji wa Marinka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza ukajua ni eneo la jagwa kumbe kulikuwa na maghorofa marefu.
Zelensk inabidi atupe idadi ya vijana wake waliopotea kwenye mji wa MarinkaView attachment 2537110View attachment 2537111
Jambo la kitoto sana kujisfia huku umeporwa ardhi yako kwa kichapo kikali cha wapiga magitaa wa WagnerMpango wa fashisti Putin kuwaacha Ukraine gizan umegonga mwamba [emoji1787][emoji16]
[emoji298][emoji298]Thanks to the efforts of citizens and businesses in the EU member states, the energy blackmail by Russia has failed.[emoji298][emoji298]