Ndugu yangu,naomba nikuhakikishie kua, USA Ina Hadi CIA wabongo,waswahili kama wewe wapo hapa bongo.NATO hawawez weka pandikiz humu ndan
Isipokuwa washkaj wanajaribu kujiegemeza huko labda watapata viza kirahis siku wakijilipua
Lavrov alimuchunia mshikaji. Blinken alikuwa anaongea jamaa hajibuKumbe? Blinken and Lavrov meet for first time since Ukraine war
Blinken and Lavrov meet for first time since Ukraine war
Russia Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova confirmed that the meeting took place but gave no further details.
Urusi Kuna units za aina nyingi sana za namna hii.😀 😀 😀 😀 😀 Alpha Squad kiboko ya magaidi
Hahahahahah US hatoboiUrusi Kuna units za aina nyingi sana za namna hii.
Wapo Hadi wanaoitwa "frogmen"
Hawa vurugu zao ni ndani ya maji TU,shughuli zao sio za kitoto.
Russian Frogmen.
(spetsnaz) unit of the Russian Naval Infantry, trained to conduct land and sea operations behind enemy lines, and to conduct underwater combat, mining and clearance diving.
Intelligence za vijiweniKatika watu waliojishushia credibility kwenye hii SMO ni hawa UK intelligence na report zao za kuokotezaView attachment 2536219
Hapo tukiamini chanzo kipi Cha habari maana NATO mchuzi mwingi yaani mpaka Sasa mnashitukiwaNi kichapo tu huko bakhumut [emoji23][emoji28]View attachment 2537123
Mkuu hii tutaona. Swali la kwanza ni, je Mrusi anaweza kuendeleza kiwango chake cha uzalishaji baada ya kuondoka kwa makampuni ya magharibi? Maana Urusi ilikaribisha makampuni hayo (hasa BP, Shell, Wintershall Dea, ExxonMobil, TotalEnergies, Equinor, OMV, na Trafigura) kwa sababu vyanzo vyake vya awali vinapungua na kufungua vyanzo vipya katika kaskazini (eneo gumu penye baridi chini ya 0 muda wote ndani ya ardhi) kunahitaji pesa na tekinolojia za pekee. Makampuni yote ya nje yameondoka.Muuza nishati ya mkaa na kuni ndo anaweza kuishiwa pesa sio petrol na gas
HahahahahahhahahaKipanya naomba post hii habari tafadhali.View attachment 2537099
Urussi mwisho wa siku ni lazima amtwange USA tu. Bila kufanya hivyo maisha yatakuwa magumu sana. Kumpiga USA ni akili tu amfute kabisa kwenye ukiranja maana ni sawa na mwanamke mchawi na mnafiki anaechonganisha watu bila sababu huku akitaka kuonekana mwema.Mkuu hii tutaona. Swali la kwanza ni, je Mrusi anaweza kuendeleza kiwango chake cha uzalishaji baada ya kuondoka kwa makampuni ya magharibi? Maana Urusi ilikaribisha makampuni hayo (hasa BP, Shell, Wintershall Dea, ExxonMobil, TotalEnergies, Equinor, OMV, na Trafigura) kwa sababu vyanzo vyake vya awali vinapungua na kufungua vyanzo vipya katika kaskazini (eneo gumu penye baridi chini ya 0 muda wote ndani ya ardhi) kunahitaji pesa na tekinolojia za pekee. Makampuni yote ya nje yameondoka.
HAdi sasa Rosneft (kampuni kubwa ya Kirusi, ilikuwa 20% mkononi mwa BP) iliuza ndani ya Urusi kwa bei nafuu ikiweza kupunguza bei kutokana na faida zake katika biashara na Ulaya. Ila soko la Ulaya limeenda halitarudi.
Watafanyeje?
Pia, ilhali mafuta ghafi inaweza kusafirishwa kwa meli, gesi inategemea hasa mabomba. (isipokuwa ukiwekea pesa nyingi kwa viwanda vya kubadilisha gesi ghafi kuwa LPG, pia hakuna meli nyingi za LPG kama za mafuta). Kwa hiyo: Urusi haiwezi kuuza gesi yote ilyouza Ulaya kwa China, mabomba hayatoshi.
Kwa hiyo si ajabu hata mtajiri kama Deripaska (aliyesimama upande wa Putin) anaonya kuhusu matatizo mwaka ujao....
Basi tutaona, ila usiseme haiwezekani!
(Haiwezekani walisema marafiki wengi wa Urusi kabla ya Putin kuanza vita.....)
Mkuu unamaanisha nini? Kumtwanga kwa namna gani? Kumpiga vipi? Kiuchumi ? Kijeshi ????Urussi mwisho wa siku ni lazima amtwange USA tu. Bila kufanya hivyo maisha yatakuwa magumu sana. Kumpiga USA ni akili tu amfute kabisa kwenye ukiranja maana ni sawa na mwanamke mchawi na mnafiki anaechonganisha watu bila sababu huku akitaka kuonekana mwema.
Kivyovyote vile lazma wamchangie hata ikibidi wao na China wamkung'ute wammalize kabisa. Amekosa ustaarabu wa kuishi na nchi zingine. Yeye sikuzote ndo chanzo cha vurugu na kero duniani.Mkuu unamaanisha nini? Kumtwanga kwa namna gani? Kumpiga vipi? Kiuchumi ? Kijeshi ????
Hapo ndio Unajiuliza NATO Generals ndio akili zao za kufanya assessments zipo za namna hiyo...Ongezea hapa pia, mwaka mmoja uliopita retired Lt. Gen. Hodge alisema SMO ita cease ndani ya siku 10 sababu Russia hana man power na silaha.
Mwaka jana mwishoni akasema by february ukraine itakua ready kuikomboa crimea ila leo ni march na Ukraine wameshindwa hata kuikomboa Bakhmut.
Imagine huyu ni US General anapuyanga hivi.View attachment 2537005View attachment 2537006