Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ilianza kuenea miaka 500 iliyopita, pamoja na Uingereza na wakoloni wengine. Tofauti ilikuwa tu, Uingereza ilienea hasa ikivuka bahari, Urusi ilienea kwenye nchi kavu. Pamoja na yale niliyokopi chini, katika karne ya 19 Urusi ilivamia nchi za kaukazi (Chechnya, Cherkes country, Azerbaijan, Dagestan, Armenia, Gerogia) nchi za Asia ya Kati (leo KAzakhstan, Turkestan, Uzbekistan, Bukhara, Shiva, Tashkent, Tajikistan, Tannu Tuwa, na mengine).

Soma: As the Europeans began their overseas expeditions in the early 16th century, the Muscovites started their expansion to the north and east. They captured the Yugorian lands by 1502 and reclaimed Ryazan by 1520. They conquered the Kazan Khanate in 1552 and Astrakhan Khanate in 1556, abolished the Great Nogai Horde in 1557, and took the Siberian Khanate in 1582. .... But the Russians amassed even more territory, continuing their Drang hach Osten well into the next century: By 1610 they had absorbed the Pegaya Horde, reaching the Yenisey River, and by the mid-17th century they were approaching the border with China. By 1689 they had conquered all of northeastern Eurasia to the Bering Strait.
Kwahiyo kwa maelezo yako yote hayo na nguvu zote ulizozitumia kusoma na kuchambua historia hizo, sababu kubwa ni kuutetea ushoga?

Kwa maana, anaetetea mtetezi wa ushoga na ni muumini tuu.

Ruka utakavyo hapa swala ni moja tuu, ni Kumkataa shetani na kazi zake zote.

Hamna maelezo utayaleta ukaeleweka ase, West wanatuharibia tamaduni za ulimwengu, geuka muafrika mwenzangu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Video

Hali Imekuwa Mbaya Sana kwa Jeshi la Ukrein
Imefikia Hatua Ukiweza Kutoroka Msitari wa Mbele Bakhmut
Kwanza Unalia
Na Ukibaki Pia Unalia

Kijana Wawatu Kafanikiwa Kutoka Bakhmut Kwa Miguu na Wenzie ila Haamini Njia nzima Analia kama Jibwa koko
Huku Akisema Hajui kafikaje Hapo Alipo
Pia Hajui kwanini Yupo Vitani
Analia Kwa Hofu na Uoga maana Njia Nzima Anakutana na Maiti ya Wenzie
Mmoja Anajaribu kumwambia Anyamanze Ajikaze Kutembea
hahaha
SHIKAMOO WAGNER
View attachment 2536350

MUNGU IBARIKI URUSI

Duuu, hadi nimewaonea huruma,Zelensky sio mzima. Hii vita ni ya kuisha mezani.
 
Wamekimbia tayari

ВСУ отошли с восточного берега Бахмута, бойцы ЧВК «Вагнер» начала операции по очистке района от оставшихся там солдат, которые, скорее всего отступить уже не смогут.

Кроме того, ВСУшники начали отход из остальной части города по второстепенным дорогам, после того, как «музыканты» взяли под огневой контроль основные пути снабжения.
@wagner_group_pmc

completely retreated from the eastern shore of Bakhmut, the fighters of the Wagner PMC began operations to clear the area from the soldiers remaining there, who, most likely, would not be able to retreat.

in addition, the Vushniks began to withdraw from the rest of the city along secondary roads, after the “musicians” took fire control of the main supply routes.
@wagner_group_pmc
 
I see hii ni hatari.
🇺🇲🇺🇦 CNN, citing its sources in the Ukrainian General Staff, reports that on February 28, 2023, the losses of the Armed Forces of Ukraine amounted to:

▪️ 259,085 people killed, died from wounds, diseases;

▪️wounded, crippled 246,904;

▪️deserted, as well as missing - 83,952;

▪️ captured - 28 393.
Yaani hap missing +dead ni Karibu laki 3 na nusu,walitiwa vilema + waliokamatwa Karibu laki 2 na themanini!
Zele lazima atume vitoto na vizee kuhold position Frontline!
 
Ukraine wakimbia waacha silaha kibaao

🇷🇺⚔️🇺🇦 Situation in the Eastern Bank, Artyomovsk: Morning of 4/03/2023

- In the Area of the Tuvra Meat Processing Plant, practically the entire frontline had adjusted on the Artemovka (Bakhmutovka) River and some elements of troops have even crossed the river and have began fighting within the Azom Plant.

- In the area of the Artwinery PRJSC, the frontline adjusted on the "Avtodrom" facility, and elsewhere, the frontline had adjusted on the main road into the centre of the city. Over 150 units of heavy units of mechanized equipment was abandoned by the AFU, and has subsequently been captured by PMC Wagner.

-In the Residental area, the entire frontline has adjusted past Shchedyra St.

- In total, the AFU left behind almost 200 units of valuable equipment, including IFVs, tanks, automatic mortars, ATGMs and small artillery, de-mining and other units of equipment. Despite the withdrawal of the AFU from the Eastern Bank, it was chaotic and they suffered thousands of losses throughout the withdrawal.

Nabrezhnye
 
Huyu dogo mwezi january alitangazwa kuwa amepotea, masikini kumbe yupo hai ila ameangukia kwenye mikono ya wagner wenye huruma.

Huu ni udhalilishaji wa vijana wadogo
1677904683293.png

1677904715679.png
 
Yaani hap missing +dead ni Karibu laki 3 na nusu,walitiwa vilema + waliokamatwa Karibu laki 2 na themanini!
Zele lazima atume vitoto na vizee kuhold position Frontline!
Hapana unekosea wanajeshi wa ukraine waliokufa mpaka Jana ni 259,000, wounded ni karibia 230,000 na missing ni karibia 83,000 yani approximately ukraine kwa ujumla imepoteza wanajeshi zaidi ya 430,000 roughly. Russia imepoteza approximately wanajeshi yani waliokufa ni 80,000 - 100,000 japo laki hawajafika
 
Sijakosea,hujaangalia nilichoandika Kwa umakini!
 
Naona ushindi wa Russia sasa ni wazi kabisa tena pasipo shaka.

USA kaongeza package nyingine tena,lakini nadhani ni namna ya kijikosha na Biden anaangalia Ukraine 🇺🇦 katika jicho la kisiasa zaidi hasa uchaguzi ambao unakaribia.

Iwapo hali itaendelea hivi ni wazi Biden na Democratic wanakwenda kuangushwa katika uchaguzi.

Ushawishi wa USA kelekea Ulaya na Dunia katika ujumla wake unakwenda kupungua sana.
 
Leopard Tanks Arrive in Ukraine - Get stuck in the mud!​

03 MARCH 2023

The much vaunted Leopard Tanks from NATO countries are arriving in Ukraine. They're getting stuck in the mud.See image below.
Some great training those Ukrainians got . . .
 
Attachments

  • Leopard-Tank-Ukraine_large.jpg
    Leopard-Tank-Ukraine_large.jpg
    54.1 KB · Views: 17
Wamekimbia tayari

ВСУ отошли с восточного берега Бахмута, бойцы ЧВК «Вагнер» начала операции по очистке района от оставшихся там солдат, которые, скорее всего отступить уже не смогут.

Кроме того, ВСУшники начали отход из остальной части города по второстепенным дорогам, после того, как «музыканты» взяли под огневой контроль основные пути снабжения.
@wagner_group_pmc

completely retreated from the eastern shore of Bakhmut, the fighters of the Wagner PMC began operations to clear the area from the soldiers remaining there, who, most likely, would not be able to retreat.

in addition, the Vushniks began to withdraw from the rest of the city along secondary roads, after the “musicians” took fire control of the main supply routes.
@wagner_group_pmc
🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺💪🇷🇺👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
[emoji631][emoji629]US President Joe Biden and German Chancellor Olaf Scholz met at the White House.

Both leaders promised to continue supporting Ukraine as long as necessary, CNN reported.

[emoji328]: Twitter / Olaf Scholz
 
Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]

[emoji298]️The US has allocated a new package of military aid to Ukraine in the amount of $400 million.

It included additional ammunition for HIMARS, howitzers and Bradleys, as well as armoured bridge layers and demolition munitions, the US State Department said.[emoji298][emoji298]
 
Hapana unekosea wanajeshi wa ukraine waliokufa mpaka Jana ni 259,000, wounded ni karibia 230,000 na missing ni karibia 83,000 yani approximately ukraine kwa ujumla imepoteza wanajeshi zaidi ya 430,000 roughly. Russia imepoteza approximately wanajeshi yani waliokufa ni 80,000 - 100,000 japo laki hawajafika
Urusi Hata 20 elfu hawajafika kwa mujibu wa shirika la ujasusi la kuaminika kabisa la Mossad na lisilo upande wowote ktk mgogoro huu.
 
Back
Top Bottom