Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunapoelekea tutaona ukweli ni upi kuhusu nguvu ya kiuchumi, yule anayemiliki rasilimali na yule anayeprint dollars nyingi.
Mkuu, na wewe unaishi sayari gani???
Ninapoishi takwimu ya gesi ni hii:

# Country Yearly Gas Production (MMcf)
1 United States 32,914,647,000
2 Russia 22,728,734,000
3 Iran 9,097,956,245
4 Canada 6,751,698,275

Kwenye sayari yangu takwimu ya mafuta ghafi ni hii:
16274.jpeg


Nikitumia lugha yako: yuko anayezalisha malighafi nyingi, lakini ana pia mitambo ya kuchapisha $$
Kwa lugha hiyo ulitaka kuonyesha nini?

(n.b. ukipendelea kutaja AKIBA ya gesi (yaani gesi ambayo haileti pesa hadi sasa) utaonyesha namba kubwa ya Urusi;
Natural Gas Reserves by Country
# Country Gas Reserves (MMcf)
1 Russia 1,688,228,000
2 Iran 1,201,382,000
3 Qatar 871,585,000
4 United States 368,704,000
Hapo ukumbuke akiba za Urusi ziko hasa kwenye eneo gumu la kaskazini, ambako uzalishaji unahitaji pesa nyingi na tekonolojia za pekee. Hapo ndipo sababu kwamba Urusi ilwahi kukaribisha makamuni ya nje (BP, Shell. Wintershall ...) kuja na kuanzisha miradi. Tangu vita ya Ukraine WOTE wameondoka...

Kwa akiba ya mafuta ghafi zote mbili si muhimu sana, yaani hawatadumisha uzalishaji wa sasa kwa muda mrefu.
 
Ndugu yangu,naomba nikuhakikishie kua, USA Ina Hadi CIA wabongo,waswahili kama wewe wapo hapa bongo.
Ujasusi Ni kitu Cha kutisha Sana kikubwa Sana kuliko uwezo wake wa kawaida wa kufikiri.
CIA na mashirika mengine ya makubwa ya kijasusi wapo humu kuinfluence Sera zao.
Wengine formal na wengine informal agents.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli. Utabiri wa wengine kuwa Urudi itafilisika karibuni ulikuwa mbali sana na ukweli. Hapa tunamsikia mtajiri Mrusi Deripaska aliyeongea kwao nyumbani. Anasema yale waliyosema wengine: sekta kubwa za uchumi wa Urusi zilitegemea makampuni na tekonolojia ya nje. Pia uwekezaji (nje ya sekta ya kiserikali) ulikuwa pia na kiasi kikubwa taji la nje. Hayo yote yamekauka. Bado nchi ina akiba lakini ikijaribu kuiga hali ya kawaida, akiba inapungua. Mapato kutoka nje yalikuwa hasa kutokana na nishati. Ila sasa Urusi imeharibu soko lake kuu Ulaya. Masoko mengine yapo ila bei zinashuka hivyo pia mapato. Maana Uhindi na China wananunua kwa bei za duni (ambazo hazitangazwa hadharani...)
Tuone jinsi utabiri wake unavyoendelea hali halisi.
Wewe jamaa itakua hujui kiswahili....unatumia google translate, utakua ni mzungu wewe..
 
Mkuu unaishi sayari tofauti? Hujajibu kimakini nilipouliza unapenda Urusi kupiga Marekani kijeshi au kiuchumi.
Uwezo wa Urusi kushindana na Marekani kijeshi haupo. Kwa silaha za nyuklia ndiyo, ila hii siiti kijeshi kwa sababu baadaye hakuna Urusi wala Marekani. Kwa hiyo hakuna anayeitaka pande zote.
Kushindana kiuchumi? Wapi???
Jeshi la Urusi lilihofiwa hadi Februari 2022. Baadaye uwezo wake ulikuwa hadharani.

Urusi ilikuwa na nafasi kupunguza athira ya Marekani kwa kushirikiana na nchi za Ulaya. Ilifanya hatua kadhaa mwanzoni, lakini sasa imeharibu yote.

Naona bado kwamba uchumi wake utaendelea kuporomoka na kurudi nyuma. Labda itapata nafasi kuwa sheli ya China na mdogo wake kwa miaka ijayo.
Tuone.
ww Mwamba huwa natabasamu sana ninaposoma comments zako...unaoneka uko matured and educated lkn sijui huwa unakwama wapi....!!!..unadai Urusi hana uwezo wa kupambana na US.., hv ni Marekani yupi huyo...??? ...hv kwa akili ya kawaida kabisa...unafikiri Marekani angekuwa na uwezo wa kupambana na Russia angevumilia haya anayoyafanya Russia..???...unaelewa kwamba hii vita inadhalilisha sana 'US SUPERIO POWER' ... unadhani kwa hali iliyokuwepo kabla ya hii Vita iko sawa na sasa au itakuwa sawa baadae..??...huwa unakujaga na well analysed comments ... lakini in btn your lines...ni kama vile huwa unajam akili zako kwa muda...., to conclude the matter...ni kwamba US hana ubavu wowote wa kupambana na Russia...labda China...I can agree..!..na hapa siongelei nucleur war...hapa naongelea ... convetional war..,hawez..!!!..na nilichokiona kwenye hii SMO ni kwamba Western Intelligence imefail kwa Russia...kama wameshindwa kujua wapige sunction za aina ipi ili ku-criple Russian Economy...basi hata data halisi za uwezo wa Jeshi la Russia hawana ...huwa wana tudanganya tu...hakuna cha CIA, MI6 et all...,
Na hii Vita ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa Marekani duniani..., slowly hvhv kama utani lakini mbuyu utadondoka...na hapo ndio utakapoona unafiki wa hawa anaowaita Allies ..sijui ..nani...wote watamgeuka..!!
Wasalaam!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ujasusi Ni kitu Cha kutisha Sana kikubwa Sana kuliko uwezo wake wa kawaida wa kufikiri.
CIA na mashirika mengine ya makubwa ya kijasusi wapo humu kuinfluence Sera zao.
Wengine formal na wengine informal agents.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hakika kabisa,umenena.
Huo ndio ukweli wenyewe.
 

Bakhmut surrounded. All roads cut-off​

04 MARCH 2023

I received the following FLASH TRAFFIC over Intel Circuits at 11:00 AM today (Saturday, 4 March 2023),
ALL ROADS OUT OF BAKHMUT HAVE BEEN CUT OFF: RUSSIAN ENCIRCLEMENT OF THE CITY COMPLETED: FULL COLLAPSE OF UKRAINIAN DEFENSE IS EXPECTED WITHIN DAYS

MORE:

The Ukrainian troops stationed in Bakhmut cannot retreat because of the bridges blown up by the Armed Forces of Ukraine.
After the encirclement of Bakhmut reached its climax, it became known that part of the Ukrainian forces stationed in the western part of the city retreated.
However, due to fears of the complete abandonment of the city, the command of the Armed Forces of Ukraine ordered to undermine the bridges that ensure NO possibility of retreat from the city.
At the moment, at least two blown up bridges are known, however, this is enough to block the massive retreat of the Ukrainian army from the city.

Initially, assumptions were made that crossings and dams blocking the advance of the Wagner PMC were undermined, however, terrain and satellite images indicate that this does not affect the advance of the Wagner PMC units.
Experts note that a similar situation was previously observed in Mariupol, and recently, but on a much smaller scale, in Soledar.
The exact number of Ukrainian troops in Bakhmut remains unknown, however, according to Ukrainian sources, we are talking about a group of about 5-8 thousand people.
Information about the almost completed encirclement of Bakhmut was also confirmed by the authorities of the DPR.

UPDATE 12:02 PM EST --
Bridge at Khromove village west to Bakhmut has been blown up.

This is road number O0506.
Now, the cauldron is closed: no one in, no one out.
 
Naongezea Wala komoro, Wala Nchumbiji, hata Malawi hayupo.

Hili ni pandikizi
Anaandika kwa lugha yake anayoijua then anakwenda google translator ndo anaweka hapa na ukimjibu, jibu lako analipeleka google translator na mchezo ni huo mpaka mwisho. Ndo maana huwezi kumquote akajibu hapo hapo kama wengine anahitaji muda wa kutafsiri kila neno😀😀. Sema dah mzungu kuja na id ya Umshana sio mchezo.
 
ww Mwamba huwa natabasamu sana ninaposoma comments zako...unaoneka uko matured and educated lkn sijui huwa unakwama wapi....!!!..unadai Urusi hana uwezo wa kupambana na US.., hv ni Marekani yupi huyo...??? ...hv kwa akili ya kawaida kabisa...unafikiri Marekani angekuwa na uwezo wa kupambana na Russia angevumilia haya anayoyafanya Russia..???...unaelewa kwamba hii vita inadhalilisha sana 'US SUPERIO POWER' ... unadhani kwa hali iliyokuwepo kabla ya hii Vita iko sawa na sasa au itakuwa sawa baadae..??...huwa unakujaga na well analysed comments ... lakini in btn your lines...ni kama vile huwa unajam akili zako kwa muda...., to conclude the matter...ni kwamba US hana ubavu wowote wa kupambana na Russia...labda China...I can agree..!..na hapa siongelei nucleur war...hapa naongelea ... convetional war..,hawez..!!!..na nilichokiona kwenye hii SMO ni kwamba Western Intelligence imefail kwa Russia...kama wameshindwa kujua wapige sunction za aina ipi ili ku-criple Russian Economy...basi hata data halisi za uwezo wa Jeshi la Russia hawana ...huwa wana tudanganya tu...hakuna cha CIA, MI6 et all...,
Na hii Vita ndio mwanzo wa kuanguka kwa utawala wa Marekani duniani..., slowly hvhv kama utani lakini mbuyu utadondoka...na hapo ndio utakapoona unafiki wa hawa anaowaita Allies ..sijui ..nani...wote watamgeuka..!!
Wasalaam!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Big mind
 

Things are getting pretty bad:The U.S. deploys "Doomsday Plane" to Europe.Russia on its' part issues "Nuclear Clash" warning to its' military​

04 MARCH 2023

The United States has transferred an E-6B "Looking Glass" nuclear war command and control aircraft to Europe. In response, Russian Armed forces were issued a "nuclear clash warning" (The U.S. equivalent of DEFCON-2) by the Ministry of Defense.
The transfer of the American "doomsday plane" to Europe is allegedly a "signal" to Russian President Vladimir Putin. On Tuesday, the U.S. European Command moved the E-6B Mercury, also known as the "Doomsday Aircraft," to Iceland. It refueled and continued on to Europe.
It is an airborne command post designed to control armed forces in a nuclear war.
The current version of the aircraft entered service in 1998 and is capable of communicating directly with submarines equipped with ballistic missiles. In addition, the Mercury can also remotely control Minuteman intercontinental ballistic missiles. "After Russia suspended its participation in the New START agreement, the redeployment of the E-6B Mercury to Iceland can be seen as a measure of clear anti-Kremlin positioning" said sources in the US Defense Department.
TERROR ATTACK INSIDE RUSSIA
Earlier this week, somewhere between 40 and 50 Ukrainians launched an attack inside Bryansk Russia. They fired at cars, a school bus with children, and burned several houses.
They were engaged by Russian Border Guards and the Russian federal security service (FSB) which repelled them back into Ukraine, where the Russian Army finished them all off with a "massive" artillery barrage.
Later, vehicles around Bryansk struck land mines planted by the attackers.
As a result of the attack, at least one school bus driver and one child were reported killed.
Investigators found some of the weaponry used by the attackers and disclosed . . . they were NATO weapons.
This information lead to a stark session of Russia's lower house of Parliament, which they call the "Duma." It is the legislative equivalent to the US House of Representatives.
During the debate, it came out that the weaponry used by the attackers was NATO weaponry. One member of the Duma said "This raises a lot of questions about NATO's participation." Another member of the Duma replied "It doesn't raise questions, it raises ANSWERS."
Between the attack in Bryansk, and now the deployment of a US "Doomsday Plane" Russia issued a "Nuclear Clash Warning" to its military. This is the U.S. equivalent of DEFCON-2.
For those unaware, the DEFCON level is an indicator of how close we are to nuclear war. It has a scale of 1 to 5, with 5 being everything is normal, have a nice day. One is "nuclear war."
The Russians are now at the equivalent of 2. Just one step away from actual nuclear conflict.
Earlier this week, reports started coming in indicating US Senators and perhaps other American Officials, are leaving to "The Hotel" tomorrow (Sunday, March 5). That phrase, "The Hotel" is a reference to the underground nuclear bunkers built decades ago for US officials to survive a nuclear war. (Story HERE)
Given the possible relocation of US Officials to nuclear bunkers, and the deployment of a US E-6B "Doomsday Plane" to Europe, this coming week seems primed for the worst week in human history.
Make certain you have "preps" of emergency food, water, medicine, communications gear, flashlights, a generator with fuel to run it, and so forth.
 

Attachments

  • E-6-Looking-Glass-Iceland-For-Europe-03-03-2023_large.jpg
    E-6-Looking-Glass-Iceland-For-Europe-03-03-2023_large.jpg
    26.9 KB · Views: 16
Back
Top Bottom