Uko sahihi.Wagner ni hatari na Nusu. Mtu kakimbizwa bwana kwenye mji wake na Suma Jkt.
Nina imani jeshi la Urusi lina uwezo mara 10 ya Wagner. Sipati picha ingekuwa lipo mzigoni lenyewe 100%
Maneno ya mkosaji,unaachia ardhi huku ukijipa moyo!😀😀Ila tulichowafanya hawatasahau.
Hakuna sehemu imeua watu wengi kama hapo
Ni kweli. Utabiri wa wengine kuwa Urudi itafilisika karibuni ulikuwa mbali sana na ukweli. Hapa tunamsikia mtajiri Mrusi Deripaska aliyeongea kwao nyumbani. Anasema yale waliyosema wengine: sekta kubwa za uchumi wa Urusi zilitegemea makampuni na tekonolojia ya nje. Pia uwekezaji (nje ya sekta ya kiserikali) ulikuwa pia na kiasi kikubwa taji la nje. Hayo yote yamekauka. Bado nchi ina akiba lakini ikijaribu kuiga hali ya kawaida, akiba inapungua. Mapato kutoka nje yalikuwa hasa kutokana na nishati. Ila sasa Urusi imeharibu soko lake kuu Ulaya. Masoko mengine yapo ila bei zinashuka hivyo pia mapato. Maana Uhindi na China wananunua kwa bei za duni (ambazo hazitangazwa hadharani...)Waliongea sana kuhusu haya ila mpaka leo Russia ipo na inagawa dozi kama kawaida.
Kama bei hazitangazwi hadharani wewe umejuaze ni bei duni!?Ni kweli. Utabiri wa wengine kuwa Urudi itafilisika karibuni ulikuwa mbali sana na ukweli. Hapa tunamsikia mtajiri Mrusi Deripaska aliyeongea kwao nyumbani. Anasema yale waliyosema wengine: sekta kubwa za uchumi wa Urusi zilitegemea makampuni na tekonolojia ya nje. Pia uwekezaji (nje ya sekta ya kiserikali) ulikuwa pia na kiasi kikubwa taji la nje. Hayo yote yamekauka. Bado nchi ina akiba lakini ikijaribu kuiga hali ya kawaida, akiba inapungua. Mapato kutoka nje yalikuwa hasa kutokana na nishati. Ila sasa Urusi imeharibu soko lake kuu Ulaya. Masoko mengine yapo ila bei zinashuka hivyo pia mapato. Maana Uhindi na China wananunua kwa bei za duni (ambazo hazitangazwa hadharani...)
Tuone jinsi utabiri wake unavyoendelea hali halisi.
Dah mr jaggajagga huyo anataka kukimbiaKamanda wa Ukraine aliyepo Bakhmut asema ni kweli wamepewa amri ya kuondoka Bakhmut haraka sana.
Inaweza isiwe mwisho wa watanzania ila ikawa mwisho wetu. Imekuja AIDS, haikuwa mwisho wa Tz ila kuna watu ilikuwa mwisho wao.Maana yangu ni kwamba necessity is a mother of invention. Ikitokea kukawa hakuna namna ya kupata mafuta kutoka huko basi kwa namna yyt tutatumia yanayopatikana kwetu, how!? Vitu vingine huwa impossible mpk pale vinapokuwa possible.
Usifikiri kwamba itakuwa mwisho wetu
Hapo mpka leopard wataziacha maana hakuna namna.
Prigo atangaza kuuteka mji wa Bahkmut. Adai ni njia moja pekee imebaki ambayo Ukro-nazi wanaweza kuondokea bahkmut. Amtaka Zelensky awaruhusu wanajesh wake warudi nyumbani ili waweze kuishi la sivyo wataisha wote ndani ya siku 2. Adai anataka professionals sio watoto na wazee.
Umeona hizo comment za wadau sasa nimecheka mpaka kuna jamaa anakwambia leopard imetoka ujerumani imekuja kusaidiwa Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zile leopard ndio hizi kumbe bakhumut zinatumika na mda watakimbia na kuziacha hapa fungua link[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Jielimishe kabla ya kujaribu matusi kama hangover.Kama bei hazitangazwi hadharani wewe umejuaze ni bei duni!?
ProNato mko na hangover
Yaani leopard imekwama kwenye tope halafu inavutwa na pickup halafu jamaa wanakuja na kipigo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hebu angalia HapoUmeona hizo comment za wadau sasa nimecheka mpaka kuna jamaa anakwambia leopard imetoka ujerumani imekuja kusaidiwa Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alafu et ndio wawaue Wagner ki kipanya44 Tueleze vizuri kwanza huyo mzee naamin hata babu yako hamfikii hahahhahahahaHebufikira Hawa Ndio Wanajeshi wanao Pelekwa Kupamana Na Dubu kama Urusi!!
Yaani hawa Hata kuwaua Unashindwa Sijui uwe na Roho ya namna gani Aisee.
Mzee kama Huyu kweli wakwenda Vitani?
View attachment 2535885