jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Kipanya upo wapi njo uone leopard zako huku zinatelekezwa kwenye tope huku wenyewe wanakimbia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hata sisi tunao SUMA JKT nayo si kampuni ya ulinzi ila imeanzishwa na jeshi.Uko sahihi.
Wagner kwa kifupi ni jeshi la akiba la taasisi ya kijeshi ya Russsia yaani State Security.
Ni nchi kubwa pekee ndizo zenye uwezo wa kuwa na jeshi hili.
Marekani nao wana Blackwater na zingine.
Hakuna kitu cha maana kwenye maelezo yako..Ni kweli. Utabiri wa wengine kuwa Urudi itafilisika karibuni ulikuwa mbali sana na ukweli. Hapa tunamsikia mtajiri Mrusi Deripaska aliyeongea kwao nyumbani. Anasema yale waliyosema wengine: sekta kubwa za uchumi wa Urusi zilitegemea makampuni na tekonolojia ya nje. Pia uwekezaji (nje ya sekta ya kiserikali) ulikuwa pia na kiasi kikubwa taji la nje. Hayo yote yamekauka. Bado nchi ina akiba lakini ikijaribu kuiga hali ya kawaida, akiba inapungua. Mapato kutoka nje yalikuwa hasa kutokana na nishati. Ila sasa Urusi imeharibu soko lake kuu Ulaya. Masoko mengine yapo ila bei zinashuka hivyo pia mapato. Maana Uhindi na China wananunua kwa bei za duni (ambazo hazitangazwa hadharani...)
Tuone jinsi utabiri wake unavyoendelea hali halisi.
wametekwa auHebufikira Hawa Ndio Wanajeshi wanao Pelekwa Kupamana Na Dubu kama Urusi!!
Yaani hawa Hata kuwaua Unashindwa Sijui uwe na Roho ya namna gani Aisee.
Mzee kama Huyu kweli wakwenda Vitani?
View attachment 2535885

Mmarekani yeye ni nani dunia hii, kila kona vurugu kwenye nchi za watuIla tulichowafanya hawatasahau.
Hakuna sehemu imeua watu wengi kama hapo
Sasa kama bei zipo kote huko ndio kufuchwa huko!? Ndio kutokuwekwa hadharani huko!?Jielimishe kabla ya kujaribu matusi kama hangover.
Sehemu zinajulikana. China wanaficha.
Ona Uhindi
![]()
Exclusive: Russian oil sold to India below price cap in buyers' market
Russia's flagship Urals crude has been sold at deeper discounts this month following a European ban on Russian oil imports, and dominant buyer India has bought barrels at well below a $60 price cap agreed by the West, four market sources said.www.reuters.com
Angalau $$15 chini ya bei rasmi iliyotangazwa na West.
ona pia gazeti The Hindu
![]()
India's procurement of crude oil at lowest price from Russia furthering G7 approach: U.S.
Geoffrey R. Pyatt said that there is "no contradiction at all" in India remaining one of the key global partners of the United States and the country's increasing procurement of discounted Russian crude oilwww.thehindu.com
Mkuu, acha mzaha, ati nini vile, SUMA JKT?Hata sisi tunao SUMA JKT nayo si kampuni ya ulinzi ila imeanzishwa na jeshi.
Hebufikira Hawa Ndio Wanajeshi wanao Pelekwa Kupamana Na Dubu kama Urusi!!
Yaani hawa Hata kuwaua Unashindwa Sijui uwe na Roho ya namna gani Aisee.
Mzee kama Huyu kweli wakwenda Vitani?
View attachment 2535885

Kama $15 chini ya bei iliyoamriwa na NATO haina maana, angalau kuna hisabati !Hakuna kitu cha maana kwenye maelezo yako..
Yote si makampuni ya ulinzi tu ila tofauti Yao ipo kwenye sera zao.Mkuu, acha mzaha, ati nini vile, SUMA JKT?
Yaani waifananisha SUMA JKT na Wagner Group?
Wagner si kampuni ni jeshi la akiba na hawajihusishi na shughuli ambazo SUMA JKT wazifanya kama kutengeneza samani na kufungua maduka ya matrekta na kutoa huduma ya ulinzi.Yote si makampuni ya ulinzi tu ila tofauti Yao ipo kwenye sera zao.
Wagner wanataka battle hardened soldier wakati upande wa pili wanakwenda reject
Ki rat ana edit idadi ya walio kufa kesho ili atuletee kesho ikifika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipanya upo wapi njo uone leopard zako huku zinatelekezwa kwenye tope huku wenyewe wanakimbia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wasitoke wapambane wasikubali kushindwaUkrArmy imeamuru wanajeshi wa Ukraine waondoke Bakhmut, watapangiwa maeneo mengine
Bakhmut ilikuwa na 1:7 ratio kwa askari.
Barabara iliyobakia ni moja pekee
Inaweza isiwe mwisho wa watanzania ila ikawa mwisho wetu. Imekuja AIDS, haikuwa mwisho wa Tz ila kuna watu ilikuwa mwisho wao.
Ni kweli. Ila mass distinction huwa ni chanzo kinachoacha alama kubwa.Mwisho ni AHADI kwetu mkuu haijalishi chanzo ni nini
hahahahhahaha, kinyonge sana!!Ila tulichowafanya hawatasahau.
Hakuna sehemu imeua watu wengi kama hapo