Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

I stand with Russia
Screenshot_20230303-163359.jpg
 
Urusi sio Serbia, Iraq au Libya-Kanali mstaafu wa Jeshi la Marekani na afisa wa serikali, na mwandishi, mshauri, na mchambuzi wa televisheni akieleza kuwa marekani wamejichanganya kwa kuidharau Urusi kwa kuilinganisha na mataifa yanayoendelea.

Simply ni kwamba, Russia wali apply Art of War Technique ya Appear weak when you are strong.

Miaka yote Western counties walikuwa wanaiona Russia kama a very weak country.
 
Mkuu sioni taarifa unayoleta inakinzana na zile nilizoleta mimi. Ni dhahiri bei zinachezacheza. Taarifa zote nilizoona zinasema Urusi inapaswa kuuza chini ya kiwango cha soko. Mfano wangu wa Uhindi ulitaja bei chini ya price cap ya EU/US. Mfano wako bei ya wanunuzi China ilikuwa kidogo juu ya price cap, lakini kwa namna yoyote Urusi sasa inapaswa kuuza chini ya bei ya kawaida (kama BRENT).
 
Uko sahihi.

Wagner kwa kifupi ni jeshi la akiba la taasisi ya kijeshi ya Russsia yaani State Security.

Ni nchi kubwa pekee ndizo zenye uwezo wa kuwa na jeshi hili.

Marekani nao wana Blackwater na zingine.

Wagner Group ni taasisi yenye kufanana kama Hezbullah (Hezbullah ipo chini ya Iran).

They have Political Agenda, Millitaly, Social and Financial Agendas to fulfil on behalf of Russia.
 
Prigozjin addresses #Zelensky! #Bakhmut is almost surrounded. If before we was fighting with professional #Ukranian military now our opponents are elderly and children. They r fighting valiantly! But they are dying rapidly. Please withdraw them home! The soldiers ask to go home

A very wise advice, Please withdraw them home, I dont want to kill Kids and elders anymore.
 
Wagner Group ni taasisi yenye kufanana kama Hezbullah (Hezbullah ipo chini ya Iran).

They have Political Agenda, Millitaly, Social and Financial Agendas to fulfil on behalf of Russia.
Hapana si Hezbullah bali ni Revolutionary Guards au IRGC.

Hezbollah wapo HQs ni Lebanon ila ni affiliate kwa RGs

Na Iran licha ya kuwa na hao RGs pia wana vikosi vingine vidogo kama SUMA JKT vyaitwa Artesh, Pasdaran na wana mgambo waitwa Basij na hawa ni SUMA JKT khasa.

RGs walinda maslahi ya Iran ndani na nje ya mipaka yake.
 
Wagner Group ni taasisi yenye kufanana kama Hezbullah (Hezbullah ipo chini ya Iran).

They have Political Agenda, Millitaly, Social and Financial Agendas to fulfil on behalf of Russia.
Mkuu Wagner si taasisi. Ni kampuni ya mamluki.
Ziko nyingi za aina hii. MAra nyingi zinashirikiana na serikali mbalimbali zikitumiwa nazo, wakati mwingine wanafanya tu biashara yao.
Katika miaka iliyopita (ukiacha maharamia wa zamani) kampuni ya kwanza ilikuwa WatchGuard International wa Uingereza tangu 1965. Mwanzoni makampuni hayo yalianzishwa Marekani, Israeli, Afrika Kusini na Uingereza.
Wagner alianza 2013, wametuma vikosi Syria, Libya, Ukraine (Donbass) na nchi mbalimbali za Afrika.
Wagner tuliona ugomvi baina yake na jeshi rasmi la Urusi. Si taasisi ya serikali.
 
Hapana si Hezbullah bali ni Revolutionary Guards au IRGC.

Hezbollah wapo HQs ni Lebanon ila ni affiliate kwa RGs

Mkuu wangu.

Proxy wars ni somo pana sana.

Ila kuanzia leo, tambua tu kwamba Hezbullah ni taasisi ya Iran, imeundwa na Iran na inafadhiliwa na Iran.
Hezbullah wapo chini ya IRGC Quads Forces. Hii Quads Forces ndio ina deal na millitary actions outside Iran.
Kiongozi wake wa IRGC Quds Forces ndiye yule aliyeuliwa na US - Qasem Soleimani

Okay, hata hao Houthi Movement wa Yemen na wao ni sehemu ya IRGC Quads Forces
 
Mkuu Wagner si taasisi. Ni kampuni ya mamluki.
Ziko nyingi za aina hii. MAra nyingi zinashirikiana na serikali mbalimbali zikitumiwa nazo, wakati mwingine wanafanya tu biashara yao.
Katika miaka iliyopita (ukiacha maharamia wa zamani) kampuni ya kwanza ilikuwa WatchGuard International wa Uingereza tangu 1965. Mwanzoni makampuni hayo yalianzishwa Marekani, Israeli, Afrika Kusini na Uingereza.
Wagner alianza 1913, wametuma vikosi Syria, Libya, Ukraine (Donbass) na nchi mbalimbali za Afrika.
Wagner tuliona ugomvi baina yake na jeshi rasmi la Urusi. Si taasisi ya serikali.
Wagner imeanzishwa 2014.
 
Mkuu sioni taarifa unayoleta inakinzana na zile nilizoleta mimi. Ni dhahiri bei zinachezacheza. Taarifa zote nilizoona zinasema Urusi inapaswa kuuza chini ya kiwango cha soko. Mfano wangu wa Uhindi ulitaja bei chini ya price cap ya EU/US. Mfano wako bei ya wanunuzi China ilikuwa kidogo juu ya price cap, lakini kwa namna yoyote Urusi sasa inapaswa kuuza chini ya bei ya kawaida (kama BRENT).
Inapaswa Kwa mujibu wa west!Ila China wamesema wazi hawajali Price cap,wanachojali wao ni biashara tu!IBei iwe juu au chini ya price cap,watanunua as long as it's profitable!
 
Mkuu Wagner si taasisi. Ni kampuni ya mamluki.
Ziko nyingi za aina hii. MAra nyingi zinashirikiana na serikali mbalimbali zikitumiwa nazo, wakati mwingine wanafanya tu biashara yao.
Katika miaka iliyopita (ukiacha maharamia wa zamani) kampuni ya kwanza ilikuwa WatchGuard International wa Uingereza tangu 1965. Mwanzoni makampuni hayo yalianzishwa Marekani, Israeli, Afrika Kusini na Uingereza.
Wagner alianza 1913, wametuma vikosi Syria, Libya, Ukraine (Donbass) na nchi mbalimbali za Afrika.
Wagner tuliona ugomvi baina yake na jeshi rasmi la Urusi. Si taasisi ya serikali.

Basi kuanzia leo, tambua kwamba, Wagner Group ni zaidi ya Kampuni ya Ulinzi.
Swala la ulinzi ni sehemu ya majukumu yao, lakini wana majukumu mengine zaidi ya ulinzi.
 
Mkuu wangu.

Proxy wars ni somo pana sana.

Ila kuanzia leo, tambua tu kwamba Hezbullah ni taasisi ya Iran, imeundwa na Iran na inafadhiliwa na Iran.
Hezbullah wapo chini ya IRGC Quads Forces. Hii Quads Forces ndio ina deal na millitary actions outside Iran.
Kiongozi wake wa IRGC Quds Forces ndiye yule aliyeuliwa na US - Qasem Soleimani

Okay, hata hao Houthi Movement wa Yemen na wao ni sehemu ya IRGC Quads Forces
Nakupata mkuu ila hapo nilikuwa najaribu kutofautisha kti ya kikundi cha mamluki na taasisi kamili.

Sasa, Wagner na IRGC ni taasisi kamili na zatambulika kwa serikali za Russia na Iran.

Ila Russia mara nyingi hujaribu kujiepusha na Wagner na shughuli zake.

Lakini ukiingia Wagner basi umo kwenye payroll ya MOD ya Russia kupitia GRU na benefits zote wapatiwa kama posho ya kujikimu na huduma ya afya.

Ni hivyohivyo kwa IRGC ya Iran yaani hawa jamaa wamejipanga sana.

Ukileta mchezo wao huwatuma Hezbollah, Hamas na vikundi vingine.

Point yangu kwa jamaa hapo juu ni kutolinganisha hizi taasisi za Wagner na IRGC zenye mabilioni ya fedha na SUMA JKT.
 
Mkuu Wagner si taasisi. Ni kampuni ya mamluki.
Ziko nyingi za aina hii. MAra nyingi zinashirikiana na serikali mbalimbali zikitumiwa nazo, wakati mwingine wanafanya tu biashara yao.
Katika miaka iliyopita (ukiacha maharamia wa zamani) kampuni ya kwanza ilikuwa WatchGuard International wa Uingereza tangu 1965. Mwanzoni makampuni hayo yalianzishwa Marekani, Israeli, Afrika Kusini na Uingereza.
Wagner alianza 1913, wametuma vikosi Syria, Libya, Ukraine (Donbass) na nchi mbalimbali za Afrika.
Wagner tuliona ugomvi baina yake na jeshi rasmi la Urusi. Si taasisi ya serikali.
Wagner ni kampuni ya kijeshi ambayo inalinda maslahi Russia popote pale duniani!
 
Nakupata mkuu ila hapo nilikuwa najaribu kutofautisha kti ya kikundi cha mamluki na taasisi kamili.

Sasa, Wagner na IRGC ni taasisi kamili na zatambulika kwa serikali za Russia na Iran.

Ila Russia mara nyingi hujaribu kujiepusha na Wagner na shughuli zake.

Lakini ukiingia Wagner basi umo kwenye payroll ya MOD ya Russia kupitia GRU na benefits zote wapatiwa kama posho ya kujikimu na huduma ya afya.

Ni hivyohivyo kwa IRGC ya Iran yaani hawa jamaa wamejipanga sana.

Ukileta mchezo wao huwatuma Hezbollah, Hamas na vikundi vingine.

Point yangu kwa jamaa hapo juu ni kutolinganisha hizi taasisi za Wagner na IRGC zenye mabilioni ya fedha na SUMA JKT.

Mkuu

IRGC ni pure regular army of Iran.
Ila sasa, IRGC wana special unit inaitwa Quads Forces.
Quads Forces kazi yao ni kulinda influence ya Iran nje ya nchi ya Iran.
Ndio sasa hawa Quads Forces wanamiliki Vikundi kama Hezbollah - Lebanon, Houthi - Yemen, Popular Mobilisation - Iraq etc.

Sasa hivi vikundi, vinakuwa na Military, Financial, Political and Social Agendas.

Naomba nikupe mfano wa Wager Group kwenye Political

Wager Group kwa sasa wamefanikiwa ku reduce influence ya France kwa nchi za Africa. They are pushing away France from Africa in favour of Russia and China.
 
Inapaswa Kwa mujibu wa west!Ila China wamesema wazi hawajali Price cap,wanachojali wao ni biashara tu!IBei iwe juu au chini ya price cap,watanunua as long as it's profitable!
Hibyo ndivyo nilivyoandika. Kwa sababu nafasi ya Urusi imedhoofika tangu kujiharibu soko lake kuu, inapaswa kuuza kwa bei ya dunu zaidi
 
Back
Top Bottom