kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
[emoji298][emoji298]
Wapo encircled na hawana na pa kwenda.Bakhumut bado mambo mazito View attachment 2536114
Demioitarization is achieved slowly but sure! UrrrahWaliokufa wengi ni wanajeshi wa Ukraine mpaka German intel ikawa shocked
Three digit number of soldiers daily
Hiyo ni 100+ dailyView attachment 2536052
We jamaa vita visha kuvuruga au ndio unajifariji unatuletea watu wako kwenye mahandaki humo ona hii Mwanzo wakeUnatuletea picha za maliupol unataka tuamini hapo ni bakhumut [emoji23][emoji28]
Kweli mazombi wa Putin mmeishiwa!
Teh teh 😂😂😂 Marekani hii hii ya Biden...Zaidi ya wanajeshi 10000 kutoka Marekani wauawa Bakhmut.
Unaleta picha hao unaona kabisa wamejificha cheki wanaume hawa[emoji116][emoji116][emoji116]Bakhumut bado mambo mazito View attachment 2536114
Asante, ni 2013!Wagner ilianza 1913 au taipin era???
SIvyo nilisema ni mamluki wa Kirusi? (ila wanamajiri yeyote, jinsi ilivyo kawaida kwa makampuni ya mamluki)Wagner ni kampuni ya kijeshi ambayo inalinda maslahi Russia popote pale duniani!
Huku ni kujipa moyo.[emoji1255][emoji298]Ukrainian defense minister Oleksii Reznikov has said that Ukraine expects to receive around two to three models of Western-built fighter jets from NATO partners, one of which will be delivered in larger numbers for more efficient operation and maintenance.
Though no country has yet promised to provide jets to Ukraine, Reznikov is "certain" that the decision to deliver them would come eventually, he said in a March 3 interview to German newspaper Bild.[emoji298][emoji298]
Hapana, Hezbollah kimsingi ni chama cha kisiasa na pia kikosi cha wanamigambo wa Lebanoni. (kuna pia makundi mengine katika nchi mbalimbali za aislamu wanaotumia jina kama hisbollah, maana yake "chama cha Allah", wengine kisiasa, wengine kijeshi, wengine kigaidi tu).Yeah, Hezbollah is part of Iran Quads Forces.
We jamaa kwani hujaelewa ujumbe? Kautafute googleTeh teh [emoji23][emoji23][emoji23] Marekani hii hii ya Biden...
Hizboullah ni mkono wa Iran ndani ya Lebanon.Hapana, Hezbollah kimsingi ni chama cha kisiasa na pia kikosi cha wanamigambo wa Lebanoni. (kuna pia makundi mengine katika nchi mbalimbali za aislamu wanaotumia jina kama hisbollah, maana yake "chama cha Allah", wengine kisiasa, wengine kijeshi, wengine kigaidi tu).
Hezbollah ni chombo cha kilebanoni, si ya Irani. Hata hivyo, walifundishwa kijeshi na Iran, ni hasa Waislamu wa Shia wanafuata uongozi wa Iran. Lakini si sehemu ya Quds Force.
Bora wewe umemjibu anaweza kukuelewa.Hizboullah ni mkono wa Iran ndani ya Lebanon.