Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Themobaric zinawatoa chap tu huko chini kwa lack of oxygen.Chechnya wanaomba waunge tena
Themobaric zinawatoa chap tu huko chini kwa lack of oxygen.Chechnya wanaomba waunge tena
Af kuna kenge wanasema eti watu wanaweza kuishi bila kutumia mafuta au gas ya mrusi. Hivi ni akili ukanunue soda ya Coca Mwanza eti kisa kumkomoa meneja wa kiwanda cha Mikocheni 🤣🤣🤣???Yaana Japan ni zaidi ya mwanamke malaya.
Ona sasa ameanza ku import mafuta ya Russia kwa wingi...
View attachment 2536109
Ndio vimeanza kuingia wagner mavi yanasukuma chupi [emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]Jamani nasikia vifaru vya Leopold vimeanza kupigika huko bakhamut
Unaumia ukiwa wapi????!¡Kimoja Kimepewa Moto Yaani Kimefumuliwa Sehemu ya Juu na Kuzama Kwenye Dimbwi
Leopard Kama leopard yaani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hii ni habari ya kweli mkuu au fix za twitter?Huu ufala ndio maama US anakataa kuketa Abrahams tanks zake.
Yaani unaletewa leo hii kifaru, kesho kimechomwa moto. Halafu unaendelea kudai uletewe tena vingine.
Hata ningekuwa mimi ningegoma kukupa msaada.
Russia wanapiga kimya kimyaHii ni habari ya kweli mkuu au fix za twitter?
Wanawaonea donge Wagner, now wamewaovertake on headlines.Chechnya wanaomba waunge tena
Mamluki maana yake Nini?Hivi mfano Tanzania,ni nchi ya mamluki kisa watu kutoka mataifa mbalimbali wanafanya kazi nchini Tanzania?Kampuni zilizoajiri watu kutoka mataifa mbalimbali zinaitwa kampuni za mamluki?SIvyo nilisema ni mamluki wa Kirusi? (ila wanamajiri yeyote, jinsi ilivyo kawaida kwa makampuni ya mamluki)
Mzee vita vinamatokea matatu..umepigwa mpaks umesalimu amri, umepiga mpaka opponent kasalimu amri au mmeshindwana..hakuna anayeshinda..mnakaa mezani mnazungumza..na ndio matokeo yanasubiriwa hapa...hayo mengine nafikiri hayana maana sanaKumbe. Waingereza wanaona kuwa Urusi inajaribu kuuza mfumo wa "Arena" kwenye soko la silaha (ili wapate $$) lakini hawaitumii kwa vifaru vyao.
Arena ni mfumo wa roketi ndogo zinazuzuia grenedi na roketi kupiga kifaru chake.
(ona Arena (countermeasure) - Wikipedia
Kama wangetumia Arena, vifaru vyao visingepotea kwa kasi hiyo.
Hitimisho: wanashindwa kuitengeneza. Sijaona bado inategemea vipuli gani kutoka nje.
Je yuko mwenye habari tofauti kuhusu hio?
(ona pia UK intelligence doubts Russia’s ability to use new military developments in Ukraine
UK intelligence doubts Russia's ability to use new military developments in Ukraine)
Wanawatafuta kwa udi na uvumba 🤣🤣🤣VIDEO
Wagner wanazunguka Ndani ya Mji wa Bakhmut Kwa mbwembwe Hawaoni Jeshi la Ukrein
Saiz wanazunguka kila Kona
Wanauliza Mpowapiii Jamani Mpowapiii Tumekuja Mpo wapiiii
View attachment 2535959
Kipigo kwa kusonga mbele.What will happen after Bakhmut fall
Kuna fix mbele ya Russia?Hii ni habari ya kweli mkuu au fix za twitter?