Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wagner si kampuni ni jeshi la akiba na hawajihusishi na shughuli ambazo SUMA JKT wazifanya kama kutengeneza samani na kufungua maduka ya matrekta na kutoa huduma ya ulinzi.

Wagner wapo chini ya GRU wakati SUMA JKT ni kampuni ilo chini ya JKT.

Pia ni kikosi cha MOD ya Russia yaani de facto unit.

SUMA JKT hutoa mafunzo "limited" ya kawaida kwa vijana wakati Wagner hutoa mafunzo kamili ( kama ya Monduli) na kutumia vifaa kamili vya kijeshi vya jeshi kiasi cha kupewa kazi kama hii ya kuchukua Bakhmut.

Wagner wana akiba ya fedha katika mabenki ya nchi mbalimbali duniani na ndo maana vikwazo vimewekwa wa mizigo imeshikiliwa na Marekani na washirika wake.

Hii ni kwa kifupi tu nina kabrasha zima la kuhusu Wagner ila hapa si pahali pake lakini usinananishe SUMA JKT na Wagner Group.
Sio kweli
Wagner ni kampuni ya ulinzi full stop na sio jeshi la akiba na halipo chini ya GRU.

Wakati Jeshi la Urusi linafanya partial mobilization liliita Reserve

Ila Wagner walivyokuwa wanafanya recruit walichukua wafungwa.

Wagner fighters wao ni Mataifa mbali mbali sio lazima uwe Mrusi au mtu kutoka Russian speaking Countries ila Wagner hadi mbongo, mzambia, Mali, Nigeria wapo.

Kifupi Wagner hata mode of operundum ni tofauti kabisa na Russian military.

Ukiwa Wagner unaweza panda rank mpaka kufikia cheo Cha kamanda kwenye platoon yenu ndani ya muda mfupi ukionyesha ushujaa, akili na kutokuogopa kufikia malengo.

Screenshot_20230303-154540.jpg
 
Ila tulichowafanya hawatasahau.

Hakuna sehemu imeua watu wengi kama hapo
Hahahaa...eti tulichowafanya...Mkuu na ww ulikuwepo nn...!!! acha propaganda...za kitoto bwana hapa waliouwawa wengi ni askari wa Ukrein na ndio maana wameshindwa....!!!...unawezaje shindwa kama umempiga aliekushinda...!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli
Wagner ni kampuni ya ulinzi full stop na sio jeshi la akiba na halipo chini ya GRU.

Wakati Jeshi la Urusi linafanya partial mobilization liliita Reserve

Ila Wagner walivyokuwa wanafanya recruit walichukua wafungwa.

Wagner fighters wao ni Mataifa mbali mbali sio lazima uwe Mrusi au mtu kutoka Russian speaking Countries ila Wagner hadi mbongo, mzambia, Mali, Nigeria wapo.

Kifupi Wagner hata mode of operundum ni tofauti kabisa na Russian military.

Ukiwa Wagner unaweza panda rank mpaka kufikia cheo Cha kamanda kwenye platoon yenu ndani ya muda mfupi ukionyesha ushujaa, akili na kutokuogopa kufikia malengo.

View attachment 2535953
OK
 
[emoji1255][emoji1250]Ukraine has sent 101 tonnes of humanitarian aid to Turkey for families affected by earthquakes, Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba reported.

It was delivered by a Ukrainian An-124 aircraft to the Incirlik airbase.

[emoji328]: Twitter / Dmytro Kuleba
 
[emoji298][emoji298]President Zelensky and the First Lady together with the President of the Republic of Latvia Egils Levits honored the memory of fallen Ukrainian soldiers in Lviv.

[emoji328]: Office of the President of Ukraine
 
[emoji298]️Marie-Agnes Strack-Zimmermann, Head of the Defence Committee in the German Bundestag, has criticised the decisions made by former German Chancellor Angela Merkel made a full-scale Russian attack on Ukraine possible.

“There were many supporters of Ukraine's early admission to NATO in 2008, but Germany and France opposed it,” she said in an interview with German TV channel RTL.,[emoji298]
 
[emoji298][emoji298]In Lviv, President of Ukraine Volodymyr Zelensky and First Lady Olena Zelenska, together with President of Latvia Egils Levits and his wife Andra Levite, honored the memory of Ukrainian warriors fallen during the war.[emoji298][emoji298]
 
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation
(3 March 2023)

◽️In Kupyansk direction, the active operations, conducted by the units of the 'Zapad' Group of Forces, supported artillery, have resulted in the neutralisation of the AFU manpower and hardware near Kurilovka, Pershotravnyovoye, Masutovka (Kharkov region), and Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic).

💥The enemy losses were over 100 Ukrainian servicemen killed and wounded, 1 tank, 3 infantry fighting vehicles, 2 pickup trucks, 1 Akatsia self-propelled howitzer and 1 Grad MLRS vehicle.

◽️In Krasniy Liman direction, the attacks, launched by aviation and artillery of the 'Tsentr' Group of Forces, have resulted in the neutralisation of the enemy units near Torskoye, Yampolovka (Donetsk People's Republic) and Chervonopopovka (Lugansk People's Republic).

💥The enemy losses were over 200 Ukrainian servicemen, 3 infantry fighting vehicles, 8 armoured fighting vehicles, 2 pickup trucks and 1 D-20 howitzer.

◽️In Donetsk direction, the active operations of the 'Yug' Group of Forces, as well as the attacks by air strikes, artillery, and heavy flamethrower systems have resulted in the neutralisation of over 210 AFU servicemen.

💥In addition, 5 armoured fighting vehicles, 3 motor vehicles, 1 Polish-manufactured Krab self-propelled artillery system, 1 Gvozdika self-propelled artillery system, 2 Grad MLRS combat vehicles, 2 D-30 howitzers and 1 D-20 howitzer have been destroyed.

💥1 mobile communications center of the AFU 110th Mechanised Brigade has been destroyed near Avdeyevka (Donetsk People's Republic).

◽️In South Donetsk and Zaporozhye directions, the active operations by Ground-Assault and Army aviation and the artillery of the 'Vostok' Group of Forces have resulted in the neutralisation of the AFU manpower and hardware near Vodyanoye, Privolnoye and Ugledar (Donetsk People's Republic).

💥The enemy loses were over 70 Ukrainian servicemen, 2 tanks, 2 armoured fighting vehicles, 2 pickup trucks, 1 Gvozdika self-propelled artillery system and 1 D-20 howitzer.

◽️In Kherson direction, the enemy losses were up to 60 Ukrainian servicemen, 6 motor vehicles, 1 Gvozdika self-propelled artillery system, Giatsint-B and Msta-B howitzers, as well as 3 D-30 howitzers destroyed.

💥Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 92 AFU artillery units at their firing positions, manpower and military hardware in 212 areas.

💥Fighter Aviation of Russian Aerospace Forces have shot down 1 Su-24 airplane of Ukrainian Air Force near Krasnoarmeysk(Donetsk People's Republic).

💥Air defence facilities have shot down 1 projectile, launched by U.S.-manufactured HIMARS multiple-launch rocket system, and 18 Ukrainian UAVs near Varvarovka, Krasnorechenskoye, Kremennaya, Kuzyomovka, Stelmakhovka, Zhytlovka (Lugansk People's Republic), Yegorovka, Ivanovka, Kirillovka, Nikolskoye (Donetsk People's Republic), Alyoshki, Golaya Pristan, Krynki, Novaya Zburyevka and Chervonopodolye (Kherson region).

📊In total, 394 airplanes, 212 helicopters, 3,313 unmanned aerial vehicles, 407 air defence missile systems, 8,129 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,048 fighting vehicles equipped with MLRS, 4,262 field artillery guns and mortars, as well as 8,680 units of special military vehicles have been destroyed since the beginning of the special military operation.


#source
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
[emoji298]️Ukrainian commanders and American generals conducted counteroffensive military exercises in Germany, The New York Times reported.

In particular, a series of "office" exercises, also called military games, took place. Ukrainian commanders tested several offensive options.[emoji298][emoji298]
Sawa wakimaliza hao wazee wapelekwe haraka Sana.
 
#[emoji298][emoji1255] Ukrainian aircraft An-124 delivered 101 tonnes of humanitarian aid to Turkey's airbase to help earthquake victims.[emoji298][emoji298]
 
Russia itaenda tengeneza defence lines hapo Bakhmut.

Ukraine counter offensive itafuatia muda wowote

Counter Offensive lazima uwe na military resources za kutosha za kuweza ku match your opponent.
Tatizo la Ukraine hana silaha, hana wapiganaji, hana fedha... Yeye anategemea kuomba-omba.
Sasa huwezi shinda war of attrition wa kutegemea silaha za kuomba.
 
[emoji298][emoji298]In an evening address on March 2, President Volodymyr Zelensky said he has presented state awards to over 40,000 Ukrainian defenders thus far.

“As of today, the number of our defenders whose bravery and effectiveness have been recognized with state awards is over 40,000,” he said. “I thank everyone who defends our country!”,[emoji298][emoji298]
 
Jielimishe kabla ya kujaribu matusi kama hangover.
Sehemu zinajulikana. China wanaficha.
Ona Uhindi

Angalau $$15 chini ya bei rasmi iliyotangazwa na West.
ona pia gazeti The Hindu
Hizo taarifa zipo nyingi na zinakinzana!
Soma hapa pia;
 
[emoji298][emoji298]The Institute for the Study of War reported on the Kremlin’s continued reliance on fears of nuclear escalation to deter the provision of Western aid to Ukraine in its latest update on March 2.

The report referenced the meeting between the U.S. Secretary of State Antony Blinken and Russian Foreign Minister Sergei Lavrov at the New Dehli G20 summit that took place earlier in the day[emoji298][emoji298]
 
Alafu et ndio wawaue Wagner ki kipanya44 Tueleze vizuri kwanza huyo mzee naamin hata babu yako hamfikii hahahhahahaha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tulisema hapa kuwa Ukraine anasaka vitoto na wazee na kuwaswaga Frontline Kwa lazima!
Na Kuna snipers kabisa wako Kwa ajili ya kushughulikia wanaokimbia uwanja wa mapambano!
Aibu sana hii,ila huwezi kuona vyombo vya west villireport!
 
Hebufikira Hawa Ndio Wanajeshi wanao Pelekwa Kupamana Na Dubu kama Urusi!!
Yaani hawa Hata kuwaua Unashindwa Sijui uwe na Roho ya namna gani Aisee.
Mzee kama Huyu kweli wakwenda Vitani?
View attachment 2535885





Yaani hawa ndio "Elite Forces" wa Ukraine...

Na mtu kama K rat wa hapa JF anakomaza shingo kila siku eti Vijana wakakamavu wa Zelensky
 
Back
Top Bottom