Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]President Zelensky and the First Lady together with the President of the Republic of Latvia Egils Levits honored the memory of fallen Ukrainian soldiers in Lviv.

[emoji328]: Office of the President of Ukraine
SMO ya Urusi inaniachaga hoi hapo tu,

Jamaa wanapewa nafas ya kufanya matukio bila ya kuwa na mashaka kuwa labda watashambuliwa,
 
Yani Wagner ni wastaarabu sana hivi mfano kile kibabu kinaweza hata kurusha kofi kumpiga kajukuu kake alaf ndio amekua mobilized

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vita si nzuri hata chembe,

Na ndio maana mara zote tunamsihi Zele aachane na USA akae mezan na Dubu wayamalize kwa sabab asilimia kubwa wanaoteseka ni watu wa kipato cha chin.
 
Mkuu Wagner si taasisi. Ni kampuni ya mamluki.
Ziko nyingi za aina hii. MAra nyingi zinashirikiana na serikali mbalimbali zikitumiwa nazo, wakati mwingine wanafanya tu biashara yao.
Katika miaka iliyopita (ukiacha maharamia wa zamani) kampuni ya kwanza ilikuwa WatchGuard International wa Uingereza tangu 1965. Mwanzoni makampuni hayo yalianzishwa Marekani, Israeli, Afrika Kusini na Uingereza.
Wagner alianza 1913, wametuma vikosi Syria, Libya, Ukraine (Donbass) na nchi mbalimbali za Afrika.
Wagner tuliona ugomvi baina yake na jeshi rasmi la Urusi. Si taasisi ya serikali.
Wagner ilianza 1913 au taipin era???
 
Vita si nzuri hata chembe,

Na ndio maana mara zote tunamsihi Zele aachane na USA akae mezan na Dubu wayamalize kwa sabab asilimia kubwa wanaoteseka ni watu wa kipato cha chin.
Yule jamaa sijui ana moyo wa aina gani yani inafikia wakati mpaka mpinzani anakuonea huruma lakini bado anakaza fuvu
Atawaumiza wa Ukrainian na taifa kwa ujumla

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sabotage zinaendelea [emoji16][emoji28][emoji23]

[emoji298][emoji298]Explosions Near Russian Weapons Site Coincide with Zelensky’s Hints of More Long-Range Strikes

Unexplained blasts rattled windows and shredded civilian nerves near the Kremlin research institute that designs Russia’s hypersonic missile; Ukrainian kamikaze drones suspected.

Read more on our website.
 
Yule jamaa sijui ana moyo wa aina gani yani inafikia wakati mpaka mpinzani anakuonea huruma lakini bado anakaza fuvu
Atawaumiza wa Ukrainian na taifa kwa ujumla

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Awaumize mara ngap???

Mamilion ya waukrain ni wakimbiz wanaish makambin misos ya kupanga folen na kila uchwao anamsikia Zele akitoa kaul za kishujaa kwenye vyombo vya habar huku miji inazid kuondoka unadhan hilo haliwaumiz
 
[emoji848][emoji848][emoji848] Hadi huruma

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

IRGC ni pure regular army of Iran.
Ila sasa, IRGC wana special unit inaitwa Quads Forces.
Quads Forces kazi yao ni kulinda influence ya Iran nje ya nchi ya Iran.
Ndio sasa hawa Quads Forces wanamiliki Vikundi kama Hezbollah - Lebanon, Houthi - Yemen, Popular Mobilisation - Iraq etc.

Sasa hivi vikundi, vinakuwa na Military, Financial, Political and Social Agendas.

Naomba nikupe mfano wa Wager Group kwenye Political

Wager Group kwa sasa wamefanikiwa ku reduce influence ya France kwa nchi za Africa. They are pushing away France from Africa in favour of Russia and China.

Mkuu mimi nakupata vilivyo.

Na huo mfano wa mwisho umewaacha wengi na mshangao maana Ufaransa wamechanganyikiwa na Macron leo yupo Luanda Angola.

Mshangao ni kwamba Angola wazungumza kireno na ni koloni la zamani la Ureno.

Imekuwaje Ufaransa ameenda Angola?

Jibu ni njaa ya rasilimali hususan mafuta maana Angola ni nchi ya pili kwa sasa kwa uzalishaji mafuta barani Afrika.
 
Huyu jamaa ndio maana hatusikii tena makelele yake siku hizi [emoji16][emoji28]

[emoji298][emoji298]Ramzan Kadyrov Is Reportedly Gravely Ill With Kidney Problems

According to Kazakh journalist Azamat Maytanov, the chief nephrologist of the UAE has already arrived in Grozny to treat the Head of Chechnya and key Kremlin ally

Read more on our website.[emoji298][emoji298]
 
Huko bakhumut warusi wanazidi kuchinjwa tu [emoji848]

[emoji298][emoji298]Ukrainian Military Claims Russian Forces Suffering Massively Disproportionate Causalities in Bakhmut

According to Ukraine's officials, while the situation in the Bakhmut area remains difficult, the Kyiv's defenders are eliminating hundreds of Russians in this sector every day.

Read more on our website.[emoji298][emoji298]
 
Hizi ndege za super pawer zinapukuchuliwa kama senene lakini hachoki kuzileta [emoji28][emoji23]

[emoji95]A Russian Su-34 fighter-bomber was shot down by Ukrainian anti-aircraft gunners today near Yenakiyevo, Donetsk Region, the Ukrainian Air Force reported.[emoji298][emoji298]
 
Rubani wa urusi kakumbana na mkono wa Sheria kutoka Kwa serikali ya rais zelensiky [emoji116][emoji116]

[emoji298][emoji298]A Ukrainian court has sentenced a Russian pilot who dropped 8 bombs on the Kharkiv TV tower to 12 years in prison. He was shot down and captured, the Security Service of Ukraine reported.[emoji298][emoji298]
 
Huko bakhumut nilijua super pawer
ameshamaliza kazi, kumbe bado tu[emoji23][emoji28][emoji16]

[emoji298]️The commander of the Defense Operation in the East, General Oleksandr Syrsky, has arrived in Bakhmut, Donetsk Region. He spoke to the military about improving defensive capabilities on the front line.

[emoji328]: Telegram / Ukraine's Ground Forces
 
Huko bakhumut warusi wanazidi kuchinjwa tu [emoji848]

[emoji298][emoji298]Ukrainian Military Claims Russian Forces Suffering Massively Disproportionate Causalities in Bakhmut

According to Ukraine's officials, while the situation in the Bakhmut area remains difficult, the Kyiv's defenders are eliminating hundreds of Russians in this sector every day.

Read more on our website.[emoji298][emoji298]
Kijana BAKHMUT ipi hii mlio peleka wazee na vitoto au
Screenshot_20230303-144910.jpg
 
Ninawaletea News pamoja na evidence ya picha

[emoji298]️The commander of the Defense Operation in the East, General Oleksandr Syrsky, has arrived in Bakhmut, Donetsk Region. He spoke to the military about improving defensive capabilities on the front line.

[emoji328]: Telegram / Ukraine's Ground Forces
1677856994920.jpg
 
Back
Top Bottom