Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Kwa Afrika ni nchi chache sana zenye madini ya Graphite zitaweza kufanya hivyo.Je hatuwezi badili mifumo ya magari toka mafuta kwenda gesi?
Ila kwa kukosa teknolojia ya uchimbaji na utengenezaji wa AAM (Anode Active Material) ndo maana juzijuzi Elon Mask na kampuni yake wameingia Tanzania kuchimba madini hayo au kuuziwa na mchimbaji.
Madini haya yapatikana huko makao makuu ya ..... Ruangwa mkoani Lindi.
Nchi za Ulaya na Marekani zimeweka azimio tayari kufikia 2030 magari yote yasitumie mafuta ya dizeli au petroli bali iwe ni mawe maalum yaani Lithium-ion Battery