Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa warusi wasipotafuta amani au kumuondoa Putin mapema,vifo vya wanajeshi wao vinaweza fikia milioni na ushee.....Amakweli warusi hawana tofauti na wanachama wa CCM,anachosema mwenyekiti ndio hichohicho🤣
Aliekwambia warusi wana tabu na hivyo vita ni nani? Ushasikia lini makazi ya urusi yameguswa zaidi ya vidrone kudondokea kwenye viwanda huko.
 
Namshauri raisTshekedi afanye mazungumzo na CEO wa kikundi cha Wagner Group - hao ndio wenye uwezo wa uhakika wa kumaliza migogoro hisiyo isha ya Kivu kaskazini na Kusini - Tshekedi akipuuzia ushauri huu akae akijua kwamba taifa lake linagawanywa kama ilivyotokea huko Sudan ya Kaskazini na Kusini - the so called waasi wa M23 wanakuwa funded na kupewa jeuri na Western Nation wenye vested interest kwenye mali asili ya Congo wakishirikiana na jirani yao anaye wapa silaha na mafunzo ya kijeshi M23 - kwa mfano: jana nilimsikia mmoja wa viongozi wa waasi akizungumza kinyarwanda kabisa!!

Interest za mataifa ya magharibi kuhusu madini imeongezeka kama njia moja wapo ya kupiga vita ujio wa Wachina barani Afrika, baadhi ya viongozi wa Afrika wameshauliwa na Merikani wawafukuze Wachina kutoka kwenye migodi wanayo miliki kihalali - nasikia hata Bill Gates anataka amilikishwe migodi ya madini huko Congo na Zambia - hapo unategemea nini - ina maana hata waasi wa M23 wakitaka Congo igawanywe watakuwa supported na western Nations.
Kama M23 wanapewa support na West jua vita haitakaa iishe Congo.
 
"Orban apendekeza kuunda NATO ya Ulaya bila Marekani. Waziri Mkuu wa Hungary abainisha Nchi za EU zinapaswa kuunda muungano wao wa ulinzi, bila Marekani, kwa kuwa mara nyingi hufuata maslahi ya kibinafsi katika kutatua masuala ya usalama wa kimataifa. Maoni haya yametolewa"
Bora kama wamepata akili sasa waunde NATO huru sio hii nato maslahi ya bwana wao USA
 
[emoji1099]EU countries have agreed on a plan to quickly transfer of scarce artillery ammunition to Ukraine, the Financial Times reported. According to the newspaper, it is now a matter of "days, weeks, not months".[emoji298][emoji298]
 
[emoji298]️German Chancellor Olaf Scholz and US President Joe Biden will hold confidential talks in Washington today about Russia's war in Ukraine, China and other issues amid signs of tensions between the transatlantic partners, Reuters reported.[emoji298]
 
Mkuu ebu chunguza kwa umakini comments za Antony Blinken kisaikolojia zinakupa picha gani - ni wazi tamko la Putin la kusema hataki tena upuuzi wa kusikia tena masuala ya kupunguza au kuelewana na USA kwenye masuala ya silaha za nuclear, anasema kila taifa lifanye lipendalo kulinda usalama wa taifa lake bila ya kilazimika kuruhusu mataalamu wa masuala ya nuclear kutembelea viwanda vya Urusi kuchunguza/inspect kinacho endelea jikoni, na Urusi vile vile haipo interested kuchunguza wala kufahamu silaha za nuclear za USA za miaka ya 1970/80 pamoja na their equally old delivery systems.

Cha kujiuliza hapa kwa nini suddenly USA inakazania kutaka kujua kicho endelea huko Urusi kwenye masuala ya silaha za Nuclear wamesahau kabisa kiburi chao na dharau wakina Trump na Obama walivyokuwa na mbwembwe za kusema hawata heshimu tena makubaliano ya kupunguza silaha za nuclear - yaani wajitoa rasmi kwenye na miaka ya nyuma na hawata renew makubaliano hayotena, walikuwa wsnayasema hayo kwa mbwembwe kweli kweli!!

Kama nilivyo hoji tangu mwanzo USA imeshitukia nini na kuona kumbe kuna umuhimu wa kipekee kuanza kutafuta maelewano na Urusi kwa mlimuona Biden alipo wasili Ukraine aligusia kihusu Putin kususia kuingia makubaliano na USA kupunguza silaha hatarishi, mlimuona vile vile Secretary General wa NATO alivyo kuwa ana panic alipo gusia suala la Putin kukataa kukaa meza moja na Biden kupunguza/ratibu silaha za nuclear - cha kijiuliza hapa kinacho watisha USA na NATO ni nini hasa jibu ni rahisi kinscho watisha maadui wa Russia specifically ni sila nane za kisasa za Urusi ambazo have no parallel around the World ie Dunia nzima hawana save China and North Korea kwa upande wa hypersonic na glide vehicles lakini Warusi wanavyo tajwa hapo juu pamoja na submarine drones laden with 200MT payload each si rahisi kuzi detect zinapiga mbizi kwenye kina kirefu na kusubiri kuoewa command ya ku-attack at fastest speed ikikaribia designated target, wana Sarmat ICBM nayo si rahisi ku-intercept inaweza kuwa launched kupitia aidha north pale au South pole na kwenda kupiga Merikani hapo hatujazungumzia missiles zinazo endeshwa na engines za nuclear zinaweza kuzunguga Dunia kwa miaka mingi bila ya kuhitaji fuel na kushambulia target at any time - silaha za kisasa za Putin ndio zinawatia wasi wasi USA/NATO.

Ndio maana siku hizi wanatafuta kila mbinu kuzungumzia masula ya silaha za Nuclear kwa kumbembeleza Putin kiaina - mara waseme wana uhakika Putin atakuja kwenye meza ya mazungumzo ya kupunguza na ku inspect silaha pande zote mbili - hapo hapo Blinken anatumbukiza tena kwamba USA ita wasaidia wa Ukraine mpaka tone la mwisho la waukraine - akiangalia kwa umakini anayoyazangumza Blinken ni totally incoherent - do inawajua tena wanavyo penda sana kuonekana ni MACHO MEN, we fikiria huku anasema anataka kuwapatia silaha wa Ukraine wawamalize Warusi lakini hapo hapo Blinken/Biden wanataka waelewane na Pitin ili wapinguze silaha za Nuclear na kuondoa hatari ya kuanzisha vita ya nuclear by miscalculation/accident -hii wapi na wapi, kwa nini Blinken azungimzii masuala ya kuleta amani baina ya Ukraine na Russia - bafala yake Biden/Blinken wako busy kupeleka silaha na ulaghai mwingine.
Nina uhakika wakugongwa ka Nuclear kamoja USA hawezi kufurukuta zaidi atalia sana
 
Mpaka sasa wanajeshi 150,000 wa Urusi, vita na ukraine , waelekezwa jongomeo 🤔
...................
Glory to Ukraine! Glory to the Heroes!
🇺🇦

328773348_800713478153940_6811202835220009416_n.jpg
Uzuri ni kuwa SMO iko result oriented bila kujali gharama. 30% ya Ukraine imeshaenda
 
Bakhmut imezingirwa kila pande.

Ukraine kama ilivyo Russia na nchi zingine za ilokuwa URRS zina mahandaki ambayo mengi yalijengwa wakati wa vita kuu ya dunia.

Mahandaki haya yana kila kitu kwa binadamu kuishi humo zaidi ya mwaka, kuna njia, umeme na hata maji.

Hivyo mji wa Bakhmut upo hivyo na ndio sababu wanajeshi wa Ukraine wameweza kuishi humo wakijificha kwa miezi kadhaa.

Russia kwa kutambua uwepo wa mahandaki haya walikuwa wakisubiri muda ufike ili waweze kuyafurumua mahandaki haya kwa mabomu maalum ambayo huweza kupenya hadi huko chini.

Lakini Russia kama walivyofanya kule Mariupol na Zaporizhzhia watataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au wawe tayari kupoteza maisha.

Wagner wamemwambia Zelenksky aamuru wanajeshi wake wajiokoe mapema na wajitokeze kujisamilisha kabla kazi haijanza.
 
Mpole au anajua tafsfiri halisi ya vita? Hapa tu kwa anachokifanya dunia ipo katika hatari ya vita vya dunia. Kinachoendelea sasa sisi kwetu inaweza kuwa ushabiki ila hatari kwa nchi zetu hizi za kumtaka musk afungue kwanza ofisi ndo afunge mitambo ni kubwa sana. Hapa tuombe China asiingie front direct akamwaga petrol kwenye hii sigara iliyotupwa ndani ya nyumba ya nyasi. Busara za viongozi wa nchi kubwa zinaamua fate ya binadamu wengi duniani, lets hope hakuna red line itakayovukwa sababu Tanganyika hatuna hata reserve ya mafuta na petroli. Sijui vyakula vitasafirishwa vipi kutoka huko mashambani kuja mijini.
Je hatuwezi badili mifumo ya magari toka mafuta kwenda gesi?
 

Tutaona! (tusisahau kufuatilia hatma ya utajiri wa gesi..)

Russia could run out of money next year, says oligarch Oleg Deripaska​

Western sanctions are causing serious pressure, with budget deficit forecast to jump
The oligarch Oleg Deripaska has said Russia could run out of money by next year unless the country secures investment from “friendly” countries as western sanctions bite.

Deripaska, an energy and metals tycoon who was once Russia’s richest person, told an investment conference in Siberia on Thursday: “There will be no money already next year. We will need foreign investors.”


Deripaska, who is subject to UK, US and EU sanctions over Russia’s invasion of Ukraine, said funds are running low and “that’s why they’ve [the Russian government] already begun to shake us down”, according to a Bloomberg report.

He said that Russia was suffering from “serious” pressure from western sanctions, and that the country and its businesses would have to look to other countries with “serious resources” to invest.
Waliongea sana kuhusu haya ila mpaka leo Russia ipo na inagawa dozi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom