Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umeandika maelezo mengi, lakini kitu kimoja tu naweza kukueleza, suala la Urusi kujitoa kwenye mkataba wa silaha za nyukria,hiyo inamaanisha uwoga alionao, maana ni ukweli ulio wazi kwamba urusi bila silaha za nyukria ni mwepesi kama pamba, ndio maana mnaambiwa siku zote kwamba urusi anaitaji silaha za nyukria Ili kumpinga marekani, lakini marekani Hana haja ya silaha za nyukria akitaka kumpiga urusi, of course aliyekuzidi akili kakuzidi tu, urusi hata akijitutumua na masiraha yake ya nyukria sidhani kwamba hiyo itamsaidia kumtiisha marekani Ili apige magoti kwake, marekani akili kubwa
Mkuu hebu tueleweshane kidogo.
Kati ya vita zote alizopigana Mrusi ni ipi aliyotumia nyuklia kushinda?
Je wakati mrusi anashindwa vita baridi mpaka USSR kumegeka hakuwa na silaha za nyuklia ambazo zingemsaidia kushinda hiyo vita?
N.B Silaha za nyuklia siyo kila kitu unaweza kuwa nazo na bado ukachapika vizuri sana mfano mzuri ni Urusi pale Afghanistan, USA pale Afghanistan, USA pale Vietnam n.k
 
Siri zimeanza kifichuka

In Ukraine, a lieutenant colonel of the SBU was detained for "denying the facts of the shelling of the Zaporozhye nuclear power plant by the troops of the Russian
Federation" (they admitted that Ukraine shelled the ZNPP), the Ukrainian Prosecutor General's Office reports.

The lieutenant colonel also called the 2022 missile attack on a maternity hospital in Mariupol "staged."

Now she is accused of violating the oath and "justifying the actions of the Russian Federation," as the Prosecutor General's Office points out.

@sputniklive
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Mambo si hayo
⚡BREAKING!

A huge number of units of the Armed Forces of Ukraine have been "withdrawn" from Bakhmut. There are many seriously wounded and dead, and the hospitals are overcrowded.

Assault units of the PMC "Wagner" press the enemy every day more and more.

— Archangel Spetsnaz

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
[emoji631]The United States is preparing to announce a new security assistance package for Ukraine today, which will include mainly ammunition for the systems used by the Ukrainian Armed Forces, The Washington Post reported, citing US National Security Council Coordinator John Kirby.[emoji298][emoji298]
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji1255][emoji123]



[emoji298][emoji298]From February 24, 2022 to March 3, 2023, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 151,370 russian military personnel, including 765 soldiers over the past day.[emoji298]
 
Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]


[emoji298][emoji298] The United States is preparing to announce a new security assistance package to Ukraine on Friday, which will include mostly ammunition for the systems in service with the Armed Forces of Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji91][emoji91]



#[emoji298][emoji298]Over the past day, the Air Force of the Armed Forces of Ukraine launched 13 strikes on russian troops' buildup areas. Our defenders also shot down an enemy Su-25 attack aircraft, a Mi-24 helicopter, and seven drones.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]The Minister of Energy of #Ukraine, German #Galushchenko, held a meeting with the U.S. Energy Secretary Jennifer #Granholm as part of the meeting of the Partnership for Transatlantic Energy and Climate Cooperation in Zagreb.[emoji298][emoji298]
 
Y prigozhin mkuu wa kikosi cha Wagner Group amenukuliwa akisema kwenye video inayosambaa sana mitandaoni " nashangaa kuona tunapambana na vijana wadogo na wazee kwenye mstari wa mbele, huko nyuma tulikua tukipambana na wanajeshi wenye mafunzo. Rais Zelensky wape nafasi nyingine ya kuishi kwa kuwarusu waondoke hapa Bakhmut."

Kwenye video ile wanaonekana vijana na wazee wanatetemeka kwa uoga sana. Pale Bakhmut hali sio nzuri, Ukraine ni lazima wapambane sana au wakimbie wenyewe.

Sasa naanz kuamini maneno ya Putin kua ni ngumu sana kuishinda urusi kwenye field ya kupigana. Pale Bakhmut kila njia imefanyika kutoka west uli Ukraine isianguke, lakini wanajeshi wa kikos binafsi wanatoa kipigo kizito sana.

Sasa west na Ukraine watawaza mara mbili, waendelee na vita au waweze kusalenda.
 
Back
Top Bottom