Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

I see waukrein wanakufa kama kumbikumbi hadi huruma loh .
View attachment 2539789
[emoji725][emoji725][emoji635][emoji3538][emoji1255][emoji3517]"Wagner" showed new demilitarisation/denazification in Bakhmut direction.

On the video there is appeal from "Wagner":

"The Gods of war from the ranks of the Wagner PMCs covered the positions of Ukrainian militants in the Bakhmut direction.

These guys[Wagner] deserve ammo!"
Daaah

Noma sana aiseeee.
 
West wanawakati mbaya sana kihistoria imagine hata rais wa ufaransa .. macron....anapingwa wazi wazi na waandamanaji waafrika


Hii haijawahi tokea kwa hawa viongozi ma Giant[emoji23]
Waafrica wengi wanazidi kujielewa wameshajua west wako Africa kwa ajili ya maslahi yao.

20230307_064825.jpg
 
Mkuu wa jeshi la kibinafsi la Urusi la Wagner amesema kuwa hawapati silaha wanazozihitaji kutoka Moscow, kwa vile inalenga kupata udhibiti wa Bakhmut.

Wanajeshi wa Urusi - kutoka kwa Wagner na vikosi vya kawaida vya Urusi - wanajaribu kuuteka mji wa mashariki kutoka Ukraine.

Lakini mkuu wa Wagner Yevgeny Prigozhin amelalamikia ukosefu wa risasi, akisema inaweza kuwa "urasimu wa kawaida au usaliti".

Mahusiano kati ya Wagner na Moscow yanazidi kuwa ya wasiwasi.

Kundi la Wagner lina maelfu ya wapiganaji nchini Ukraine - baadhi yao wakisajiliwa moja kwa moja kutoka magereza ya Urusi - na wamekuwa sehemu muhimu ya uvamizi wa Moscow.

Katika chapisho hilo Jumapili, Bw Prigozhin alisema hati zilitiwa saini tarehe 22 Februari, huku risasi zikitarajiwa kutumwa Bakhmut siku inayofuata.

Lakini nyingi hazijasafirishwa, alisema, kabla ya kupendekeza inaweza kuwa hatua ya makusudi.

Katika video iliyochapishwa Jumamosi - lakini inayoonekana kurekodiwa mwezi Februari - Bw Prigozhin alisema watu wake wanahofia kwamba "wanatatumiwa" kama mbuzi wa kuadhibiwa ikiwa Urusi itashindwa katika vita vyake nchini Ukraine.

"Ikiwa tutarudi nyuma, basi tutaingia katika historia ya milele kama watu ambao walichukua hatua kuu ya kushindwa vitani," alisema.

Chanzo: BBC Swahili (6 March, 2023)

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Propaganda ya kijinga sana hii. Mji ambao umepiganiwa kufa na kupona alafu Russia waje walete uzembe katika kuudhibiti. Mleta uzi hicho kitu kinakuingia akilini?
 
Ni kiswahili cha Google.
Kaja kupigania Legacy ya mashoga.

Hiyo ndio tafsiri kamili.
Ni mfuasi, kaja kwa kazi maalum, anajifanya kushauri kwamba Africa tukiachana na viongozi mafisadi tutafika mbali.

Wakati huohuo, wao (West) ndio wafadhili wakubwa wa machafuko kwa nchi zinazoongozwa na viongozi waadilifu na wasiopenda ufisadi.

Anajikosha tu ili aonekane sio mlowezi.
Ni Punga kama mapunga mengine ya West.
MiNato kweli nyie.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hayo ni mawazo yako yaliyoshindwa ni kutoa hoja madhubuti dhidi yake.

Ushoga nchini kwako hauko??

Jee kuna siku nchini kwako umeukemea Ushoga? ?

Mbona mnapenda kujitajia maneno hayo pale mnapokuwa na mawazo tofauti na mwenzako?

Anaekuwa pro Urusi au pro Nato utofauti wenu ni upi kwenye kujenga hoja.


Huyu mzee alijirikodi na kujifanya hivyo na ni kiongozi kwenye jeshi sasa ingekuwa ni wa Nato si mngetukana.

Hebu jadilini hoja badala ya vioja.

Screenshot_2023-02-28-12-45-30.jpg
IMG_20230228_124547.jpg
 
Yaani Wagner PMC wanawabonda wanamgambo wa Ukraine halafu wakimaliza kuwabonda.... wanasema "Sasa hivi tumeishiwa silaha"

Wa Ukraine wanajileta tena, wanabindwa na maeneo yanachukuliwa.

Halafu Wagner PMC wanasema tena, Silaha zimeisha, njooni tumeishiwa silaha.

Wakija, kipondo tena...
 
Yaani Wagner PMC wanawabonda wanamgambo wa Ukraine halafu wakimaliza kuwabonda.... wanasema "Sasa hivi tumeishiwa silaha"

Wa Ukraine wanajileta tena, wanabindwa na maeneo yanachukuliwa.

Halafu Wagner PMC wanasema tena, Silaha zimeisha, njooni tumeishiwa silaha.

Wakija, kipondo tena...
Mbinu ya kujifanya huna hela Ila matumizi Sasa mpka watu wenye hela wanashangaa.
 
[emoji1255] Donetsk nine years ago.

On March 5, 2014, around 10,000 citizens gathered in the central square to support the unity of Ukraine. These people wanted Donetsk to remain the prosperous and peaceful city, as it was before 2014. They chanted: Donetsk is Ukraine! Glory to Ukraine!

Then individuals, funded by Russia, attacked the rally. Very soon the occupation and war began.

[emoji328]: Anton Skyba, Serhiy Vaganov, Tetiana Durneva
 
Back
Top Bottom