Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Cauldron in Bakhumt tayari. Jamaa washawekwa kwenye chungu sasa ni kupikwa tuu. Wataruka ruka mpaka waive lakini hawawezi kutoka tena
Hawa wanapita wapi Ili kufika bakhumut [emoji23][emoji28].., ndoto za alinacha hizi[emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298]️The Commander of the Defense Operation in the East Oleksandr Syrsky, visited Ukrainian military positions in Bakhmut again yesterday. Fighting for the city has reached its highest level of tension, the Military Media Center reported.[emoji298][emoji298]
 
[emoji1151]The Lithuanian government is preparing a new aid package for Ukraine, Lithuanian Defence Minister Arvydas Anušauskas reported.[emoji298]
 
Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28][emoji2]



[emoji298][emoji298]Head of Ukraine’s Secretive Special Operations Visits Bakhmut, Vows Full Support to Elite Forces

Brigadier General Viktor Khorenko assessed the situation personally to coordinate the best possible support for SOF teams on the ground.

Read more on our website.[emoji298]
 
FqjCyzAaAAAS-1e

Kumbe haiko City center. Nyumba kubwa bado. Pole kwao wote waliomo. Tutaona itaendeleaje.
Ndio nini haiko?
 
I see waukrein wanakufa kama kumbikumbi hadi huruma loh .

🔞🔞🇷🇺⚔️🇺🇦☠️"Wagner" showed new demilitarisation/denazification in Bakhmut direction.

On the video there is appeal from "Wagner":

"The Gods of war from the ranks of the Wagner PMCs covered the positions of Ukrainian militants in the Bakhmut direction.

These guys[Wagner] deserve ammo!"
 
Fashisti Putin anazidi kukumbana na visiki huko bakhumut [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]




[emoji779]️Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhnyi and Commander of the Defense Operation in the East Oleksandr Syrsky support the continuation of the defense of Bakhmut, the Presidential Office reported following Supreme Commander-in-Chief's Staff meeting.
 
Super pawer wa kwenye makaratasi anazidi kuishiwa [emoji2][emoji28][emoji1787]



[emoji298]️Russia delays purchase of ballistic missiles from Iran due to fears that the US and allies will transfer long-range ATACMS missiles to Ukraine, the Financial Times reported.
 
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]


[emoji298][emoji298]#Ukraine exported 6.9 million tonnes of agricultural products in February 2023, or 14% more than in January 2023.[emoji298][emoji298]
 
Hahahah huenda labda mbinu hii ikawasaidia maana kivita wamemshindwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Kivita Ukraine iko katika hali ngumu sana, ukiachana na propaganda zao za kutoa taarifa feki, ila hii SMO imeshawalemea sana kwa sasa.

Nilikua napitia article ya pro Ukraine, The kyiv independent ya jana tarehe 5 march 2023, reporter alikua anahojiana na Ukrainian infantrymen. Jamaa waliongea mengi jinsi gani wanaletewa watu ambao wako poor trained, ndio hawa wanaofanyiwa mobilization na wanapewa mafunzo kwa wiki 2 then wanapelekwa vitani.

Jamaa anasema wanaomba support ya ammo wanaambiwa zinakuja baada ya nusu saa au saa 1 ila wanakaa mpaka masaa 7 bila support.

Jamaa anakwambia ammo zinapokuja basi zinakuja za zamani enzi ya WW 2, ambazo kumlenga adui inakua ni "muujiza"

Wajamaa wamefunguka mengi ukiangalia yote wanayoongea ndio yaliyoko front, demilitarization Putin aliyoongea kweli ishatimia jamaa wameishiwa silaha wanategemea za misaada nazo haziji kwa wakati.



20230306_180735.jpg
20230306_214618.jpg
20230306_180640.jpg
 
Nduli Putin na mafashist wenzake lazima wafurushwe tu hakuna namna [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1787][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]




[emoji298][emoji298]At the #Zaporizhia Nuclear Power Plant, seized by Russian forces a year ago, the invaders are assessing possible withdrawal scenarios, marking the equipment that can be removed from the Ukrainian facility, which is Europe’s largest NPP.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]investigators have identified three members of the Russian military who were allegedly involved in the shooting of Ukrainian civilians trying to escape Irpin in March 2022, according to Ivan Dulkai, senior investigator from the Main Investigative Department of the National Police.[emoji298][emoji298]
1667715208490.jpg
 
Kivita Ukraine iko katika hali ngumu sana, ukiachana na propaganda zao za kutoa taarifa feki, ila hii SMO imeshawalemea sana kwa sasa.

Nilikua napitia article ya pro Ukraine, The kyiv independent ya jana tarehe 5 march 2023, reporter alikua anahojiana na Ukrainian infantrymen. Jamaa waliongea mengi jinsi gani wanaletewa watu ambao wako poor trained, ndii hawa wanaofanyiwa mobilization na wanapewa mafunzo kwa wiki 2 then wanapelekwa vitani.

Jamaa anasema wanaomba support ya ammo wanaambiwa zinakuua baada ya nusu saa au saa 1 ila wanakaa mpaka masaa 7 bila support.

Jamaa anakwambia ammo zinapokuja basi zinakuja za zamani enzi ya WW 2, ambazo kumlenga adui inakua ni "muujiza"

Wajamaa wamefunguka mengi ukiangalia yote wanayoongea ndio yaliyoko front, demilitarization Putin aliyoongea kweli ishatimia jamaa wameishiwa silaha wanategemea za misaada nazo haziji kwa wakati.



View attachment 2539787View attachment 2539788View attachment 2539790
Hakuna namna

Suluhu pekee ni maongez tu
 
Mafashist kama Putin utawatambua tu Kwa matendo Yao[emoji116][emoji116]


[emoji298][emoji298]Belarusian dictator Alexander Lukashenko's government has sentenced opposition leader Sviatlana Tsikhanouskaya in absentia to 15 years in prison.

The Belarusian state media, which is under the control of Lukashenko's regime, stated that Tsikhanouskaya was guilty of aiming to seize state power in an "unconstitutional way," creating an "extremist formation", and "harming" the national security of Belarus[emoji298][emoji298]
 
Wao viongozi wa bara la Asia tena? Kwa maana China, Taiwan, Korea zote ni makoloni yao?

Hawa jamaa wanajiona nani kwani katika hii dunia? Wao ndo wapangie kila mtu namna ya maisha miaka yote tu... Hili lazma likomeshwe rasmi na wa kuchukua hatua ni China, North Korea na Urusi. Hawa ndio wana uwezo wa kubadili upepo wakidhamiria.
Hawa jamaa ni tatizo Kwa dunia wanatakiwa kuchapika na kuhakikisha wanaporomoka kwenye kila kitu ndiyo dunia itatulia
 
Mpaka Sasa fashisti anayejiita Putin hajui nanma ya kujinasua na huu mtego aliouingia [emoji1787][emoji28][emoji2][emoji16]
1669641147676.jpg
 
Mkuu unaishi sayari tofauti? Hujajibu kimakini nilipouliza unapenda Urusi kupiga Marekani kijeshi au kiuchumi.
Uwezo wa Urusi kushindana na Marekani kijeshi haupo. Kwa silaha za nyuklia ndiyo, ila hii siiti kijeshi kwa sababu baadaye hakuna Urusi wala Marekani. Kwa hiyo hakuna anayeitaka pande zote.
Kushindana kiuchumi? Wapi???
Jeshi la Urusi lilihofiwa hadi Februari 2022. Baadaye uwezo wake ulikuwa hadharani.

Urusi ilikuwa na nafasi kupunguza athira ya Marekani kwa kushirikiana na nchi za Ulaya. Ilifanya hatua kadhaa mwanzoni, lakini sasa imeharibu yote.

Naona bado kwamba uchumi wake utaendelea kuporomoka na kurudi nyuma. Labda itapata nafasi kuwa sheli ya China na mdogo wake kwa miaka ijayo.
Tuone.
Wewe sio mswahili.Uliandika hii kwa Kingereza halafu ukatumia App kutafsiri.Anyway karibu JF Umshana.
 
Back
Top Bottom