hii dhana ya kulinganisha badget...haina mantiki kabisa...,kwa uwezo wangu mdogo wa kuona..nadhani ukubwa wa budget ya US unatokana na mambo mengi...moja wapo ni kuhudumia Military Bases zaidi ya 700(kama sijakosea) zilizotapaa duniani kote..., hii point moja tu inabeba dhana nzima ya ukubwa wa hiyo budget,,, kingine ni ktk kutafuta ushawishi wa kijeshi duniani..Marekani anatumia fedha nyingi sana kutoa misaada ya kijeshi kwa Washirika ili aendelee kushikilia uongozi...,Marekani pia anatumia hela nyingi sana ktk kufadhili vikundi vya kigaidi....machafuko yote tunayoyaona Duniani kwa asilimia kubwa yana mkono wa Marekani..., to some up the story ni kuwa hiyo bajeti kubwa tunayoiona ya Marekani haiendi yote jeshini (kwa maana ya Military Personel Trainnings, New Tech Research, Production ya Equips, Intelligency, and so forth..)....huge part of it inaenda kwenye hizo angle nilizotaja hapo juu..
Narudia tena .
Convetionaly US hawezi jaribu kusimama na Russia...unapoongelea silaha...hv ni vita ipi Marekani amepigana unayoweza kuifananisha na hii ya Russia vs. Ukrein...?..may be Vietnam war..ambayo Vietnamese walisaidiwa na Soviet....na Marekani alibondwa mbaya yaani..hata hivyo Vietnam War is not comparable na hii SMO...kataa kubali West yote wapo hapo Ukrein ... wanatoa Silaha za kila aina..kubwa na ndogo..tunazotajiwa na nyingi ambazo hatutajiwi zote zinaenda hapo Ukrein kupambana na Russia...Mashirika yote makubwa ya Intelijensia duniani...tunayo yafahamu na mengine ya siri...yapo hapo Ukrein...lakini pamoja na yote Russia anawakimbiza.... na la kushangaza sana hapa 80% of the Russian Army ( kwa maana ya vifaa, silaha na Wanajeshi) hawashiriki hii vita... sasa hebu niambie ... Marekani ana nn cha ziada anachoweza kufanya kumpiga Mrusi..., nafahamu Marekani atakuwa na silaha ambazo mm na ww hatuzijui wala kuwahi kuzisikia...lakini sio Marekani tu hata Urusi anazo silaha nyingi ambazo hajazitumia kwenye hii SMO...
namalizia kwa kukusisitizia...hakuna kitu kinamuumiza US kama hii SMO... anadhalilika mnoooo!... Mataifa kibao yameshamuona ni wa kawaida na yy ana mbabe wake...angekuwa na a slightly chance ya kusimama na kumdefeat Russia ...asingepoteza muda...!!!
Sent from my SM-A217F using
JamiiForums mobile app