Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BBC katika ubora wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].alafu utasikia baadae wanakuja tena kukwambia WARUSI WANATUMIA SILAHA NZITO
Screenshot_20230306-093327_Chrome.jpg
 
BBC katika ubora wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].alafu utasikia baadae wanakuja tena kukwambia WARUSI WANATUMIA SILAHA NZITOView attachment 2538965
Sasa hawa wamagharibi wana taka kutupanda kichwani kwa propaganda za kifala sasa mtu mwenye koleo atapiganaje na mtu mwenye bunduki?
Au mm ndo sijaelewa?
 
Umeona wapi mtu aliyeishiwa silaha akawa anazidi tu kusonga mbel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Iyo itakuwa sio vita ninayoijua mimi
Mkuu, je unafikiri habari ni uwongo?

Kwa bahati mbaya sikupata video yake moka kwa moja. Tovuti hiyo ina maelezo ya propaganda kwa Kiingereza. Nadhani wako wengine wanaofikia Telegram ya Wagner. Sijui kama wanapenda kusaidia kama habari ni hasi kwa Urusi??
Ushabiki ni tabia ngumu..
 
Shida yako unazani kuheshimu uwezo wa opponent ni zambi. Mbona Russia imemwacha tu Zelensky pale alipo akiendelea kuropoka tu ilihali Russia inaweza kumuua mda wowote. Figure kubwa hivyo kirahisi tu? kwa nini sasa front line munapigwa tu?
Wamuue mda wowote?tanzania sisi jamani sijui nani katuroga haki,russia alimtafuta yule rais miaka mingi sana ili aweke kibaraka wake ila ilishindikana,usiichukulie Ukraine poa wewe
 
[emoji298]️WEEKEND HIGHLIGHTS:

• EU Parliament President Roberta Metsola arrived in Ukraine. Ukrainian Parliamentary speaker Ruslan Stefanchuk discussed with Metsola Ukraine's path to full membership in the EU.

• Agreement to establish an International Center for the Prosecution of Crimes of Russian Aggression to be signed in Lviv, according to the European Commission website.

• The Ukrainian Prosecutor's Office is investigating 171 cases of sexual abuse of Ukrainian women by the Russian military, Olena Zelenska said during a panel discussion at a conference in Lviv.

• The Cabinet of Ministers of Ukraine has approved the State Anti-Corruption Programme, which contains measures aimed at improving the effectiveness of the corruption prevention system, Prime Minister Denys Shmygal said.

• German arms concern Rheinmetall is negotiating the construction of a tank factory in Ukraine, Der Spiegel reported, citing the company's CEO Armin Papperger.

• The UK will provide Ukraine with twice as many Challenger 2 tanks as originally promised, now expected to be 28, Ukraine's Ambassador to the UK, Vadym Prystaiko, said in an interview with Radio Liberty.

• Two Ukrainian pilots arrived in the USA to fly fighter simulators. The program will determine how much time is needed to train our pilots to fly various fighter jets, including the F-16, CNN reported.

• Russian occupiers attacked Nikopol, Dnipropetrovsk Region, killing two people, Serhii Lysak, Head of Dnipropetrovsk RMA reported.

• Work on clearing the rubble at the site of a residential building destroyed by a Russian missile strike in Zaporizhzhia has been completed. 13 people were killed. Among them was an 8-month-old girl who died together with her family, the State Emergencies Service reported.

• On March 5, Russians attacked the village of Ponyativka in Kherson Region with mortars. A woman and two children were killed as a result of the shelling, the Head of the President's Office, Andriy Yermak reported.

• On March 5, Russian troops shelled Kupyansk and the village of Budarky, Kharkiv Region. Three people were killed, Regional Governor Oleh Sinehubov said.

• Major General Kyrylo Budanov, Chief of Ukraine's Defence Intelligence, believes that Russia will run out of "military tools" to achieve its goals in the war in Ukraine by the end of this spring. He said this in an interview with USA Today.

• Over 200,000 Russian soldiers and more than 1,800 officers have been either killed or wounded since Russia's full-scale invasion of Ukraine, Der Spiegel reported, citing the Supreme Allied Commander Europe, Christopher Cavoli.[emoji298][emoji298]
 
Wao viongozi wa bara la Asia tena? Kwa maana China, Taiwan, Korea zote ni makoloni yao?

Hawa jamaa wanajiona nani kwani katika hii dunia? Wao ndo wapangie kila mtu namna ya maisha miaka yote tu... Hili lazma likomeshwe rasmi na wa kuchukua hatua ni China, North Korea na Urusi. Hawa ndio wana uwezo wa kubadili upepo wakidhamiria.
 
Mzunguko mpya unakaribia kwenye mji wa Adveevka.msije mkasema sikuwambia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2538951

Ukraine si wamekuwa wanapata satellite coverage kutoka kwa NATO + Starlink.
Sasa inakuwaje wao kila siku tu wanafanyiwa encirclement?

Au satellite hazifanyi kazi tena?
 
Na alivyo huyu hawez kuwaita wegner maana kenya wana askari pale na unajua kenya anasurport ukrain
Hasifanye mchezo na watu hawa, akumbuke kilicho mpata Kabila Sr alipo tofautiana na mshirika wake wa vita vya kumuondoa madarakani Mobutu - Tshekedi anaitaji ulinzi mkali/madhubuti 24X7 kwani hata akikodi majeshi/walinzi kutoka nje mfano Wagner Group ambao wanasifika sana kwa kazi zao zilizo tukuka, kwani tatizoliko wapi -
hii dhana ya kulinganisha badget...haina mantiki kabisa...,kwa uwezo wangu mdogo wa kuona..nadhani ukubwa wa budget ya US unatokana na mambo mengi...moja wapo ni kuhudumia Military Bases zaidi ya 700(kama sijakosea) zilizotapaa duniani kote..., hii point moja tu inabeba dhana nzima ya ukubwa wa hiyo budget,,, kingine ni ktk kutafuta ushawishi wa kijeshi duniani..Marekani anatumia fedha nyingi sana kutoa misaada ya kijeshi kwa Washirika ili aendelee kushikilia uongozi...,Marekani pia anatumia hela nyingi sana ktk kufadhili vikundi vya kigaidi....machafuko yote tunayoyaona Duniani kwa asilimia kubwa yana mkono wa Marekani..., to some up the story ni kuwa hiyo bajeti kubwa tunayoiona ya Marekani haiendi yote jeshini (kwa maana ya Military Personel Trainnings, New Tech Research, Production ya Equips, Intelligency, and so forth..)....huge part of it inaenda kwenye hizo angle nilizotaja hapo juu..
Narudia tena .
Convetionaly US hawezi jaribu kusimama na Russia...unapoongelea silaha...hv ni vita ipi Marekani amepigana unayoweza kuifananisha na hii ya Russia vs. Ukrein...?..may be Vietnam war..ambayo Vietnamese walisaidiwa na Soviet....na Marekani alibondwa mbaya yaani..hata hivyo Vietnam War is not comparable na hii SMO...kataa kubali West yote wapo hapo Ukrein ... wanatoa Silaha za kila aina..kubwa na ndogo..tunazotajiwa na nyingi ambazo hatutajiwi zote zinaenda hapo Ukrein kupambana na Russia...Mashirika yote makubwa ya Intelijensia duniani...tunayo yafahamu na mengine ya siri...yapo hapo Ukrein...lakini pamoja na yote Russia anawakimbiza.... na la kushangaza sana hapa 80% of the Russian Army ( kwa maana ya vifaa, silaha na Wanajeshi) hawashiriki hii vita... sasa hebu niambie ... Marekani ana nn cha ziada anachoweza kufanya kumpiga Mrusi..., nafahamu Marekani atakuwa na silaha ambazo mm na ww hatuzijui wala kuwahi kuzisikia...lakini sio Marekani tu hata Urusi anazo silaha nyingi ambazo hajazitumia kwenye hii SMO...

namalizia kwa kukusisitizia...hakuna kitu kinamuumiza US kama hii SMO... anadhalilika mnoooo!... Mataifa kibao yameshamuona ni wa kawaida na yy ana mbabe wake...angekuwa na a slightly chance ya kusimama na kumdefeat Russia ...asingepoteza muda...!!!


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Sijui nikupongeze vipi mkuu, wewe ndiye umemaliza kila kitu - barikiwa sana.
 
Germany’s Bild: There was a conflict between Zelensky and Zaluzhny because of Bakhmut. Zaluzhny had been warning about Bakhmut's encirclement for a long time, but Zelensky's office refused to withdraw troops.View attachment 2539056
Mnacho sahau Zelensky is a clown by profession, hivi kweli unategemea nini kutoka kwa kiongozi ambaye hajawahi kushika hata G3 kwenye maisha yake yote - yeye anacho sikiliza ni amri kutoka kwa Biden na majenerali wa US military basi, mambo mengine si secondary kwake - we fikiria tangu vita ianze Ukraine imekwisha poteza wanajeshi na majeruhi karibu 600,000 kufatia habari za siri kutoka kikundi cha kijasusi cha Israel Mossad pamoja na intelijensia ya Ujerumani.

Zelensky hana UTU hata kidogo na ni mkatiri by default, we fikiria anawalazimisha vijana wadogo na wazee kwenda front line wakawe meat grinder wa silaha za Urusi na wanakufa kweli kweli, cha ajabu yeye kwake hata Waukraine wote wakifa katika vita hii yeye anaona sawa tu mradi awafurahishe mabeberu wanao mpatia fedha na silaha ili wapambane na Urusi wakati Zelensky na NATO wakijua fika kwamba uwezekano wa jeshi na mamluki wa Ukraine kushinda jeshi la Urusi haupo kabisa.

Zelensky akisha ona mambo yameanza kuwa magumu kwake atakacho fanya yeye na familia yake ni kusepa kwa kukimbilia kwenye Mansion yake huko Miami Florida, after all is already stinking rich kutokana na fedha za ongo na ku-smuggle baadhi ya silaha za misaada kwenda kuziuza kwa vikundi vya kigaidi huko Arabuni na kwingineko, jamaa hafahi kabisa hata sijui Waukraine Military Generals na raia wanamvumilia vipi?
 
Back
Top Bottom