Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu mpango wa kumkomesha jahiri huyu upo sana we sema wahusika wakuu hawajitangazi moja kwa moja, lakini you can read between the lines kauli zao wanapokuwa kwenye vikao vya kimataifa au makongomano, one could easily tell kwamba kinacho subiliwa ni opportune time ya ku-spring up kipigo kitakatifu kwake kutoka kwa mataifa makubwa yenye nguvu za kijeshi yanayo keleka na tabia za US kufanya mataifa yasielewana/uchonganishi na kuchochoe vita ambavyo yeye hataki kuhusika moja kwa moja badala yake anayatumia/watumia viongozi wa mataifa ambayo yako radhi kupigana a proxy war on US behalf dhidi ya maadui wake eg Russia,Uchina na Korea Kaskazini, Syria na Iran.

Sina shaka hata yeye amekwisha gutuka kwamba bila shaka kuna mpango wa kumkomesha once and for all, ndio maana ana angahika sana kiyavuruga mataifa yasiyo kubaliana nae mara akimbilie far east kuwavuruga mataifa yanayo pakana na Uchina na Korea Kasikazini ili wasielewane na Uchina anataka kuanzisha vile vile kitu kama NATO upande wa Pacific akishirikiana na UK, Australia nafikiri na Japan, anayafanya hayo baada ya kuvuruga mataifa ya Ulaya kiuchumi na ajila, baadhi ya viwanda kufungwa kwa kukosa nishati ya kuaminika yote hayo eti anataka kumkomesha Mrusi, wakati wanao pata taabu ni mataifa ya Ulaya na sio Urusi - anatapa tapa tu na vurugu zake zisizo kuwa na kichwa wala miguu.
Sasa ubaya hata hao anaowategemea hawana mpango nae sana.
 
Channel ya Ukraine wamekubali ukweli kuhusu mziki mzito wa Russia
Слухи
Our source reports that the Armed Forces of Ukraine faced huge difficulties due to warming weather in Donbas.
Due to the fact that the exit was delayed, a lot of personal vehicles of the units were partially lost (these are jeeps and trucks), only the caterpillars are still passing through.

Rains are expected this week in the Bakhmut area, and if the Russian Armed Forces advance a couple of kilometers to the last lines, this may lead to the fact that it will not be possible to withdraw the rest of the equipment.
According to our data, the most expensive equipment and equipment was withdrawn.
A conference call on Bakhmut takes place daily, Zelensky is trying to keep the city to the last, even now, when everyone says that this threatens to encircle the Armed Forces of Ukraine.
 
Kazi inaendelea
MoD Russia:
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (6 March 2023)

📄 Part I (read Part II)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 In Kupyansk direction,
the attacks, launched by Ground-Attack and Army aviation, as well as the artillery of the 'Zapad' Group of Forces, have resulted in the neutralisation of the enemy units near Timkovka (Kharkov region), and Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic).

◽️ Up to 45 Ukrainian personnel, 2 armoured fighting vehicles, and 3 pickups have been eliminated.

💥 In Krasny Liman direction, the active action of the 'Tsentr' Group of Forces and artillery operation have resulted in the neutralisation of the enemy manpower and hardware near Yampolovka (Donetsk People's Republic), and Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic).

◽️ The enemy has lost over 160 personnel, 1 tank, 3 infantry fighting vehicles, 5 armoured fighting vehicles, 3 motor vehicles, and 1 fighting vehicle equipped with Grad multiple-launch rocket system (MLRS).

💥 In Donetsk direction, the active action of the 'Yug' Group of Forces and artillery operation have resulted in the elimination of up to 225 Ukrainian personnel, 5 infantry fighting vehicles, 9 armoured fighting vehicles, 5 pickups, 4 motor vehicles, 1 Uragan MLRS, and 1 D-30 howitzer.

◽️ 1 ordnance depot of 55th Artillery Brigade of the Armed Forces of Ukraine (AFU), and 1 U.S.-manufactured AN/TPQ-37 counterbattery warfare radar have been destroyed near Dachnoye and Chasov Yar (Donetsk People's Republic) respectively.

💥 In South Donetsk and Zaporozhye directions, the artillery of the 'Vostok' Group of Forces has neutralised the AFU units near Ugledar, Prechistovka, and Novosyolka (Donetsk People's Republic).

◽️ Up to 65 personnel, 2 armoured fighting vehicles, 2 pickups, as well as the fighting vehicles equipped with Uragan and Grad MLRS have been eliminated.

💥 In Kherson direction, the artillery operation has resulted in the destruction of 3 armoured fighting vehicles, 8 motor vehicles, and 1 Akatsiya self-propelled howitzer.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (6 March 2023)

📄 Part II (read Part I)

✈️💥 Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have neutralised 86 AFU artillery units at their firing positions, manpower and hardware in 117 areas.

◽️ 1 self-propelled launching ramp of Ukrainian Buk-M1 air defence missile system has been destroyed near Troitskoye (Donetsk People's Republic).

◽️ 1 guidance radar of Ukrainian S-300 air defence missile system has been destroyed near Andreyevka (Donetsk People's Republic).

◽️ 1 U.S.-manufactured AN/TPQ-37 counterbattery warfare radar has been destroyed near Gulyaypole (Zaporozhye region).

✈️ Fighter Aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 1 Su-27 airplane of Ukrainian Air Force near Trudoolenovka (Zaporozhye region).

◽️ 1 Ukrainian Mi-8 helicopter has been shot down near Novopavlovka (Donetsk People's Republic).

💥 Air defence facilities have shot down 1 MiG-29 airplane of Ukrainian Air Force near Krasnoarmeysk (Donetsk People's Republic).

◽️ Moreover, 15 rocket-propelled projectiles, launched by HIMARS and Uragan MLRS, have been intercepted, as well as 9 unmanned aerial vehicles have been destroyed near Berestovoye (Kharkov region), Karmazinovka (Lugansk People's Republic), Blagodatnoye, Novoandreyevka, Kirillovka, Verkhnetoretskoye (Donetsk People's Republic), Chubarevka, Magedovo (Zaporozhye region), and Lesnoye (Sumy region).

📊 In total, 396 airplanes, 217 helicopters, 3,345 unmanned aerial vehicles, 410 air defence missile systems, 8,192 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,054 fighting vehicles equipped with MLRS, 4,284 field artillery guns and mortars, as well as 8,771 units of special military vehicles have been destroyed since the beginning of the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
maji yamezid unga. hko soledar baaz ya mamluk wamegoma. wanatumia mbinu ya kulisogelea jeshi la waukraine ili wapigane face to face. wakisogea sana jeshi la ukraine lina rid kidogo kisha linawanyumbua vya kutosha.

si mlisema bkhmut mumeizunguka ?
haya jeshi la ukraine halijaoondoka bado wamalizen sasa. ?
Watamalizana tu usihofu....next stop Kharkiv. nayo itazungukwa..
 
Watekwe kivipi...hizo ni propaganda za west kwamba Kuna utekaji....for your information watoto wale they are enjoying life in Russia...huko wako salama kwani wameondolewa kutoka kwenye eneo la Vita .huko waliko Sasa wanasoma na kufundishwa Mambo muhimu ikiwemo historia ya Russia na Warusi....kule Russia ni marufuku kufundishwa Mambo ya kunyonyana ndimi mvulana kwa mvulana au msichana kwa msichana...wanafundishwa utu kule Russia...
Hakika
 
safi,
angalau upo wewe unayekuja na fact kuliko huyo jamaa niliye m'quote'. Kaja na taarifa ya uwongo kutetea na wenzake wenye mahaba mbele wamemsapoti.
binafsi hufuatilia taarifa toka vyanzo vyote west na east. Most of russian media ni state-owned.
Media huru zililazimika kufunga shughuli baada ya ile sheria ya march.
je uliwahi kusikia maandamano ya ndani ya urusi kupitia rt au tass?
uchumi wa urusi ume decline, je umesikia cost of living crisis kupitia hizo media kama unavyosikia crisis ndani ya western?
kulikuwa na anti war protest ndani ya urusi,je ulipata habari hizo via rt or tass?
Je hii inamaanisha hali ndani ya urusi ni shwari kabisa?
hiyo ya kutoa resource kutoka sector nyingine ni nadharia kweli kwa sababu hatujui kabisa yanayoendelea ndani ya urusi kwa sababu hakuna uhuru wa media.

-sawa mfumo wa swift umezuiwa lakini kama bado unaweza kuendelea kufanya biashara kama anavyouza mbolea afrika kwa nini asiuze na mafuta?
Wee jamaa unashida sana alokwambia RUSSIA kuna cost of living nani

RUSSIA awali walikumbana na hii kadhia mpaka baadhi ya vitu vikawa vinakua adimu sababu watu walikua wananunua nakueka ndani kwakukhofu hio SMO

Ila baada ya muda hata wa mwezi haukufika maisha yakawa kama kawaida kabla ya SMO nampaka sasa ipo hvyo

Changamoto za hapa na pale hazikosekani ipo hvyo kila sehemu

RT wanatangaza sana hata wakat hii SMO inaanza walimkamata bibi mtu mzima tu alikua anaandamana na wengine kupinga hii SMO

MSM zimewaweza kwakweli
 
Ina maana hadi sasa Bakhmut bado tu haijadondoka?
Saizi unafanyika usafi kwa waliokaidi amri ya Wagner.

Kwani Juzi hapa Prigozhin alipokuwa anampa maelekezo Zelensky juu ya kuwahi kutoa order ya kuondoa wanajeshi wake kwa kujisalimisha ww hukuona hiyo?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1059][emoji632]The authorities of Burkina Faso have denounced the military-technical assistance agreement concluded with France in April 1961.

Burkina Faso demands the final withdrawal of all French servicemen serving in the country's military administrations within a month.
Habari njema
 
Hizi drone za Iran zinazidi kushushwa huku [emoji23][emoji23]
1678106162532.jpg
 
[emoji298][emoji298]ukrainian air defense shot down 13 out of 15 Iranian drones Russia launched at Ukraine overnight, Air Force spokesperson Yurii Ihnat said on national television on March 6.

Russia has repeatedly used Iranian-made drones as part of its weapons arsenal against Ukraine.

Dnipropetrovsk Oblast Governor Serhiy Lysak said in a post on Telegram earlier this morning that all four of the drones launched at Dnipropetrovsk Oblast were shot down by air defense. According to Lysak, soldiers from Ukraine's Eastern Command downed the drones.

The Kyiv Oblast military administration had also said on Telegram that Ukraine's air defenses were "operating" overnight on March 6 after an "aerial target" was identified over the area.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]Russia’s relentless assault on Bakhmut is sacrificing waves and waves of unprepared men being sent to their deaths. But multiple defenders of this embattled city in Donetsk Oblast feel that they are in a similar boat, according to interviews with more than a dozen soldiers currently fighting in or around Bakhmut.

During their brief visits to the nearby town of Kostiantynivka, Ukrainian infantrymen told the Kyiv Independent of unprepared, poorly-trained battalions being thrown into the front line meat grinder to survive as best they could with little support from armored vehicles, mortars, artillery, drones and tactical information.[emoji298][emoji298]
 
#[emoji298][emoji298] Ukraine's second-seeded tennis player Marta Kostyuk has won the inaugural ATX Open in Austin, the United States.[emoji298][emoji298]
 
Back
Top Bottom