Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo wamekubaliana na huyo Blinken???? Duh...Jifunze namna ya kuchambua habari....USA ndiye anayehangaika kutaka kuitenga Russia kwa kuwa huko Ukraine mambo yanazidi kuwa magumu kwa NATO na West..
The diplomat, Secretary of State Antony J. Blinken, opened a two-day visit to Central Asia by meeting with the president of Kazakhstan and the country’s foreign minister, both of whom expressed a willingness to work with the United States and a commitment to protecting their national sovereignty, an indication of wariness toward Russian aggression.
=======================


Hayo maneno umeyatafsiri vipi ?
 
Mkuu una habari za ajabu kidogo.
Una habari za "Rasi ya Bengal"??? Mimi najua kinyume tu, hori au ghuba ya Bengal. Rasi (=cape) ni kinyume cha Ghuba (gulf, bay). Je hujui kutumia google translate ???????
Lini Uingereza na US walitaka kuvamia Uhindi? Hakuna punje ya ukweli. Mwaka 1971 wakati wa vita ya Pakistan dhidi ya Uhindi, iliyokuwa pia vita ya uhuru wa Bangladesh, Marekani ilituma kundi la manowari 8 katika Ghuba (si RASI!!!) ya Bengal kwa shabaha kuonyesha msaada kwa Pakistan maana walihofia Uhindi itavamia pia Pakistan magharibi. Bila shaka walitaka kutishatisha kidogo.
Ila: manowari hazivamii nchi. Kundi liliitwa "Task Force 74" lilikuwa na wanajeshi wa Marines 200 (!!!). Ukiwa na askari 200 huwezi kuvamia hata Lesotho.
Kuuhusu vituo vya nyuklia naona tu kwamba Wahindi walianzisha tanuri zao wenyewe, ambazo no tofauti na muundo wa Warusi. Tanuri za kwanza zilijengwa kwa msaada wa Uingereza na Kanada kuanzia 1955, si Wasovyeti au Warusi. (Chanzo changu kwa sasa hapa). Unadai Uhindi imepokea kutioka Urusi. Wapi Warusi wametumia Pressurized Heavy Water REactors??? Wahuindi wamebuni IPHWR (Indian Pressurized Heavy Water Reactor)

Kwa hiyo picha yako ya historia kwa jumla inafanana na picha yako ya vita ya Ukraine. Pole. sana.
Ukiona tofauti: Lete chanzo!!!
 
The diplomat, Secretary of State Antony J. Blinken, opened a two-day visit to Central Asia by meeting with the president of Kazakhstan and the country’s foreign minister, both of whom expressed a willingness to work with the United States and a commitment to protecting their national sovereignty, an indication of wariness toward Russian aggression.
=======================


Hayo maneno umeyatafsiri vipi ?
Kwa hiyo?????!!!!!!
 
Kwanza kwa mtu mwenye mawazo na vitendo vya kkunga mkono Marekani, West na Ukraine usiniite mimi 'mkuu'... Mimi sitaki kuitwa hivyo. Sitaki mtu anayejipendekeza kwangu kwa kunipa wadhifa wa kinafiki. Kma una mawazo kuwa nchi hizo zinamsaidia huyo anayedaiwa kuvamiwa nakupa pole. Hujui kitu. Hujui kinachoendelea kwenye dunia hii. Au unajifanya hujui what is going on. This world should be cleansed of all evils za west.
Vipi evils za East, North na South?
 
Hato watoto hawatarudi tena kwenye utawala wa manazi wa Kiev. If you don;t know the children are Russians from the Eastern Ukraine (Donbass and Luhansk). Now they are in safe hands of the mother Russia. Walikuwa wanateswa sana kwenye utawala wa Zele.
Hao watoto wametekwa na kuhamishwa kwa nguvu....hiyo ni jinai na uhalifu.
 
Mkuu hadi sasa tunaona nchi mbalimbali zinamsaidia yule aliyevamiwa na mjambazi . . Ila hawampigi jambazi. Wangempiga, angekwisha tayari . . .
Kinyume bado NATO wanalinda Urusi wakizuia Ukraine kupiga maneo ya Urusi wenyewe (si maeneo yale ambayo Putin alitangaza...).
Wanafanya vile kwa sababu wanataka kunyesha hawataki kuharibu Urusi (kinyume cha propaganda ya Putin) na kutuliza hofu ya vita ya nyuklia.
Unajaribu kucheza na maneno.
Jambo moja unalielezea kwa namna tofauti ili lionekane tofauti kumbe ni kitu kile kile.

Nchi mbalimbali zinamsaidia Ukraine dhidi ya mvamizi lakn hazimpigi mvamizi. Sasa kumsaidia aliyevamiwa ampige mvamizi sio kumpiga mvamizi huko!? Si Ni kitu kilekile tu. Kumsaidia muuaji aue sio kuua!?

Kumzuia Ukraine asipige ardhi ya Urusi sio kwa sababu hawataki kuiharibu Urusi. Hiyo ni hitimisho iliyosukumwa na mahaba yako.

(Kwa mujibu wa NATO wenyewe) Wanazuia kwa sababu wanajua
1. Majibu ya Urusi yatakuwa ni hatari zaidi pale ardhi yake itaposhambuliwa
2. Inaweza kushamirisha mgogoro zaidi kutoka kwenye operesheni kuwa vita ya ukanda au dunia kbs.

The US-led Nato military alliance has ruled out providing such arms (Long range missiles) to Kyiv, amid concerns that this could lead to a major escalation with a nuclear-armed Russia that invaded Ukraine on 24 February-BBC

Btw Washington hawaizuii Ukraine kutumia makombora na mizinga yake yenyewe kushambulia ardhi ya Urusi. Kama wanayo au wanaweza kuwa nayo wana full go ahead. Nikimnukuu Bwana LIoyd Austin.
 
Uwa ipo uwanja wa vita.mnakubali kuweka silaha chini mnaondoka bila silaha.Maliupol walishindwa kufanya ivyo kwa sababu Kikosi cha Azov kilikuwa kinatambuliwa na Warusi kama kikosi cha kigaidi.

Mkiomba kuweka chini silaha ili mpewe njoa ya kuondoka mnakubaliwa wala awawezi kukataa kwa sababu wanapunguza gharama na madhara ya kupoteza wanajeshi.ila mnakaguliwa kwanza ili msiondoke na silaha
Hakuna kitu kama hiki, ukishajisalimisha vitani wewe ni mateka wa vita (POW).
 
IMG_9234.jpg


Jamaa kaupiga mwingi sana Salute kwake.
 
Ngoja nikusaidie, maana kuna uwezekano, tuna uelewa tofauti sana.

1. Main purpose of Western Sanctions was to destroy Russia economy. Lakini IMF & World Bank, wanasema kwenye statistics zao kwamba, Russia economy is growing by 2.5%

2. Another purpose is to stop this SMO. Yaani sanctions zimfanye Russia aachane na hii SMO. Lakini tunaona bado SMO inaendelea na maeneo yanazidi kuchukuliwa

3. Another purpose ya Sanctions ni kufanya Russia atengwe na nchi zingine (nje ya Western Countries), lakini tunaona bado nchi zinashirikiana na Russia hata Tanzania sisi jana/juzi kuna meli ya Russia imetia nanga hapo Bandari ya Tanga na kushusha mzigo

Sasa kwa mtu mwenye akili timamu, akiangalia malengo ya Sanctions, anaona hayajatimia. Kwa hiyo Sanctions haijaweza kufanya kazi.

Sasa unapoweka tena sanctions ukitarajia eti utapata matokeo mapya/tofauti sasa hapo wewe ndio unakuwa kichaa na definition ya Albert Einstein inakuwa inatumika.

Russia wamesema wanakuja na Sanctions ambazo zitaharibu uchumi wa US & Canada. Russia soon itatangaza sanctions, ameacha warukeruke yeye atatupa jiwe gizani. Uzuri wa Russia huwa hatabiriki kila kete anayogusa ni yamoto. Tuendelee kunywa soup nyama ziko chini.

Wale LGBTQ Uganda sio sehemu salama tena.
 
Hao watoto wametekwa na kuhamishwa kwa nguvu....hiyo ni jinai na uhalifu.
Watekwe kivipi...hizo ni propaganda za west kwamba Kuna utekaji....for your information watoto wale they are enjoying life in Russia...huko wako salama kwani wameondolewa kutoka kwenye eneo la Vita .huko waliko Sasa wanasoma na kufundishwa Mambo muhimu ikiwemo historia ya Russia na Warusi....kule Russia ni marufuku kufundishwa Mambo ya kunyonyana ndimi mvulana kwa mvulana au msichana kwa msichana...wanafundishwa utu kule Russia...
 

US preparing false flag chemical attacks in Ukraine – Moscow​

February 28, 2023​

The Americans believe a provocation won’t be properly investigated due to the fighting, Russian military alleges
RT.com
63fdcb5120302704c0011aeb.jpg

Drills by the Russian Nuclear, Biological and Chemical (NBC) protection troops. © Sputnik / Pavel Lisitsyn
The US is preparing to stage false flag chemical attacks in Ukraine to pin the blame on Moscow for the use of banned toxic agents, the chief of Russia’s Nuclear Biological and Chemical Defense troops, Igor Kirillov, has said.
The Americans believe that the international community wouldn’t be able to organize an effective investigation of such “provocations” due to the fighting between Russian and Ukrainian forces, which would allow Washington to escape responsibility, Kirillov said during a briefing on Tuesday.
Russia’s Defense Ministry has obtained information that a train with a cargo of chemical substances in one of its cars had apparently arrived in the Ukrainian-controlled city of Kramatorsk in Donbass on February 10, the commander said.
The 16 metal boxes with special markings that suggest they contained BZ (3-Quinuclidinyl benzilate) incapacitating agent as well as CS (chlorobenzylidenemalononitrile) and CR (dibenzoxazepine) harassing ‘riot-control’ agents, were accompanied by the “citizens of foreign nations,” he also alleged.
According to Kirillov, the chemicals were unloaded at a local metallurgical plant under the supervision of Ukraine’s Security Service (SBU) and put on US-supplied armored vehicles that later moved out towards a contact as part of a convoy.
Russia also found out that eleven cars with specially marked shrapnel ammunition were unloaded in Kramatorsk on February 19, the commander said. The shells of this type had been previously upgraded in the US to be able to deliver harassing chemical substances, he added.
NATO has also planned a large delivery of means of chemical protection to Ukraine, including hundreds of antidotes for various toxic substances, Kirillov is also alleging.
“The facts of simultaneous delivery of toxic chemicals and means of protection against them indicate an attempt to carry out large-scale provocations using the BZ military-grade psychoactive chemical agent during the conflict,” he said.
Despite announcing the depletion of all of its stocks of BZ back in 1990, the US had preserved samples of the toxic agent –which causes acute psychosis, disorientation, hallucinations and memory impairment– and it maintains the capability to produce the substance in significant quantities, the commander claimed.
If a provocation with the use of chemical weapons is carried out in Donbass, “the true culprits will be identified and held accountable,” Kirillov warned.
Russian forces in the area have all the means to promptly detect the use of toxic agents and to contain such incidents, he assured Tuesday’s briefing, adding that they can identify not just the forbidden substance that’s being employed but also the country where it was produced.
Chemical warfare is forbidden under the Chemical Weapons Convention (CWC) of 1997, to which the US, Ukraine and Russia are all signatories. The document bans their militaries from using even riot-control agents or tear gas, despite them being allowed in law enforcement.
___
US preparing false flag chemical attacks in Ukraine – Moscow
 
Back
Top Bottom