Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

“Stoltenberg was stating quite recently, in the past days in fact, that the risk of a Russian victory in the battlefield, outweighed the risk of escalation and direct confrontation with NATO. In plain terms it means NATO will rather intervene, than letting Russia win this conflict. That means of course a nuclear confrontation. It serves to show the stupidity and arrogance of European politicians to the entire world. We're putting ourselves, willingly, in the exact same kind of absolutist positions that led to WW1. Uncompromising absolutist position, unwillingness to negotiate a single thing. Not that there is nothing to negotiate now, the events went too far already. If rumors of an alleged chemical weapons attack being prepared by the AFU are true, then they will get out of hand completely and into the WMD realm. But instead of trying to defuse tensions, our glorious leaders are escalating them. What they expect to achieve with this is truly a mystery, after all, even the simplest of organisms have a self-preservation instinct. We'll just have to find out if Stoltenberg means it, but i suspect he'll be far far away from the front-lines and from primary impact zones. Probably in a bunker with the remaining vassals, wondering exactly what went wrong and blaming the European population for their lack of patriotism and fighting spirit”
Mchaw lugha
 
We jamaa kama hauna tatizo la akili hebu "gugo" neno "what is homosexual mean?" eunuch au towashi ni aina ya watu wapo kama "ndafu" za kina bwashee...ww uwshawahi kuta ndafu inampanda ndafu mwenzie? Ila homosexual anampanda homosexual mwenzie...naamin huna tatizo la akili ila umeamua tuu kujifanya una tatizo
Unäamini google kuliko Vitabu vya Mungu ww kichekesho sana!
Umevaa kibri cha uzima!
Weka ayat toka Biblia Takatifu ima Quran Karim Towashi ni shoga![emoji101][emoji101]
Kama huna usitujazie sever jidunge ndoba usepe dogo!
 
Wahindi hawawezi kuwatenga Warusi siku hata moja. Wanajua Russia Ni nani!
Ni Russia iliyosimama kidete kuizuia England na Us kuwavamia wahindi katika Rasi ya Bengal miaka ya Coldwar. India ikiwa inaelekea kuangamia kwa makombora kutoka Submarines ghafla waingereza wakagundua jambo... Oh Admiral Soviet are here! Basi wakaahirisha uvamizi Soviet Russia Navy ilikua tayari kulinda India. Waingereza na Wamarekani wakaondoka kwa aibu.
Leo wamtenge Russia kisa ujinga wa kujitakia wa Zeleboy?
Ni Russian waliowasaidia India kuwa nuclear power miaka 20+ iliyopita. Powerfully India is here to stay kwasababu ya nuclear technology tokA kwa warusi.
Mwaka 1986 kwa kuwaamini zaidi wahindi S Russia iliwauzia state of the Art air superiority fighter jet by the name Mig 29.
India Wana mengi ya kufanya kubaki zaidi kuwa rafiki zaidi wa Russia kuliko adui wa Russia .

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu una habari za ajabu kidogo.
Una habari za "Rasi ya Bengal"??? Mimi najua kinyume tu, hori au ghuba ya Bengal. Rasi (=cape) ni kinyume cha Ghuba (gulf, bay). Je hujui kutumia google translate ???????
Lini Uingereza na US walitaka kuvamia Uhindi? Hakuna punje ya ukweli. Mwaka 1971 wakati wa vita ya Pakistan dhidi ya Uhindi, iliyokuwa pia vita ya uhuru wa Bangladesh, Marekani ilituma kundi la manowari 8 katika Ghuba (si RASI!!!) ya Bengal kwa shabaha kuonyesha msaada kwa Pakistan maana walihofia Uhindi itavamia pia Pakistan magharibi. Bila shaka walitaka kutishatisha kidogo.
Ila: manowari hazivamii nchi. Kundi liliitwa "Task Force 74" lilikuwa na wanajeshi wa Marines 200 (!!!). Ukiwa na askari 200 huwezi kuvamia hata Lesotho.
Kuuhusu vituo vya nyuklia naona tu kwamba Wahindi walianzisha tanuri zao wenyewe, ambazo no tofauti na muundo wa Warusi. Tanuri za kwanza zilijengwa kwa msaada wa Uingereza na Kanada kuanzia 1955, si Wasovyeti au Warusi. (Chanzo changu kwa sasa hapa)

Kwa hiyo picha yako ya historia kwa jumla inafanana na picha yako ya vita ya Ukraine. Pole. sana.
Ukiona tofauti: Lete chanzo!!!
 
Ipo nafasi ya kuondoka ila uwa haurusiwi kuondoka na silaha.kipengele icho cha makubaliano uwa kipo uwanja wa vita maana kinachogombaniwa ni ardhi na sio mtu.kwa iyo bado wana nafasi ya kuondoka Bakhmut

Mkuu hii umeitoa wapi?, kwenye hii vita uki surrender basi unachukuliwa kama prisoners of war kwaajili ya kubadilishana baadae, huwezi kuruhusiwa ukarudi nyumbani kizembe.
 
Kuna mji upo karibu na Bakhmut unaitwa Chasiv yar.inasemekana kuna wanajeshi zaidi ya elfu 45 wa Ukraine.ina maana nao kufikia muda huu utakuwa umezingirwa tayari maana upo karibu sana na Bakhmut.

Ngoja tusubiri Zelensk ana maana gani kukataa kuwatoa wanajeshi Bakhmut na Chasov yar
 
Mkuu hii umeitoa wapi?, kwenye hii vita uki surrender basi unachukuliwa kama prisoners of war kwaajili ya kubadilishana baadae, huwezi kuruhusiwa ukarudi nyumbani kizembe.
Uwa ipo uwanja wa vita.mnakubali kuweka silaha chini mnaondoka bila silaha.Maliupol walishindwa kufanya ivyo kwa sababu Kikosi cha Azov kilikuwa kinatambuliwa na Warusi kama kikosi cha kigaidi.

Mkiomba kuweka chini silaha ili mpewe njoa ya kuondoka mnakubaliwa wala awawezi kukataa kwa sababu wanapunguza gharama na madhara ya kupoteza wanajeshi.ila mnakaguliwa kwanza ili msiondoke na silaha
 
Mkuu hichi kitu hakipo kwenye hii vita ndo kwanza nasikia kwako, kwenye hii vita ukiwakamata wanajeshi wa upande wa pili basi hyo ni leverage.
 
Ukraine tu kawatoa jasho
Ukraine ya wapi unayoizungumzia Ndugu yetu???!!! Yaani mpaka sasa bado umeng'ang'ania fikra mgando za kwamba eti Ukraine inapambana na Russia??!! Hutaki kuukubali ukweli kuwa Russia inapambana na nchi 54 duniani? Yaani Nchi zote za NATO zinapambana na Russia halafu kuna nchi nyingine kama Australia, New Zealand na kadhalika yaani zote hizo jumla yake ni 54......Yaani zinapambana kijeshi, kiuchumi, kijamii, kiuandashi wa habari, kipropaganda (yaani west wameingia kwenye mitandao yote ya kijamii duniani na kwenye mainstream media kusambaza propaganda ) na kadhalika. Yaani Russia, dude kubwa, bado limesimama tu na linaendelea kusonga mbele huku maelfu ya askari wa Ukraine na wale wa NATO (ambao wanapambana kwa kificho au isivyo rasmi) wakiendelea kuteketea. Zele leo analia kwa nguvu kuwa Russia inaharibu kila kitu waliko manazi na wapinga utu. Kilichobaki ni kwa NATO kuingia rasmi mzigoni na kuteketezwa kimoja na kuwa mwisho wa enzi.
 
[emoji779]️Russia's representatives and accomplices have already deported more than 16,000 Ukrainian children. Ukraine has managed to return 307 of them, the Ukrainian Prosecutor-General's Office said.[emoji298][emoji298]
 
Naona BBC wameamua waongee ukweli wa mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20230228-180858_Chrome.jpg
 
[emoji779]️Russia's representatives and accomplices have already deported more than 16,000 Ukrainian children. Ukraine has managed to return 307 of them, the Ukrainian Prosecutor-General's Office said.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298] Ukraine has announced its candidacy for the Board of Governors of the International Atomic Energy Agency (IAEA) for 2023-2025 and is expecting for the support of this initiative from international partners.[emoji298][emoji298]
 
Ipo nafasi ya kuondoka ila uwa haurusiwi kuondoka na silaha.kipengele icho cha makubaliano uwa kipo uwanja wa vita maana kinachogombaniwa ni ardhi na sio mtu.kwa iyo bado wana nafasi ya kuondoka Bakhmut
Na unaondoka mikono yote kivhwani.

Ukitoka eneo hilo unawapigia makofi mabingwa(kidding )
 
Ukraine ya wapi unayoizungumzia Ndugu yetu???!!! Yaani mpaka sasa bado umeng'ang'ania fikra mgando za kwamba eti Ukraine inapambana na Russia??!! Hutaki kuukubali ukweli kuwa Russia inapambana na nchi 54 duniani? Yaani Nchi zote za NATO zinapambana na Russia halafu kuna nchi nyingine kama Australia, New Zealand na kadhalika yaani zote hizo jumla yake ni 54......Yaani zinapambana kijeshi, kiuchumi, kijamii, kiuandashi wa habari, kipropaganda (yaani west wameingia kwenye mitandao yote ya kijamii duniani na kwenye mainstream media kusambaza propaganda ) na kadhalika. Yaani Russia, dude kubwa, bado limesimama tu na linaendelea kusonga mbele huku maelfu ya askari wa Ukraine na wale wa NATO (ambao wanapambana kwa kificho au isivyo rasmi) wakiendelea kuteketea. Zele leo analia kwa nguvu kuwa Russia inaharibu kila kitu waliko manazi na wapinga utu. Kilichobaki ni kwa NATO kuingia rasmi mzigoni na kuteketezwa kimoja na kuwa mwisho wa enzi.
Mkuu hadi sasa tunaona nchi mbalimbali zinamsaidia yule aliyevamiwa na mjambazi . . Ila hawampigi jambazi. Wangempiga, angekwisha tayari . . .
Kinyume bado NATO wanalinda Urusi wakizuia Ukraine kupiga maneo ya Urusi wenyewe (si maeneo yale ambayo Putin alitangaza...).
Wanafanya vile kwa sababu wanataka kunyesha hawataki kuharibu Urusi (kinyume cha propaganda ya Putin) na kutuliza hofu ya vita ya nyuklia.
 
[emoji779]️Russia's representatives and accomplices have already deported more than 16,000 Ukrainian children. Ukraine has managed to return 307 of them, the Ukrainian Prosecutor-General's Office said.[emoji298][emoji298]
Hato watoto hawatarudi tena kwenye utawala wa manazi wa Kiev. If you don;t know the children are Russians from the Eastern Ukraine (Donbass and Luhansk). Now they are in safe hands of the mother Russia. Walikuwa wanateswa sana kwenye utawala wa Zele.
 
Mkuu hadi sasa tunaona nchi mbalimbali zinamsaidia yule aliyevamiwa na mjambazi . . Ila hawampigi jambazi. Wangempiga, angekwisha tayari . . .
Kinyume bado NATO wanalinda Urusi wakizuia Ukraine kupiga maneo ya Urusi wenyewe (si maeneo yale ambayo Putin alitangaza...).
Wanafanya vile kwa sababu wanataka kunyesha hawataki kuharibu Urusi (kinyume cha propaganda ya Putin) na kutuliza hofu ya vita ya nyuklia.
Kwanza kwa mtu mwenye mawazo na vitendo vya kkunga mkono Marekani, West na Ukraine usiniite mimi 'mkuu'... Mimi sitaki kuitwa hivyo. Sitaki mtu anayejipendekeza kwangu kwa kunipa wadhifa wa kinafiki. Kma una mawazo kuwa nchi hizo zinamsaidia huyo anayedaiwa kuvamiwa nakupa pole. Hujui kitu. Hujui kinachoendelea kwenye dunia hii. Au unajifanya hujui what is going on. This world should be cleansed of all evils za west.
 
Back
Top Bottom