jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Unawekwa Ila unakopotelea hata hakujulikani ila tujue gunia haliwezi kujaza maji.Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]
Unawekwa Ila unakopotelea hata hakujulikani ila tujue gunia haliwezi kujaza maji.Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]
Yaani siku wakusema wapate mapato na matumizi ya hizo hela utacheka yaani haiwezekani waadiwe $ bilioni moja waapte $ milion 2 yaani mtakula ya vichwa mpaka mkae sawa.[emoji298][emoji298]US Sending Ukraine Another $1 Billion, Yellen Says in Kyiv
US giving Ukraine more substantial financial aid and says it expects Kyiv to keep up efforts to curb graft.
Read more on our website.[emoji298]
Usisahau kuongeza Ile kauli yake mahalfu kwamba " kwa yeyote atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atapata pigo kubwa kuwahi kutokea"[emoji28][emoji1787][emoji16]“PUTIN : If the Russian early warning system detects a missile attack, “hundreds of our missiles will fly and it will be impossible to stop them.” While some attacking missiles will strike Russia, “nothing will remain of the enemy,” and that is how nuclear deterrence works.”
Acha wafe tu ***** zao. Shoga na vita wapi na wapiNimeona majeneza kama 200 hivi yakiwa yana miili ya vijana wa shoga zelensky wakiwa tayari kwa ajili ya Kurudishwa kwa wazazi wao
Wamejikusanya kwahyo kichapo kinawakuta kulekule.[emoji298]️The loss of a Russian A-50 aircraft as a result of an attack on the Belarusian airfield in Machulyshchy will further limit air operations of the Russian Federation, the UK Ministry of Defence's intelligence department reported.[emoji298][emoji298]
Naikumbuka...kwa hiyo unasemaje wewe 'ki-rat'??!!!Usisahau kuongeza Ile kauli yake mahalfu kwamba " kwa yeyote atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atapata pigo kubwa kuwahi kutokea"[emoji28][emoji1787][emoji16]
sawa[emoji298]️The loss of a Russian A-50 aircraft as a result of an attack on the Belarusian airfield in Machulyshchy will further limit air operations of the Russian Federation, the UK Ministry of Defence's intelligence department reported.[emoji298][emoji298]
Ngoja nikusaidie, maana kuna uwezeka
3. Another purpose ya Sanctions ni kufanya Russia a hapo Bandari ya Tanga na kushusha mzigo
Weka idadi ya silaha hizo tuone huo usambamba.Safi Mkuu Kwa Kutoa Hoja Kwa Uthibitisho, Sasa
1.Weka Hapa Taarifa Ya Imf Na Wb Inayosema Uchumi Wa Urusi Umekua. Binafsi Nimetafuta Sijaiona.
2.Linapokuja Suala La Usalama Wa Taifa Ni Bora mkose Chakula Mlale Njaa Ila Muweze Kujilinda Dhidi Ya Adui. Ndio Maana Urusi Imekwenda Sambamba Na Marekani Katika Idadi Ya Silaha Za Nuclear Lakini Sio Uchumi. Hivyo Kuna Uwezekano Mkubwa Wa Kupeleleka Resource Nyingi Smo Iende Hata Kama Kutaleta Upungufu Pahala. Unadhani Kwa Nini Serikali Ya Urusi Ilipiga Marufuku Kutangaza Habari Zinazoendelea Ndani?
3.Vikwazo Havijayazuia Mataifa Kufanya Biashara Na Urusi Bali Kwa Bidhaa Fulani Tu, Ile Meli Ilikuwa Imebeba Mbolea. Mbolea Haijawekewa Vikwazo. Museveni Pamoja Na Kumkaribisha Lavlov Ni Kwa Nini Alikataa Kununua Mafuta Ya Urusi Ya Bei Ndogo??
Mbona hao west ndio wanunuzi wazuri wa bidhaa kutoka Urusi!!??Safi Mkuu Kwa Kutoa Hoja Kwa Uthibitisho, Sasa
1.Weka Hapa Taarifa Ya Imf Na Wb Inayosema Uchumi Wa Urusi Umekua. Binafsi Nimetafuta Sijaiona.
2.Linapokuja Suala La Usalama Wa Taifa Ni Bora mkose Chakula Mlale Njaa Ila Muweze Kujilinda Dhidi Ya Adui. Ndio Maana Urusi Imekwenda Sambamba Na Marekani Katika Idadi Ya Silaha Za Nuclear Lakini Sio Uchumi. Hivyo Kuna Uwezekano Mkubwa Wa Kupeleleka Resource Nyingi Smo Iende Hata Kama Kutaleta Upungufu Pahala. Unadhani Kwa Nini Serikali Ya Urusi Ilipiga Marufuku Kutangaza Habari Zinazoendelea Ndani?
3.Vikwazo Havijayazuia Mataifa Kufanya Biashara Na Urusi Bali Kwa Bidhaa Fulani Tu, Ile Meli Ilikuwa Imebeba Mbolea. Mbolea Haijawekewa Vikwazo. Museveni Pamoja Na Kumkaribisha Lavlov Ni Kwa Nini Alikataa Kununua Mafuta Ya Urusi Ya Bei Ndogo??
Weka idadi ya silaha hizo tuone huo usambamba.
Walikuwa hawajatuma puto la kijasusi bado.hao wachina wanaongea sana. Ni kwa nini yule mama alipokanyaga taiwan waliishia kupiga maji pamoja na mikwara yote waliyochimba?
Walisema zimeshawasili ila hatuoni chochote vitaniSi tumeambiwa Poland ameshatuma Leopard Tanks. Je, ziko wapi kuja kusaidia. Maana jahazi linazama.
Walikuwa hawajatuma puto la kijasusi bado.