Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na zile mlizopeleka zinasubiri nn kuanzia kazi? Kazi mnasema ameishiwa risasi na bunduki ila mnapigwa na mawe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wanaopigwa kama mawe ni wale wanaopigana kwenye mji mmoja tu wa bakhumut mwaka mmoja Sasa[emoji1787][emoji1787]
 
Fashisti Putin atanyooka tu taratibu [emoji1787][emoji28]


[emoji298][emoji298]The Institute for the Study of War said Russia will face increasing costs to replace its losses in the latest report on Russian forces’ recruitment campaigns on Feb. 26.

The D.C.-based think tank estimated that Russia “likely began to run out of combat-ready forces” in May 2022, forcing Russian dictator Vladimir Putin to resort to various mobilization strategies[emoji298][emoji298]
 
#[emoji298] The next three months on the front will be very active and decide the further course of events.[emoji298]
 
"China haitavumilia vitisho vya Marekani - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China. "Marekani haina haki ya kushambulia uhusiano wa China na Urusi. Na mbona Washington inaipatia Kiev silaha za maangamizi!" Ni kana kwamba Washington inadhani bado inamiliki ulimwengu!
 
Mwendo wa mawe ya kichwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
FqAcdUCXoAAKoFk.jpg
 
If Bakhmut is completely eliminated as a defensive position, Ukraine loses the strongest front fortification: The Russian troops can then advance over flat open terrain to the cities Kramatorsk and Slovyansk. In addition, Kremlin's propaganda will exploit the success at Bakhmut”
 
If Bakhmut is completely eliminated as a defensive position, Ukraine loses the strongest front fortification: The Russian troops can then advance over flat open terrain to the cities Kramatorsk and Slovyansk. In addition, Kremlin's propaganda will exploit the success at Bakhmut”
 
"China haitavumilia vitisho vya Marekani - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China. "Marekani haina haki ya kushambulia uhusiano wa China na Urusi. Na mbona Washington inaipatia Kiev silaha za maangamizi!" Ni kana kwamba Washington inadhani bado inamiliki ulimwengu!


hao wachina wanaongea sana. Ni kwa nini yule mama alipokanyaga taiwan waliishia kupiga maji pamoja na mikwara yote waliyochimba?
 
Mwendo wa mawe ya kichwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2532456
Zelensky ni sadist par excellence, hana UTU kabisa yuko radhi kutoa kafara kwa WaUkraine wenzake ili kutekeleza njama za mabeberu za kutaka kuitawala Dunia.

Mtu na akili zake timamu anajua wazi wazi kwamba uwezekano wa jeshi la Ukraine na mamuluki kulishinda jeshi la Urusi hizo ni kama ndoto za mchana, hilo wala yeye halimpi shida anaendelea tu kuwa subject vijana wa Kiukraine kwenye meat grinder za jeshi la Urusi na wanakufa kweli kweli, as I said he doensn' t care hata wakifa mamillioni, after all is already stinking rich akizidiwa atakimbilia kwenye Mansion yake huko Miami Beach Florida.
 
Fashisti Putin atanyooka tu taratibu [emoji1787][emoji28]


[emoji298][emoji298]The Institute for the Study of War said Russia will face increasing costs to replace its losses in the latest report on Russian forces’ recruitment campaigns on Feb. 26.

The D.C.-based think tank estimated that Russia “likely began to run out of combat-ready forces” in May 2022, forcing Russian dictator Vladimir Putin to resort to various mobilization strategies[emoji298][emoji298]
Ngoja Bhakmut itwaliwe ili sasa kipigo kiwe cha face to face maana hiko ndio kilikuwa kichaka cha mashoga kujifichia kwa ajili ya counter offensive.
 
Zelensky ni sadist par excellence, hana UTU kabisa yuko radhi kutoa kafara kwa WaUkraine wenzake ili kutekeleza njama za mabeberu za kutaka kuitawala Dunia.

Mtu na akili zake timamu anajua wazi wazi kwamba uwezekano wa jeshi la Ukraine na mamuluki kulishinda jeshi la Urusi hizo ni kama ndoto za mchana, hilo wala yeye halimpi shida anaendelea tu kuwa subject vijana wa Kiukraine kwenye meat grinder za jeshi la Urusi na wanakufa kweli kweli, as I said he doensn' t care hata wakifa mamillioni, after all is already stinking rich akizidiwa atakimbilia kwenye Mansion yake huko Miami Beach Florida.
Nimeona majeneza kama 200 hivi yakiwa yana miili ya vijana wa shoga zelensky wakiwa tayari kwa ajili ya Kurudishwa kwa wazazi wao
 
Westerns wenyewe wanasema sanctions hazijaweza kumtingisha Russia. Lakini bado wanarudia hapo hapo kwenye Sanctions, kwani hawawezi kuja na kitu kingine.

Albert Einstein alisema hivi:

“The definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.”

Kwa hiyo wanachokifanya hao Westerns kuendelea na Sanctions ni Insanity tu.

kwani mkuu wewe unajuaje impact ya vikwazo kwa warusi wakati media zinazokupa taarifa zinatawaliwa na serikali?
 
"If Bakhmut is completely eliminated as a defensive position, Ukraine loses the strongest front fortification: The Russian troops can then advance over flat open terrain to the cities Kramatorsk and Slovyansk. In addition, Kremlin's success at Bakhmut”
 
kwani mkuu wewe unajuaje impact ya vikwazo kwa warusi wakati media zinazokupa taarifa zinatawaliwa na serikali?

Ngoja nikusaidie, maana kuna uwezekano, tuna uelewa tofauti sana.

1. Main purpose of Western Sanctions was to destroy Russia economy. Lakini IMF & World Bank, wanasema kwenye statistics zao kwamba, Russia economy is growing by 2.5%

2. Another purpose is to stop this SMO. Yaani sanctions zimfanye Russia aachane na hii SMO. Lakini tunaona bado SMO inaendelea na maeneo yanazidi kuchukuliwa

3. Another purpose ya Sanctions ni kufanya Russia atengwe na nchi zingine (nje ya Western Countries), lakini tunaona bado nchi zinashirikiana na Russia hata Tanzania sisi jana/juzi kuna meli ya Russia imetia nanga hapo Bandari ya Tanga na kushusha mzigo

Sasa kwa mtu mwenye akili timamu, akiangalia malengo ya Sanctions, anaona hayajatimia. Kwa hiyo Sanctions haijaweza kufanya kazi.

Sasa unapoweka tena sanctions ukitarajia eti utapata matokeo mapya/tofauti sasa hapo wewe ndio unakuwa kichaa na definition ya Albert Einstein inakuwa inatumika.
 
Back
Top Bottom