Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na Urusi pia anataka apeleke operesheni madogomadogo mpaka wanaomfadhili huyo ushoga wachoke.

Sasa kuna anayechoka huku akipoteza kila siku na kuna anayechoka huku akiteka mateka ya ardhi yenye viwanda, madini na vyakula.
Gharama za uendeshaj wa hilo zoez zimekua kubwa mno kwa pande zote tat
 
KAZI NI NGUMU BAKHMUT ILA TUTATOBOA - LAZIMA NDULI TUMTOE KWENYE ARDHI YETU.
2023-02-27T110945Z_267460902_RC23JZ9OWC6G_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-BAKHMUT.jpg
 
Kila nchi Ina chuki na urusi [emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji1045] Belgium has frozen Russian assets worth €58 billion. That is the highest amount of all European member states.

In addition, Russian financial transactions worth €191 billion also were blocked, Belgian Finance Ministry reported.[emoji298][emoji298]
Putin anapigwa kila kona dadeq.
 
Yaani ni balaaa Urusi anapigwa kachoka kachakaaaaa .....Kapoteza Mariupol, Kherson, LUHANSK, Zaporizhzhia, Donetsk , Soledar na sasa anakimbia ana retreat kuelekea Bakhmut .... Aseee Ukraine ni noma sana wanatoa kichapo kwelikweli...
We jamaa umeamua kua na majibu mazuri kweli yani majibu ya kibabe

Kuna watu wanajizima Data ukimjibu hivyo tu Data inakua on Automatically

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na Taarifa za Wizara ya Ulinzi ya Ufaransa, hii ndyo ramani ya Ukraine siku ya leo ikionyesha maeneo ambayo tyari Urusi kashachukua toka Ukraine
Fp_qqUXXoAERw1Q.jpg
 
We jamaa umeamua kua na majibu mazuri kweli yani majibu ya kibabe

Kuna watu wanajizima Data ukimjibu hivyo tu Data inakua on Automatically

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa mtu anaona Hali halisi ilivyo anakwambia anachapika, haya sawa.... Anakuja mwenzake ProNato anasema wewe subiri tu ikifika May watafurushwa wakome... Hujakaa vizuri anakuja mwingine ... Wagner wameishiwa risasi .... Jambo la kufanya ni kujiliwaza nao na kuwatia moyo na morari wampige mrusi mpaka Lyviv ikiwezekana wampige Urusi mpaka Kiev kabisa.
 
KAZI NI NGUMU BAKHMUT ILA TUTATOBOA - LAZIMA NDULI TUMTOE KWENYE ARDHI YETU.
2023-02-27T110945Z_267460902_RC23JZ9OWC6G_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-BAKHMUT.jpg
Wenzako wamezungukwa Kila Kona halafu wewe sijui uko kinyererezi unabwabwaja maneno ya kujimwambafai...Asubuhi hii Zele mwenyewe ametangaza Hali ngumu Bakhmut...sijui Kama ulienda hata mgambo wewe Ndugu...wenzio huko Bakhmut wanaishi kwenye mahandaki Kama panya wewe uko kinyerezi ukiuza supu ya pweza...
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] PMC wagner.weka mbali na watotoView attachment 2532242
Yaani tuna chinja kenge za nato huku tuna tabasamuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom