Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Kila siku inavyo songa ndiyo mrusi anazidi kuwa vizuri kumbuka dola ya marekani inakwenda kukumbwa na pigo kubwa miaka ya hivi karibuni ...hivyo uchumi na uthabiti wa utulivu wa USA utayumba kimataifa na kitaifa tutashuhudia maandamano na vyama vipya vya kisiasa vyenye mtazamo tofauti vikipata nguvuSidhani Urusi ana uchumi wa kupigana vita hii kwa miaka 5