Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fashisti Putin anazidi kuishiwa pumzi [emoji28][emoji16][emoji116][emoji116]



[emoji298]️Russia has less than 100 high-precision cruise missiles left, the representative of the Main Directorate of Intelligence of Ukraine’s Defense Ministry Andriy Cherniak said.[emoji298][emoji298]
Yeees na hizo zitadunguliwa na Abram na Leopad 2 zitakazoletwa hapo ukrain
 
Ukraine watoa mlio mkali wa kulia kwamba Iranian Drones zimewashambulia na zinafanya reconnaissance kuhusu movements za military assets.

Lakini huku JF, kijana kuna mtu anaitwa Kipanya yeye anasema Drones za Iran zimepigwa na hazina madhara, lakini Ukraine wanalia.View attachment 2532007
Na bado watalia sana na kusaga meno hasa vifaru vya Leopard na Challenger vitakavyo tiwa kiberiti na Latest Kornet ATGM au hata na Drones mpya zinazo undwa katika kiwanda cha Kalashnikov Concern huko Russia.

Merikani inachelewesha kupeleka vifaru vyake vya Abram for a good reason namely hawataki kuaibika iwapo Dunia itashuhidia vikilipuliwa kirahisi, hawataki kukosa soko vifaru vyao vikichomwa moto - ndio maana anasubilia kuona vifaru vya Ujerumani na Uingereza vitastahimili vipi huko Ukraine.

USA ilinukuliwa ikisema vifaru vyao labda vita fika kwenye front line baada ya mwaka mmoja kupita-why? Hawataki kuaibika basi, visingizio vingine ni gheresha tu.
hapa mkubwa napingana na wewe, kama raia wangekuwa wanamuona urusi iko sawa basi wangeondoa serikali zao madarakani(kumbuka wenzetu wana demokrasia).
Kumbuka ufaransa wamefanya uchaguzi june lakini macron karudishwa na yule aliyetaka kujitoa nato kapigwa chini.
hatuwezi kusema nchi imeandamana kwa maandano ya watu elfu 10.
ndio maana hata urusi wachache waliandamana kupinga vita lakini haimaanishi huo ni mtizamo wa warusi wote.
Ntakupatia mfano mmoja live wa uzaba zabina wa Viongozi wa Magharibi na Serikali zao na demokrasia zao fake.

Ni hivi: miaka kama mitatu hivi iliyo raia wa Merikani walifanya maandamano karibu na Bunge la Merikani kupinga wizi wa kura uliyo mpatia ushindi wa kimangamushi Biden, kuna baadhi ya waandamanaji waliofanikwa kuigia Bungeni kupinga wizi wakura - wengi waliishia kupigwa virungu na Polisi na kujeruhiwa na wengine risasi kabisa - wengi wao wakatiwa mbaroni na kwenda kufungwa magerezani - Taifa linalo jinasibu kuwa mtetezi mkubwa wa masula ya Demokrasia Duniani ndio kwanza linavunja haki za raia wake na kiwasweka ndani na wengine kuuwawa - lakini Taifa kama Iran, Korea Kaskazini, Syria, China na Urusi wakifanya vitendo kama hivyo basi USA itatangazia Dunia nzima jinsi ya mataifa tajwa hapo juu ni madikiteita na makatiri, USA wanajisahau mambo wanayo watendea hata raia wao huko Merikani, not forgetting kuonea military weak Nations Duniani.
 
Mashee shehena mna mbwembwe sana
Huyo sio muislam isipokuwa anakashifu tu mkuu ana chuki na uislam na waislam sijui hata wamemkosea mini au labda mchungaji wake ndo anavyommezesha sumu kanisani, eti bwana mgen kwanini unaumia kupigwa wapigwe Ukraine chuki uwaletee waislam,, Kwani huyo Putin na Russia yake waislam au chuki tu binafsi na husda zilizokujaa,, anzisha basi uzi wako tujadili mambo ya dini ila humu ni Ukraine vs Russian
 
Sidhani kama huu mwezi mpya utaisha kabla BAKHMUT kuwa HURU


[emoji635][emoji3538][emoji1255]The situation in Bakhmut direction remains constantly difficult, Vladimir Zelensky said on Monday in his evening address, a video of which he published on his telegram channel.

"Of course, I always stay in touch with the command… In the Bakhmut direction, the situation is constantly becoming difficult," Zelensky said.
 
Sidhani kama huu mwezi mpya utaisha kabla BAKHMUT kuwa HURU


[emoji635][emoji3538][emoji1255]The situation in Bakhmut direction remains constantly difficult, Vladimir Zelensky said on Monday in his evening address, a video of which he published on his telegram channel.

"Of course, I always stay in touch with the command… In the Bakhmut direction, the situation is constantly becoming difficult," Zelensky said.

Naskia imechukuliwa na urusi tayr
 
Ukraine watoa mlio mkali wa kulia kwamba Iranian Drones zimewashambulia na zinafanya reconnaissance kuhusu movements za military assets.

Lakini huku JF, kijana kuna mtu anaitwa Kipanya yeye anasema Drones za Iran zimepigwa na hazina madhara, lakini Ukraine wanalia.View attachment 2532007
Hahahah vid drone vinachukua ushahidi tu. 😀 😀 😀 Thus goes for the name Shahid Drones🎂🎂🎂
 
Hapo ndio zele alitakiw kujiongez mapema nakufany mazungumzo

Upo vtan unategemea msaada wa kvta kwa 100% unatoboa vp
Hizo demands za wests sio realistic kwa Ukraine.

Kwenye war planning, lazima uwe na optimal resouces za kuweza kupigana vita.
Sasa wao wanampa silaha kama drip, halafu unatarajia anaishinda vipi hiyo vita.
Wanampelekea sijui vifaru 14, lakati vita ina fronts kama 20+ hivi, sasa unatarajia hivyo vifaru vitafanya nini.
 
Shikamoo pesa[emoji16][emoji28][emoji23]



[emoji298][emoji631][emoji123]the United States will allocate more than $10 billion to Ukraine by September 2023 to cover the budget deficit.[emoji298][emoji298]
Uyo anafyatua tu pesa ana asala bali anaingiza yeye kwa lasilimali za ukraine baadae. Na waombe sana urusi asichukuwe ukraine yote maana hizo pesa sijui atazirudisha nani 😂😂😂
 
Lengo la west si Ukraine ashinde isipokuwa wanataka op idumu kwa muda mrefu ili Dubu achoke.
Na Urusi pia anataka apeleke operesheni madogomadogo mpaka wanaomfadhili huyo ushoga wachoke.

Sasa kuna anayechoka huku akipoteza kila siku na kuna anayechoka huku akiteka mateka ya ardhi yenye viwanda, madini na vyakula.
 
Ntakupatia mfano mmoja live wa uzaba zabina wa Viongozi wa Magharibi na Serikali zao na demokrasia zao fake.

Ni ama mitatu hivi iliyo raia wa Merikani walifanya maandamano karibu na Bunge la Merikani kupinga wizi wa kura uliyo mpatia ushindi

Sio kila kitu cha kuweka utimu mbele. Kumbuka wale watu walikwenda mahakamani wakashindwa.
Kura zilihesabiwa upya kwa uwazi kabisa wizi waliodai haukuthibitishwa. Walichokuwa wanataka ni kupindua matokeo halali ulitegemea mamlaka ifanye nini?
kumbuka wakati huo trump alikuwa madarakani kama kungekuwa na mifumo mibovu si angewalinda wafuasi wake?
unajua kuna watu tunawaheshimu sana humu ndani kutokana na chambuzi zenu ila haya mambo ya utimu kila kitu yanafanya tuwaweke kundi moja na kina kipanya.
 
Kila nchi Ina chuki na urusi [emoji116][emoji116][emoji116]



[emoji1045] Belgium has frozen Russian assets worth €58 billion. That is the highest amount of all European member states.

In addition, Russian financial transactions worth €191 billion also were blocked, Belgian Finance Ministry reported.[emoji298][emoji298]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] PMC wagner.weka mbali na watoto
20230228_073244.jpg
 
Back
Top Bottom